nyumba

  1. The Eric

    JamiiForums Tanzania House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

    Wakuu mko salama! Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing. Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor. Mfano nina design...
  2. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Kodi ya nyumba imetaka kumliza mtu, tuweni makini

    Kuliluwa na stress za kodi ya nyumba ya mama mwenye nyumba, na pesa ilikuwa imeshapatikana kwa ajili ya kulipwa, khafla meseji hiyo ikaingia. Jamaa akataka kuituma lakini roho ikasita, kumfata mwenye nyumba kasema hiyo meseji haitambui na wala hajatuma meseji hiyo na wakati matukio ya kuzoza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mjane wa aliyekuwa Jaji wa Zanzibar, Marehemu Mkusa Isack Sepetu anatafutwa baada ya kuharibu nyumba ya shirika la nyumba Zanzibar

    Wakuu naomba tujadili suala hili kwa kina. Huyu Mjane alikua anaishi kwenye nyumba ya serekali. Baada ya mumewe kufariki alipewa notisi ya kuhama. Alifanya jitihada kubwa ya kuiomba Serikali imfikirie na imuachie akae katika nyumba hio ambayo inaonekana walitumia gharama kubwa kuiremba na...
  4. mkenya wa kova

    JamiiForums Tanzania Wakuu sogeeni mjionee finishing nzuri katika nyumba zenu

    Nashugulika na urembo wa Mouldings katika nyumba kama ionekanavyo hapa. Nipo DSM na nafanya kazi popote alipo mteja. karibuni sana 0719999526
  5. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

    Aibu sana unasema unanyumba 5 ila nyumba ya kwenu haieleweki ni aibu kubwa sana mimi nilijua ulivokuwa unatunishiana misuli na ruge basi umejiwekeza kumbe hamna kitu?? Maana dar kwenye unahisi nyumba ya kupanga mikocheni TANZIA - Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale)...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Njombe: Kijana ajinyonga kwa kutumia shuka ndani ya nyumba

    Kijana anayefahamika kwa jina la Chesco Mtega mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa kitongoji cha Kanisa A Kijiji cha Ludewa,wilayani Ludewa mkoani Njombe amegundulika amejinyonga kwa kutumia shuka lililofungwa juu ya kenchi na shingoni mwake ndani ya nyumba,huku sababu zikitajwa ni kutokana na...
  7. Ulongupanjala

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bendera ya Taifa kwenye makazi binafsi

    Happy Saba saba day! Niende kwenye mada,Watanzania tuna bendera yetu ya taifa,na nimeona watanzania wengi wakiweka bendera za taifa kwenye magari yao,makanisa yao,ofisi zao nk na wengine kupewa bendera wanapoenda nje ya nchi hasa wasanii. Nauliza je ninaweza kuweka mlingoti wenye bendera ya...
  8. 1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kununua Dodoma iwe ndani ya eneo la meta za mraba 1000 kwenda juu

    Waugwana habari za majukumu. Ninauhitaji wa nyumba kama nilivyoeleza hapo kwenye kichwa cha habari. Lakini kuna sifa ya ziada ambayo hiyo ndo itakuwa kivutio kwa Mimi kufanya manunuzi. Sifa hiyo ni nyumba hiyo wakati tunafanya biashara iwe inaendelea kuingiza pesa { iwe na mpangaji ama...
  9. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Mmewatesa, kuwanyanyasa na kuwatweza lakini Mioyo yao bado imara. Fundisho

    Hakika ukiangalia haka ka clip kafupi moyo lazima ukusisimke na kujiuliza hawa viongozi wana upendo kiasi gani baada ya kupitia machungu na manyanyaso kiasi hiki kwa miaka mitano? Hakika Chadema ni mpango wa Mungu na kuwaacha hawa na kuchagua wale wajisifiao na kulazimisha kuabudiwa ni sawa na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mapinga Kerege

    Hii ni nyumba ya kuishi na familia, inauzwa ipo Mapinga-Bagamoyo Road kwa bei ya Tsh. 18,000,000 (Milioni 18) lakini majadiliano yanaruhusiwa. Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo Masta, jiko, bafu, seble kubwa kwa ajili ya kulia na kupumzika, pia ina uwanja mkubwa kwa mbele. Masiliano...
  11. Danfordkahwa

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye mahitaji ya nyumba za kupanga na kununua Mbezi

    Nyumba inapangishwa ina vyumba 2 ipo mbezi beach 350000. Call 0684709045 0629350247. Tunachaji view fees kwa ajili ya kuona nyumba ni shs 20000.kodi ya mwezi moja.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Picha ya nyumba anayoishi Mbowe ikionyesha ngazi za nyumba hiyo ni muhimu ikawekwa hadharani

    Mimi nafakiri picha inayoonyesha mazingira ya nyumba anayoishi Mbowe hasa ngazi za nyumba hiyo zilivyo ni vizuri zikawekwa wazi na kama anaishi gorofani, basi ielezwa alikuwa anaishi gorofa ya kwanza au ya pili au ya tatu,n.k ingawa naamini nymba hiyo haiwezi kuzidi gorofa mbili au tatu...
  13. TULIMAJE

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

    Nyumba yenye vyumba 5 ikiwa kwenye hali nzuri. Ina uwanja mbele na nyuma Mita za mraba 1500 Inauzwa mil 90 maongezi yapo Karibuni simu 0768412181 Mbezi Kimara
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu. Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na...
  15. The Genius

    JamiiForums Tanzania Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

    Nimemsikia Mbunge mmoja akiongea Bungeni akitaka Bunge libadilishe Katiba ya Nchi ili kumfanya Rais Magufuli aendelee kutawala hata baada ya kumaliza kipindi chake cha kikatiba cha miaka 10. Kama hilo halitoshi, Spika Ndugai amesikika akimhakikishia Mbunge husika kuwa kazi hiyo ya kubadilisha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu usiku wa leo: Wale ndege aina ya "njiwa' walitolewa kama zawadi ili kuwaziba midomo waliopewa huko katika Bara fulani la mbali

    Usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa kuna mfalme mmoja katika nchi ambayo jina limenitoka, katoa zawadi ya njiwa wazuri kwa watu mashuhuru katika sherehe aliyoiandaa kwa yeye kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa (Birthday). Nilijiuliza sana maana ya ile ndoto na baada ya kutafakari kwa kina...
  17. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akabidhi nyumba 103 kwa Idara ya Uhamiaji Dodoma

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameikabidhi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi nyumba 103 zenye gharama ya zaidi ya sh. bilioni tano kwa ajili ya makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nchini zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ikiwa ni...
  18. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba mpya ya kisasa inauzwa DSM Madale Mwisho 21,000 (48,000,000)

    NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA DSM-MADALE MWISHO $21,000 (48,000,000) Karibu wadau "Hii ni nyumba mpya kama inavyoonekana kwenye picha Ipo Dar es salaam - Madale mwisho..barabara ya kuelekea MBOPO (Njia panda ya Msumi-Mbezi). Bei ni dola $21,000 au Milioni 48 za kitanzania )..(Maongezi kidogo...
  19. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Ni Kitu gani ulitokea ukakipenda/ unakipenda kwenye nyumba za kupanga?

    Habari za jumapili wana jf wote yamkini wote tumeamka salama. Nyumba za kupanga zina karaha yake na sio muda wote tunazichukia, na Kuna muda tunazipenda pia je? Ni kipindi gani ulitokea kuzipenda yani muda huo!
  20. S

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti

    Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti 1km kutokea Kibo complex na pia 1km kutokea nyuki sokoni. Nyumba ina vyumba 2, sebule, dining, choo na bafu. Nje ina servant house ya vyumba viwili na mabanda ya kuku mawili yenye uwezo wa kufuga kuku broiler, kienyeji/ bata au sungura. Eneo zima...
Back
Top Bottom