Yericko Nyerere kurithi viatu vya mzee Sumaye kanda ya Pwani Chadema?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,833
Nimepata taarifa ambazi siyo rasmi sana huko kigamboni kwamba kijana machachari na mwandishi wa vitabu vya ujasusi Kamanda Yericko Nyerere atajitosa kulitwaa jimbo la Pwani kama mwenyekiti wake kupitia Chadema.

Namtafuta Yericko atuthibitishie hili.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ukiwa pembeni ya Mbowe una kila kitu CHADEMA ila sio uenyekiti, hapo ukigusa tu kitakachofuata utakuja humu kusimulia
 
Nimepata taarifa ambazi siyo rasmi sana huko kigamboni kwamba kijana machachari na mwandishi wa vitabu vya ujasusi Kamanda Yericko Nyerere atajitosa kulitwaa jimbo la Pwani kama mwenyekiti wake kupitia Chadema.

Namtafuta Yericko atuthibitishie hili.

Maendeleo hayana vyama!
Sumaye bana tulimuitaga ziro zama zile,
 
Back
Top Bottom