Shuhudia shughuli ua uchepushaji mto rufiji ujenzi wa Nyerere hydro power dam

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,063
40,724
Naona sasa kazi inaenda kwa kasi ya kuridhisha, tunasubiri hili bwawa kwa hamu kubwa ili bei ya umeme ishuke, umeme wa uhakika, na kunawiri kwa viwanda pamaoja na kushuka kwa gharama za uzalishaji nanhivyo kuongeza ushindani sokoni kwa bidhaa zinazozalishwa ndani. video ina maelezo ya ziada.
 
Back
Top Bottom