Ipi bora kati ya kuuza movie na nyimbo, vipodozi na kucha au Chips. Mbagala/Gongo la mboto.

Jembebutu

Member
Feb 14, 2017
88
225
Habari ndugu. Naumiza sana kichwa kwa imani yangu kwamba pesa ipo uswahilini kwenye biashara ndogondogo. Nawaza kwenda sehemu tajwa na kamtaji kidogo ninacho. Naomba mwongozo na ushauri juu ya biashara hizo kwa wanaoishi na wasioishi maeneo hayo. Natazamia kufanya mojawapo kati ya hizo. Naomba msaada wa hata wa location specifically ndani ya maeneo tajwa ikiwezekana. Shukran sana.
 
BIASHARA ZOTE NZURI, JIPANGE TU MAANA HUKO ZINA USHINDANI MKUBWA...TULIA UFANYE UTAFITI
 
Mi naona kuuza movies na nyimbo pamoja na hiyo ya chips iko poa sana.Ila kikubwa ni lazima ufanye utafiti kidogo ili ujue kama kuna uhitaji wa hizo huduma eneo tajwa,ushindani n.k

Ngoja waje na wengine watoe mawazo yao naimani utapata kitu na utaweza fanya chaguzi lililo sahihi.Kila la Kheri.
 
Back
Top Bottom