Taasisi ya Kavazi la Mwalimu Nyerere imefungwa rasmi baada ya kukamilisha majukumu yake

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,922
141,888
Prof Issa Shivji aliyekuwa Mwenyekiti wa taasisi ya Kavazi la Mwalimu Nyerere amesema taasisi hiyo imefungwa rasmi baada ya kukamilisha majukumu yaliyosababisha ianzishwe.

Shivji amesema sasa fikra za mwalimu Nyerere zitaendelea kusomwa kupitia vitabu mbalimbali vilivyotayarishwa na taasisi hiyo badala ya semina na makongamano kama ilivyokuwa wakati wa uhai wa taasisi hiyo.

Source: ITV
 
Shivji acha urongo we sema wafadhili hawachangii tena taasisi haina hela vyuma vimekaza
Ilikuwa inafadhiliwa na Tume ya sayansi na teknolojia na ilikuwa na majukumu maalumu ambayo imeyakamilisha.......uwe unaelewa bwashee!
 
Back
Top Bottom