nyerere

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nyerere ndiye anayepaswa kubebeshwa mzigo wa lawama juu ya mfumo mbovu hapa nchini

    Nyerere aliyeitawala Tanzania miaka hishirini na ushehe. Wananchi wa wakati wake walikuwa na uelewa mdogo wa mambo mbalimbali ikapelekea kumkubali sana huyu mtu. Alikuwa na uwezo wa kubadili katiba ya nchi hii na kutupatia katiba yenye kuyapa majimbo, mikoa au wilaya mamlaka kamili. Mfano...
  2. My county

    JamiiForums Tanzania Kwanini ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere ni muhimu?

    KWANINI MRADI WA UZALISHAJI UMEME WA MAJI BWAWA LA NYERERE MTO RUFIJI NI MUHIMU? Mradi huu unatarajia kuzalisha megawati 2,115 za umeme hatua ambayo inaelezwa kwamba itasaidia kupunguza tatizo la nishati hiyo muhimu kiuchumi na kijamii hapa nchini. Wasomi wanaeleza kukamilika kwa mradi huu...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Nyerere angetuvusha kipindi kama hiki bila shida

    Najua ukweli unauma lakini lazima tuseme hata kama inauma mwaka 1978 kulitokea vita ambayo ilileta madhara makubwa kwa taifa kipindi hicho baada ya vita kulitokea hali mbaya sana kiuchumi na njaa kali ila mwalimu hakukimbia, hakukata tamaa alikuwa mtu wa watu hakuona aibu alienda nje na kuomba...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwalimu Nyerere hakujenga hospitali ya mkoa wa Mara? Ujenzi ulisimama kwa miaka 40 na sasa kukamilika mwaka huu!

    Kuna mambo ambayo serikali imekuwa ikiyafanya nchi hii yanashangaza sana. Mchoro wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere yaani Kwangwa ulibuniwa mwaka 1975 na baadae mwaka 1977 ujenzi ulianza. Baadae mwaka huo wa 77 ujenzi wa hospitali hii iliyoko Musoma...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hazikupika takwimu za uongo za viwanda

    Wachumi na wanahistoria naomba mnisaidie Serikali za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jakaya hazikufanya udanganyifu wa takwimu za uwepo wa viwanda vipya Tanzania. Naamini hata Serikali ya awamu ya tano haiwezi fanya kosa Kama Hilo la kupika data za kiuchumi. Hivyo wanavyosema ndani ya miaka minne...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl. Nyerere alishindwa kuhamia Dodoma?

    Wazo la kuhamahamishia serikali Dodoma lilikuwa la Mwl. Nyerere wakati ya awamu ya kwanza. Lakini hata baada ya kuliongoza taifa kwa muda mrefu alishindwa kuitekeleza mdoto yake ya kuhamia Dodoma. Ndoto ya kuhamia Dodoma pia haikutimia kwenye awamu zingine 3 (miaka 30) zilizofuata na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Furaha ya kutoka jela: Nyerere alimpokelea Nelson Mandela Ikulu wakati akiwa ameshastaafu na Rais Mwinyi akiwa safarini

    Najikumbusha tu namna watu mbalimbali wanavyowapokea wapendwa wao wanapotoka jela. Nelson Mandela alipotoka jela alipozuru Tanzania alipokelewa kwa furaha na Rais mstaafu mwalimu Nyerere pale Ikulu ya Magogoni. Na ninakumbuka Rais wa wakati huo mzee wetu Mwinyi alikuwa safarini. Furaha ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema msikate tamaa; hata Nyerere, Mandela nk walihukumiwa kwenda jela na serikali zilizokuwa madarakani - na leo tunajua haikuwa halali

    Historia ina mambo ya ajabu sana. Binafsi huwezi kunishawishi hata chembe kwamba kweli viongozi wa Chadema walifanya makosa, na hata kama kuna chembe ya makosa katika mambo waliyoshitakiwa, walistahili adhabu walizopewa. Ninaamini kwa dhati kwamba adhabu walizopewa, kama hazina maagizo kutoka...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Julius K. Nyerere: Ikulu ni pahali patakatifu, sio pango la wanyang'anyi

    "Mimi sikuchaguliwa na watanzania ili niifanye Ikulu kuwa Pango la wanyanganyi" Pili naomba tujadili hali ya ikulu yetu, je ni pango la wanyanganyi au ni mahali patakatifu?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere kasema kwa sasa CCM Hainunui TENA wapinzani

    Kada marufu n ategemeo tena genius ndani ya ccm bwana steve mengele katoa kali ya mwaka,soma mwenyewe uone,eti sasa hivi hawanunui tena wapinzani ina maana mashinji hajapewa hata ka sh kumi?madalali kina mzee kijana watakubali kweli?maana mradi mnono ule ati? Yaani hata madiwani wa mbeye...
  11. jd41

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

    Wanabodi Salaam. Ikiwa taarifa za kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu. Bernard Camilius Membe zikiwa bado zinatikisa mimbari ya siasa Tanzania, nimejikuta ninakumbuka matukio machache kabla ya uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Ikumbukwe wakati ule mgombea aliekuwa anapewa nafasi...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Diamond alivyo tumia mbinu za Yericko Nyerere kuiua " Hujanikomoa " ya Konde Boy

    Kitabu cha Ujajusi wa Kiuchumi na Kidola cha Yericko Nyerere hakiyahusu mataifa Tu . Hata watu binafsi, makampuni etc wanaweza kutumia mbinu hizo. Moja Kati ya mbinu anazo zielezea Bwana Yericko kwenye kitabu chake ni pamoja na namna ya kupambana na kumdhoofisha mshindani wako kibiashara...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka CCM. Mrema, Sumaye na Lowassa wameshindwa. Je, kuna mwingine?

    Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Upinzani wa kweli na mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM na kwamba bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba. Alikuwepo Lyatonga Mrema, akaja Lowassa na Sumaye lakini upinzani bado ni shaghala bagala yaani tia maji tia maji. Hivi hii...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Shuhudia shughuli ua uchepushaji mto rufiji ujenzi wa Nyerere hydro power dam

    Naona sasa kazi inaenda kwa kasi ya kuridhisha, tunasubiri hili bwawa kwa hamu kubwa ili bei ya umeme ishuke, umeme wa uhakika, na kunawiri kwa viwanda pamaoja na kushuka kwa gharama za uzalishaji nanhivyo kuongeza ushindani sokoni kwa bidhaa zinazozalishwa ndani. video ina maelezo ya ziada.
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere tusaidie, kitabu chako ukiuza kupitia Amazon unalipwa kwa njia ipi?

    Watanzania wengi wanataka kuuza vitu masoko na maduka ya mitandaoni kama Amazon, Ebay n.k Yericko Nyerere, huwa unalipwaje ukiuza kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi kwenye duka la Mtandaoni la Amazon; yaani pesa zako huwa unazipataje, kwa Paypal au njia ipi mteja aki-click na kununua? Sababu...
  16. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Wazee wampongeza Rais Magufui ujenzi bwawa la Nyerere

    CHAMA cha Saidia Wazee Tanzania (SAWATA) kimempongeza Rais John Magufuli kwa ushupavu, alioonesha wa kuamua kutekeleza ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Mto Rufi ji wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP), ambao ujenzi wake kwa sasa umefi kia asilimia 10. Mradi huo wa kuzalisha...
  17. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere alianzisha miradi mingi kuliko hii tunayoisika: . Alikosa " Whistle blowers" kwa sababu ya mfumo wa chama kimoja, ikafa yote. Tujifunze

    Ni maoni yangu: Kwa kuwasikiliza viongozi wetu wa juu wa chama, kuna dalili ya kurudi mfumo wa utawala wa chama kimoja. .Sina takwimu ni Watanzania wangapi wangependa iwe hivyo,japo hakuna aliyejitokeza waziwazi ndani ya chama Tawala kusemea hii trend. Athari mojawapo kubwa ni kuwa na utawala...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Profesa René Dumont aliyethubutu kumpinga wazi Nyerere kwenye suala la vijiji vya ujamaa kwa hoja nzito ambayo tayari imetimia

    Nyerere miaka ya 1970 aliwahi kumualika Profesa Mfaransa Rene Dumont mtu aliyebobea kwenye uchumi wa kilimo aliyesifiwa mno kwa uwezo kwenye eneo hilo la uchumi wa kilimo duniani. Alipofika alitembezwa sehemu mbalimbali vijijini. Wakati huo operation ya vijiji vya ujamaa ndio ilikuwa imepamba...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike

    Wanabodi, Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandishwa humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea!. Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli Nimesema kwa upande wa wanyama pori...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

    Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu, ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali...
Back
Top Bottom