Nyimbo zangu tano kali za Bongo Fleva

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,687
5,444
Kiukweli TZ tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( Bongo Fleva).

Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea, kuna haja ya wadau wa muziki huu kuzinduka usingizini.

Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kali za Bongo, hizi hapa nyimbo zangu tano kali za bongo fleva naweza kusema ni za muda wote toka nimeijua Bongo Fleva.

1: MB Dogg si ulinimbia

2: Albert Mangwea she got a gwan

3 : Jay Mo feat Ngwea kimya kimya

4: Ferooz ft Professor Jay Starehe

5: Professor Jay feat Juma Nature zali la mentali.
 
Kiukweli Tz tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( bongo fleva).

Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea, kuna haja ya wadau wa muziki huu kuzinduka usingizini.

Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kali za bongo, hizi hapa nyimbo zangu tano kali za bongo fleva naweza kusema ni za muda wote toka nimeijua bongo fleva.

1: Mb Dogg si ulinimbia

2: Albert mangwea she got a gwan

3 : jay mo feat ngwea kimya kimya

4: Ferooz ft professor jay starehe

5: professor jay feat juma nature zali la mentali.

1. Pazia Jeusi- Roho Saba.

2. Mtoto wa Kiume- Mabovu.

3. Yote Maisha- Madee Ft P.Funk.

4. Jina Langu- Profesa Jay

5. Mtazamo- Afande Sele

Ya Ziada:

1. Sugu Moto Chini- Mr II

2. Mwana Mkiwa- K- Sal

3. Mwanza Mwanza-Farid Kubanda

4.List Goes On...
 
Vipaji hata sasa vipo tu, bora ungesema nyimbo zangu bora za miaka hiyo. Maana hao uliowataja wengine wapo mpaka leo na wanaimba lakini kila waiijaribu kukaa kwenye mainstream hola mambo yana buma
 
Tukiondoa hao malegend ambao tunao nitajie vipaji vipya vinavyotikisa kwa sasa?
 
Sikiliza - Ngwea, FA, Jide
Kiukweli Tz tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( bongo fleva).

Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea, kuna haja ya wadau wa muziki huu kuzinduka usingizini.

Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kali za bongo, hizi hapa nyimbo zangu tano kali za bongo fleva naweza kusema ni za muda wote toka nimeijua bongo fleva.

1: Mb Dogg si ulinimbia

2: Albert mangwea she got a gwan

3 : jay mo feat ngwea kimya kimya

4: Ferooz ft professor jay starehe

5: professor jay feat juma nature zali la mentali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom