Kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Arts Festival)

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
13,747
19,013
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere linalofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaaam. 
Huyu mtu wangemwacha apumzike kwa amani kwenye kaburi la zege!

Kila kitu 'nyerere' hawakawii kukiitia kiungo pendwa kwa jina hilo.
 
mwalimu naomba nisaidie unlock code ya hizi simu za tigo 4g kitorch ,
jina lake ni : Condor FP216L
inatumia tigo tu nataka niweze weka line zingine
 
Back
Top Bottom