Mhandisi Emmanuel Korosso anaendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL)
Pia, Dkt. Alexander Lugatona Kyaruzi ameteuliwa kuwndelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
Wakati huo huo, Joseph Odo Haule anaendelea...
Ni ukweli ulio wazi kuwa Upinzani tulionao uliasisiwa kwa baraka za baba wa taifa mwalimu Nyerere baada ya 80% ya watanzania kutaka mfumo wa chama kimoja uendelee.
Ndio nawauliza wanabodi, je huu ndio wakati muafaka wa kuheshimu maoni ya wale 80%?
Au ifanyike kura ya maoni kuukubali au...
Nijuavyo mimi Dunia nzima Kihistoria nchi zimekuwa zikichagua Wanyama kama alama inayowawakilisha, yaani unaweza kusema mnyama wa nchi, na wengi hapa huchagua mnyama mwenye sifa ya UKUU na UTAWALA, ndo maana nchi nyingi kubwa kama Ujerumani, USA, na Falme nyingi kubwa Duniani wamekuwa wakichagua...
Nchi yetu ina maendeleo kidogo sana ukilinganisha na rasilimali zetu, maliasili zetu, hali ya hewa yetu na utulivu wetu.
Hata hivyo maendeleo haya madogo yameletwa na kila mtu kwa nafasi yake,
Hata hivyo walioleta Maendeleo mwanzo wamesababisha wa leo kuendeleza kwa vile huwezi kurudia kufanya...
Siyo kwamba hawakufanya, walifanya ila kimya kimya
Angalia midude
Kikwete Anaeleza kwamba tuliachiwa ndege 14 na Nyerere
https://www.jamiiforums.com/threads/jakaya-kikwete-mzee-nyerere-alituachia-ndege-za-taifa-14-kuna-kipindi-zimeisha-hapa-kati.1504952/
Kuna Upotoshaji wa Hali ya Juu...
MAMBO 10 YA KIPEKEE USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD KAMILIUS MEMBE.
Tunaendelea tulipoishia..
Hii ni "episode" ya tano katika mwendelezo wa "series" yetu juu ya historia na wasifu wa mwanasiasa na mwanadiplomasia wa muda mrefu Bernard Kamilius Membe.
Kama nilivyoeleza katika "episode" iliyopita.Leo...
Nimejiuliza maswali mengi baada ya kumewasikia wachangiaji karibu wote kwenye kusanyiko linaloitwa ‘’ kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ wakitoa mchanganuo wa maisha ya Mwl. Nyerere kama raia wa kawaida na Kiongozi Mkuu wa Tanganyika na Tanzania.
Miaka 29 ni...
JE KIKWETE NA MEMBE NI NDUGU WA KUZALIWA TUMBO MOJA?
Nichukue fursa hii kuwashukuru wasomaji,wakosoaji,wauliza maswali na watoa maoni wote wa jukwaa hili kwa kila ninachoandika na kukiweka humu.
Ikumbukwe kwamba dhumuni kuu la simulizi hizi ni kuwajulisha watu juu ya wasifu au historia ya...
HAWA NDIO WATU WATANO WANAOUNDA KUNDI LA "WANAMTANDAO"
Asalaam aleykum,
Tumsifu Yesu Kristo,
Wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu marhaba.
Nichukue fursa hii kuwashukuru wasomaji wa simulizi hizi zihusuzo wasifu wa mwanasiasa Bernard Kamilius Membe(BM)mwenye asili ya kabila la Wamwera...
Jana niliahidi kuendelea na simulizi kuhusu mambo kadhaa yamhuhusuyo Ndugu Bernard Kamilius Membe na siasa za nchi yetu. Simulizi hizi zipo katika mtindo wa "series".Kila "episode" ya "series" hizi itahusisha matukio muhimu yasiyo maarufu kwa watu wengi lakini yana mvuto wa kipekee katika wasifu...
Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi
Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM
Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki
Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu.
Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za...
JK ALIMTUMA MEMBE KWA MWL.NYERERE.
Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mwl.Julius Kambarage Nyerere alifanya ziara ya kikazi na kimatibabu katika nchi mbili tofauti bara la Amerika nazo ni Canada na...
Alichosema Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo katika maadhimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mkoani Lindi.
"Miaka 20 iliyopita baba wa taifa alikuwa hai lakini sasa ametangulia mbele za haki. Miaka 20 ijayo sidhani kama kuna watu tutakuwa...
Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania’s former President Julius Nyerere.
Tanzania’s stance on Palestine suggests its history of fighting global injustice could be making way for a more pragmatic “economic diplomacy”.
In November 2018, representatives of...
Nimekumbuka ujumbe wa Mwl Nyerere kabla ya kung'atuka aliporusha dongo kwa wapambe wake waliomshauri abaki madarakani kwa kuwa ana afya, uwezo na wananchi wanamuhitaji sana kama kiongozi wao mzalendo.
Mwalimu aliwaambia wapambe wake hapana na wasiwe na wasiwasi kwamba akiondoka labda ajae...
Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake, Waziri Mkuu wa Misri, Mostafa Madbouly, wanashiriki utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme kwenye Mto Rufiji (Stieglers Gorge).
Sherehe hizo zimehudhuriwa pia na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu; Waziri Mkuu Kassimu...
Leo ninawaletea ufafanunuzi wa mambo yanayoashiria ufanano wa kiutendaji kati ya Mwl Nyerere na Ndg Magufuli Mwkt wa CCM na Rais wa Tanzania, kwa kuwa viongozi hufananishwa na hutofautishwa kwa utendaji wao katika kutoa uongozi.
-Ukweli
Mwalimu mwanzoni mwa miaka ya 1960 alipojiuzulu Uwaziri...
Hakuna sehemu yoyote duniani kwenye umeme wa bei rahisi kama umeme wa Maji (Hydroelectrity). Nchini mwetu Tanzania tumepata bahati ya kuwa na vyanzo vingi vya maji na maporomoko mengi ambayo tungeweza kuyatumia kuzalisha umeme. Baadhi ya maporomoko hayo tumwyatumia, mengine bado hatujayatumia...
"WATANZANIA HAWA WANATAKA MABADILIKO, WASIPOYAPATA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM" JK. NYERERE....."LAZIMA CCM TUWAPE WATANZANIA MABADILIKO WAYATAKAYO ILI TUENDELEE KUONGOZA" Nnauye (mtoto wa kuli).
NIMEKUTA KWENYE WALL YA NAPE YA FB, ANAYAAMINI HAYA?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.