Ni Siku ya wananchi KAPUMBU katia doa, wamechukua msukule, walidhani wametukomoa, SIMBA ya kimataifa wenzetu team ya mkoa, ZANAKO wamechomeka YANGA wameshindwa kuchomoaaa, hayo Ni maneno ya mwanzo ya wimbo wa Tundamani Na wasanii wengine,
chama la wana simba ni kiiiibokooooo siiimba ni nooma eeheeeee siiimba siiiimba aaaah aweweweeee walete waleteeeeeeeee
Niki report toka kurasini bandarini ni mimi Nzagamba dume a.k.a MZEE TOZI mzee m bad zee la bandari, wazee wa bandari meli hiyoo Poooohoooo.
KUIACHA SIMBA EEHEEE KUSHABIKIA...
Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho.
Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi...
Kilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano,
Bora zaidi
1. Anajikosha. - Harmonize
2. Mama Amina - Marioo
3. Sadakalawe harmonize
4. Kamseleleko - Mbosso
Mbaya Zaidi
1. IYo diamond ft vocalist
2. amapiano...
Namaanisha zile nyimbo maarufu na ambzo sio maarufu..ila tu hazina kick(mdundo)
Zaidi ya sauti ya kawaida(vocal) na sauti ya umeme(ala/voice) ambayo haihusishi kick (pigo mtetemo)
1. Mr flavour - I'm for real
2. Celine Dion - To love you more
3. Ferre Gola - Regard moi
4. Banana Zoro - Mapenzi...
Muziki siku hizi sijui umekuaje? Wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata, Ndombolo,Salute wala Sandakalawe, afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!
Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist kidogo kisha kuwaletea Watanzania
Kuna matusi mengi mno kwenye singeli..
Why BASATA hawagusi hizi nyimbo?
'kalia chupa..kasema kalia chupa'
'mke wangu nenda kadange'
'ntafutie madanga'
'nikipata mzungu nampeleka kwa mpalange'
Mimi sio sio msikilizaji wa singeli lakini hayo matusi nimeweza sikia few times nikisikia hizo...
Kuna nyimbo za Hiphop Bongo nimewahi zisikia mara chache ila ni kali sana
1. Kuna wimbo wa mpenzi bubu. Achana na ile ya Hbaba. Hii ni hiphop mwanzo mwisho na jamaa anaflow vibaya mno japo kuna kauli kalikali. Aliimba nani huu wimbo?
2. Kuna wimbo mashairi yake yanasema, 'Ni hiphop, sikia...
Sijui ni mimi tu au, ila naona kama nyimbo nyingi za Bongo Fleva ziku hizi fupi sana. Ni nadra kuona wimbo umezidi dakika 4.
Nyingi zinaishia dakika 3 na nusu na nyingine hadi dakika 2 na sekunde kadhaa. Hapo kuanzia biti la kuanza hadi mwisho kabisa.
Nakumbuka zamani kidogo wimbo kua na...
Kuanzia tarehe 1 Mei 2021 BASATA wanaanza kutumia rasmi kanuni ya kuzipitia/kuchuja nyimbo mpya za Wasanii wote Tanzania kabla ya kupelekwa kwenye vituo vya Radio/TV
“hii sio sheria mpya, ilikuwepo kabla ila haikua imeanza kutekelezwa, wimbo ukipitishwa Msanii anapewa cheti”
Chanzo...
Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Dkt. Ezekiel Kiongo amesema kumrushia mtu wimbo bila idhini ya mwenye nao ni kosa hata kama huuzi. Amesema ni kosa kurusha kazi ya mtu mwingine bila kibali chake.
Amefafanua, "Kwenye Sheria ya Mtandao (Cyber Law) inakataza na inasema mtu anaweza kulipa...
Leo nimekesha Kufanya Utafiti (Kuchunguza) ni nchi gani nyingine duniani ambayo Rais akiwa 'analihutubia' Bunge Waheshimiwa Wabunge katikati ya Hotuba yake 'humkatisha' kwa Kuanza kuruka 'Sarakasi' Vitini mwao, kuimba Nyimbo na Pambio za Kusifu na Kupongeza.
Je, hili la Wabunge 'Kuingilia'...
Leo ndio mazishi ya Prince Philip wa Uingereza waweza angalia moja kwa moja tv ya SKYNEWS
Maandalizi yote ya msiba wake aliyaanda mwenyewe kabla kufa na ratiba aliindaa mwenyewe.
Katika maagizo aliyoagiza ni kuwa ni maruku padre kuhubiri mahubiri mahubiri kwenye msiba wake na kanisani...
Yaani kabla hujaanza hata kuyumba yumba.
Nyimbo gani zinakupa burudani ya aina yake moyoni ukiwa baa/club?
Kiasi kwamba unaweza kutumia mpaka hela ya nauli au bajeti ya kesho ikavunjwa bila kujielewa.
Nimetoka Kusikiliza Nyimbo za Wasanii Wakubwa Watatu wa ' Singeli " hapa Tanzania nikajuta hata kwanini nilifungulia hiyo Redio ambayo TCRA nao wana Wajibu wa Kuisimamia.
Maudhui ya Kimatusi ya Msanii
A
"Umo Umo akipanua tu Wewe ingiza Chuma cheusi Moto uwake "
Maudhui ya Kimatusi ya Msanii B...
Ndugu zangu,
Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu, nimegundua kwamba kila ukitokea msiba mkubwa wa kiongozi au mtu mwenye ushawishi mkubwa katika jamii, kumekuwa na wimbi la nyimbo nyingi zinazotungwa ili kuomboleza na kumkumbuka mwendazake.
Kwa kweli wasanii huwa wanajituma sana kipindi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.