nyimbo

  1. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

    Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Niko nasikiliza nyimbo zao bora zilizowatambulisha nimegundua kuna tofauti kubwa mno; Sijui kiliwakumba nini vichwani hawa waimbaji siyo bure

    Niko hapa nasikiliza nyimbo mbalimbali za kidunia na kidini! Aisee nyimbo kama za Twenty percent ukisikiliza una feel kabisa ubunifu waziwazi, pia nyimbo kama za prof. J, Wagosi wa kaya, Mwinjuma muumini na wasanij wengine wengi unaona kabisa kuna kitu kilifanyika! (Wasanii na maproducer)...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa. Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club...
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lizer afunguka ya moyoni: Diamond alikuwa analipia nyimbo za Wasafi kupigwa Clouds

    Producer namba moja wa muziki East Africa wakuitwa Lizer Classic ametoa za ndaaaaani kabisa namna Clouds na Wasafi walivyofanya biashara ya muziki. Alitoa comment hiyo akimjibu shabiki kaukau wa mtandaoni.
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nimesikia Rayvanny anataka kumpandishia nyimbo Diamond...!!!

    Za chini chini zinasema Diamond kesho anataka kuachia ngoma nyingine. Wanasema baada ya kufahamu ilo Rayvanny nae anataka kumpandishia ngoma ili kinuke. Inawezekana ni coincidence tu watu wanataka kuchochea vita ila kama ni kwa nia mbaya basi mapanga yatatolewa galani atazamwi mtu usoni 🔥🔥🔥
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Koffi Olumide inasemekana ameamua kuimba nyimbo za Injili

    Baada ya kuupokea uwokovu wa Bwana moyoni mwake, nguli huyu inasemekana ameamua kuutumikia muda wake uliobaki duniani kuliimba jina la Bwana na kusifu utukufu wake.
  7. aka2030

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa "Buga" ni hakunaga ili ulioboreshwa

    Yes ni kweli nyimbo ya buga ni hakunaga iliyoboreshwa wengi watapinga ila ndo ukweli Imeboreshwa kwenye kugha vinanda kidogo ila beat na maudhui ni yale yale Kiufupi nyimbo zetu zinaibiwa sana Ila hatusemi ila sie tukiboresha zao maneno mengi
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mume wa aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, amekanusha mashtaka ya mauaji ya mkewe

    Peter Nwachukwu,aliyekuwa Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili wa Nigeria aliyefariki mwezi Aprili mjini Abuja amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao Kifo cha Osinachi Nwachukwu kilizua ghadhabu baada ya familia yake kudai kuwa alikuwa...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Nigeria (Osinachi Nwachukwu) akamatwa

    Polisi wamemkamata mume wa mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, baada ya kufariki siku ya Ijumaa Aprili 8, 2022 katika hospitali ya Abuja. Ripoti za awali zilisema kuwa msanii huyo mwenye umri wa miaka 42 alikuwa akiugua saratani ya koo, lakini familia yake...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Jeshi liachane na nyimbo ambazo zikisikilizwa, mawazo ya vijana yanaonekana yapo kwenye ngono

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Shabani Ng'enda wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 ameiomba Wizara kutazama upya nyimbo za hamasa zinazoimbwa jeshini wakati wa mazoezi kuwa ziwe za kuhamasisha...
  11. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa nyimbo za maua Sama mturudishie msanii wetu pendwa

    Naongea kama mmoja wa mashabiki na wapenz wa mziki wa Maua Sama ninaoamini kabsa Maua ndo msanii mwny kipaji zaid kuliko wengine Afrika Mashariki(hii ni pamoja na nchi zilizojiunga juzi kati),na katika hilo sihitaji hata nguvu yoyote kulitetea mana kwa wengi wanaoujua mziki mzuri na melody tamu...
  12. Interest

    JamiiForums Tanzania Diamond alimuimbia Wema Sepetu nyimbo nyimbo tamu, chungu na chachu..

    Ujana, mapenzi na ustaa. Maneno hayo machache yanatosha kuelezea maisha ya Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Kama hukufaidi drama za hawa wawili, bado hujalijua vizuri game la muziki wa kizazi kipya. Kwa ufupi sana, hii ndiyo couple namba mbili iliyokuwa na nguvu kuliko zote katika historia ya...
  13. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo tumeziimba sana sisi Wanasimba msimu huu

    Tangu kuanza kwa msimu huu sisi mashambiki wa simba tulikua na matumaini makubwa sana na timu yetu, na hii ilitokana na ukweli kwamba takribani misimu minne tulikua na timu bora sana na hivyo tulifanikiwa kudominate soka la bongo na hata katika medali za kimataifa tulijaribu kupambana kidogo na...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ma DJ wa club muwe mnabadilisha nyimbo

    Kila siku ni nyimbo zile zile, utafikiri ni nyimbo za shule. Dunia ina wanamuziki wengi sana, wenye nyimbo nzuri na tamu kwa kucheza. Kuna wanamuziki wazuri tu wenye nyimbo nzuri huko duniani, miaka ya 70 n.k Sasa kila siku tukija, ni nyimbo zile zile zinapigwa; kwa ujumla, mnatuchosha sana...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyimbo za Zamani huwa zinapendwa na kupendeza sana kwenye vilabu vya pombe za kienyeji?!!!

    eid mubarak!! Hii kitu nimeiona kwenye miji kadhaa niliyowahi kuishi hapa nchini..... Ukitembelea sehemu zinazopatikana pombe za kienyeji (gongo, wanzuki, chimpumu, mnazi n.k) basi burudani yao kubwa ni hz nyimbo za zamani..... Ddc mlimani park Sikinde Msondo ngoma n.k Hizi ni nyimbo zenye...
  16. Stavros Myles

    JamiiForums Tanzania Music Package: Nyimbo za Afrika Magharibi zenye beat zenye ujazo mzito

    Gwala kwa wana Jf wote, naamini bado tunaendelea kupambana na maisha. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nyimbo nyingi kutoka Afrika Magharibi zinaandaliwa kwa ubora mkubwa ingawa zipo ambazo zinakuwa mbovu (chache saaaana 😂). Kama mdau wa muziki ninaweza kuwatajia nyimbo...
  17. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Wahusika: Tunaomba album ya nyimbo za ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne II Septemba 1990 mtuwekee youtube

    Kwa watumishi wa Mungu wanaohusika kwa namna yoyote ile; Tunaomba Album hiyo iliyotoka mwaka 1990 baada ya ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne Paul II, nyimbo zake mtuwekee kwenye youtube. We are terribly missing the album! Kwa kipindi hiki kwenye youtube kuna wimbo mmoja tu wa album hiyo, ambao...
  18. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Tutumie jina la nyimbo / instrumental unayoisikiliza ukiwa umejipumzisha

    Mimi huwa napendelea instrument Zaid moja wapo ni: Kenny G.--- Forever In Love Japo wengi hutumia kama wimbo wa chakula. Wewe yako pendwa ni ipi?
  19. Frustration

    JamiiForums Tanzania Naitafuta nyimbo ya Mh Temba

    Kuna nyimbo nimewahi kuwa nayo kwenye Kanda yangu iliyoimbwa na Mh Temba nachokumbuka jina ni kama kifo ila kila nikitafuta huko google sipati nyimbo hii. Mfano wa mistari yake ni pale alipolalamika rafiki yake amechikuliwa na kifo na jana tu alikuwa ameongea nae. Kifo ww ni nani mbona una.
  20. Frustration

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa nyimbo hii ya SIKULAUMU iliyoimbwa na Triple S

    Habari a jioni wana ndugu wote wa jamiiforum na pole kwa changamoto za maisha za hapa na pale. Leo nakuja na kisa cha mwanamke mmoja ambaye alifukuzwa kazi na hatimae kwa hasira akaenda studio kurekodi nyimbo ili kutoa ya moyoni. Ni stori inayotia simanzi kiasi chake hasa ukiwa na moyo wa...
Back
Top Bottom