nyumba

  1. JamiiForums Tanzania House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Arusha na Moshi mjini

    Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA KILIMANJARO..., Kwa mahitaji ya..., 1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) , 2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA , 3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake , 4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka 4.1 Ofisi za taasisi, 4.2 GODOWN , 4.3...
  2. N

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba maeneo mbalimbali Dar

    NYUMBA ionekanayo pichani inaizwa TSH 15,000,000 (milioni kumi na tano) mazungumo Yapo -vyumba 2 vya kulala kimoja máster -Sebule -jiko -publick toilet NYUMBA ipo Mbagala Dar es Salaam maji matitu Kwa maelezo zaidi 0714337378/0715053339
  3. JamiiForums Tanzania Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

    Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari! Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule jamaa noma, gamboot na tope zake ndani, soksi juu ya meza, chupa za soda chini ya meza, mabuibui...
  4. JamiiForums Tanzania Ukuta wa nje wa nyumba unatakiwa kuwa na unene kiasi gani?

    Hizi nyumba mpya za tofali za bloku mbona kama zina kuta nyembamba sana? Zinaweza kuhimili uzito wa nyumba na mikiki mikiki ya hali ya hewa? Standard inataka ukuta wa nje wa nyumba uwe na unene kiasi gani?
  5. JamiiForums Tanzania Picha: Hii husababishwa na nini kwenye kuta za nyumba?

    Hii imetokea kwenye kuta, husababishwa na nini hii hali? Kama kuna njia ya kuzia pia ningependa kuifahamu.
  6. JamiiForums Tanzania Mtaani kwetu leo nyumba ya kwanza kuna harusi ya mapacha, nyumba inayofuata kuna 40 ya msiba

    Hii ya Leo aisee tufanye imevunja rekodi na haijawahi kutokea popote yaani tumevamiwa na shughuli mbili. Ya kwanza ni ndoa ya kiislam tena ni mapacha wanaolewa siku moja na wanaume wawili tofauti, ni ndoa ya kiislam hapa nipo live Navizia nidoee doee tea na mandazi na baadae ubweche. Cha...
  7. JamiiForums Tanzania Nyumba Mpya Zinazozwa Chanika Zinausalama Kweli?

    Wakulungwa kumekuwa na matangazo ya nyumba mpya zinazouzwa Chanika, Chamazi na kwingineko kila kona sasa watu wengi sana wamekuwa na hofu wakitaka kufahamu usalama wa hizi nyumba isijekuwa kuna janja janja JF wapo watu hapa ni wajanja wa kufahamu mambo katika jiji hili la Dar es Salaam ingekuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wenye nyumba wanalazimisha wapangaji walipe Kodi kwanzia miezi 6?

    Kumetokea wimbi la wenye nyumba kutaka Kodi ya miezi 6 kwa mkupuo wengine wanataka hadi ya mwaka mzima Mfano Mimi nalipia Kodi 150,000 mwenye nyumba huaa hapokei Kodi ya mwezi mmoja anasema Kodi lazima nilipe miezi 6 au mwaka mmoja Ukiangalia ulipwaji WA fedha/Kodi haumpi mpangaji guarantee...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Unaweza kuishi kwenye hii nyumba?

    Kwenye maisha kila mtu ana uchaguzi wa mahali pa kuishi, kwa jinsi unavyoona utaweza kuishi kwenye nyumba hii?
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi fisadi kununua nyumba Dubai, Cape Town watajwe- Kingwangala

    Kigwangalla ahoji viongozi wa umma walionunua nyumba hivi karibuni maeneo ya Masaki na Oyesterbay zenye thamani ya mpaka dola milioni 6, huku akitaja wengine wana mali za namna hiyo sehemu kama Dubai. Kigwangalla anahoji kiongozi wa umma asiyefanya biashara anatolea wapi utajiri wa namna hiyo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sinza kila nyumba ni kama JALALA. Walioshinda zabuni ya kuondoa taka/uchafu ni kama wameshindwa

    Wakazi wa Sinza tunawaomba uongozi wa juu kuchukua hatuola stahiki kwa uongozi ulipo sasa kuanzia ngazi ya Diwani kuja hadi serikali za mitaa kwakuwa wameshindwa kusimamia zoezi la uzoaji taka majumbani kwa ukamilifu. Tangu mwezi wa 11 mwishoni 2023 hadi leo kuna maeneo mfano Sinza c uchafu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mshahara gani viongozi wa sasa wananunua nyumba za bilioni 25 uko Dubai?

    Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni...
  13. JamiiForums Tanzania Handaki kubwa lakutwa chini ya nyumba ya Ibada ya Mayahudi Sinagogi huko NEWYORK

    Wanaukumbi. Kundi la wanaume wa jamii ya Wayahudi wa Hasidi huko New York walikamatwa Jumatatu huku kukiwa na mzozo juu ya handaki haramu lililochimbwa kwa siri kando ya sinagogi la kihistoria, ambalo limefungwa tangu wakati huo. Hatua za utekelezaji wa sheria baada ya handaki hilo kujulikana...
  14. JamiiForums Tanzania Ati ni kweli kuwa kuna kada hata wafanye Kazi miaka mia hawezi kuwa na nyumba kama ya Mwijaku?

    Habari wakuu! Baada ya kuwakandia Machawa na kuwatukana vilivyo mpaka humu ndani uzi wangu kufutwa. Moja ya viongozi wa bodi ya Machawa Tanzania alinipigia simu jana akiwa na furaha nyingi. Nikiwa najua kuna dili la kibiashara linakuja, nashangaa ananiambia unamuona Mwijaku huko. Nikamwuliza...
  15. JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara za kukuza gharama za ujenzi wa nyumba kama alivyofanya Mwijaku?

    Kwa kuangalia hii nyumba ya bwana Mwijaku ni wazu kuwa si ya 1.3bln. Kuna faida gani kukuza gharama/thamani ya nyumba? Kuna hasara gani?
  16. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Toangoma Kigamboni

    nyumba inauzwa ipo mwembe mtengu tuongomb-kigamboni ina vyumba 3 Vyumba viwili (bedroom)na publi toilet main room[master room 1]na choo chake Dining room jiko sebule pia banda lake la nje lina chumba 1 na public toilet sebule n jiko ina ukubwa eneo qm 900 ina maji safi kbsa ni Km 1.9 kutoka...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau

    Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau
  18. M

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari amjibu Mwijaku "ile nyumba au kibanda nitokee, watu wamejenga bangaloo"

    Mzuka mwanajamvi. Influencer na muuza magari maarufu nchini Dotto Magari ambaye ni watani na wanamashindano ya kimaisha na Mwijaku na baba level ameiponda nyumba mpya ya mwijaku iliyoleta gumzo la aina yake nchini toka jana. Video hapo chini https://www.youtube.com/watch?v=Af0N3hZ66t0 LIKUD...
  19. JamiiForums Tanzania Ikiwa Kanisa lina mlinzi ambaye ni mwanadamu iweje Watu waombe Ulinzi kwa mungu aliyeshindwa kulinda nyumba yake?

    Kwema Wakuu! Moja ya mambo yaliyozidi kunipa mashaka kwenye suala la dini ni pamoja na suala la ulinzi na usalama. Ukienda Kanisani sio ajabu ukakuta Milango. Na kama utaenda siku ambayo sio ya ibada sio ajabu ukakuta Milango imefungwa na kufuli kabisa. Kama hiyo haitoshi, Makanisa makubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni maskini ni vyema utambue mapema kuwa rasilimali za nchi hii hazikuhusu, ndio maana Sheria kali za kulinda rasilimali ziko kwaajili yako

    Hello! Kama wewe maskini please, please, please usizisogelee hizi rasilimali za taifa . Ni hatari zaidi ya kutupia kitimoto kwenye kusanyiko la Eid. Utauliwa na vijana wa TAWA, TANAPA, au TFS na ukinusurika nao utaozea jela. Ni ushauri tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…