Kwanini ninachelewa kusinzia nikisikiliza hiizi nyimbo? Nipo peke yangu

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost

Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo

Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1 kasoro

2 berry - Na Wewe Tu
Mike tee - Sintobadilika
JI - Kidato Kimoja
MB Dogg - Natamani
Mr Paul - Zuena
Top Band - Nilikaraa
Hummer Q - Lady
Nameless - Nasinzia nikikuwaza
Ali Kiba - Cinderela
 
Kila mmoja ana playlist yake nikikuwekea yangu utanihisi chizi
 
Back
Top Bottom