Sipati jibu ninapowaza juu ya nchi yangu 🇹🇿 Tanzania. Nashindwa cha kufanya, naishia kusema: Je, Nyerere angekuwepo angenyamaza kama hawa Wastaafu walivyonyamaza utadhani hawapo?
Mbona huyu mwenye majina mengi anabomoa, nani atakayeijenga tena Tanzania ya Watanganyika na Wanzibari?
Nauliza...