nyerere

  1. Cvez

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Mchungaji Peter Msigwa nimemchukulia mwanamke ndio maana anaendekeza ugomvi na wasanii kutangaza utalii nchini

    Nimeangalia hoja za Steve kuhusu kauli alizotoa Mh Msigwa bungeni jamaa amekuja na kashfa na sio hoja kwa nini anastahili nafasi aliyopewa na Mh Kigwangala. Hivi ina maana anaamini kuwa anaweza kuleta watalii Tanzania ni Mara 10000 Bongozozo anaweza fanya hiyo kazi ila si yeye. Ni kweli yeye...
  2. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Karne hii ni vigumu kupata Viongozi mioyo ya chuma kama kina Nyerere, Sokoine Dr. Kleruu nk

    1. Walisimamia waliyoyaamini bila kuyumba. 2. Walipinga Kiongozi wa umma kujilimbikizia mali kwa wao kuwa mfano. 3. Walitoa kauli au matamko yenye msimamo mmoja. 4. Waliheshimu viongozi waliowateua. 5. Hawakuwahi kubagua watu kwa makabila, dini, mila, ukanda nk.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Enzi za Mwalimu Nyerere mbunge wa Kigoma Mjini Zitto angewekwa kizuizini kwa matamshi yake

    Ananieleza Mzee Mgaya kwamba Rais Magufuli ni mkali lakini ni muungwana na mvumilivu sana. Enzi za Mwalimu Nyerere huyu Kabwe angekuwa kizuizini muda huu akichunguzwa juu ya kauli zake za mara kwa mara zilizojaa uchochezi, anaeleza MzeeMgaya. Waziri katumbuliwa na kosa lake limeelezwa wazi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika ( AU) wampongeza Rais Magufuli kwa kutekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha Afrika

    Kamishna wa AU mh Bade kwa niaba ya Umoja wa Afrika amempongeza kwa dhati Rais wa Tanzania Dr Magufuli kwa kuzitekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha bara la Afrika. Bade ametoa pongezi hizo jijini Arusha wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la makao makuu ya...
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Kuna wanasiasa wanaouza heshima zao kwa sababu ya pesa. Ukiwapa pesa watatukana kweli kweli, wako tayari kusaliti nchi

    Hawa watu huwa wanapewa pesa kwa masharti ya kuongea maneno waliyoandikiwa na wafadhili wao. Hii nimeifananisha na tabia ya jamaa mmoja wa nchi ya Tanzania alikuwa akilipwa na ACACIA kuitukana Serikali. Jamaa waliomtuma kuongea yale maneno walimchagulia hata matusi ya kutukana. Kama ilivyo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere kurithi viatu vya mzee Sumaye kanda ya Pwani Chadema?

    Nimepata taarifa ambazi siyo rasmi sana huko kigamboni kwamba kijana machachari na mwandishi wa vitabu vya ujasusi Kamanda Yericko Nyerere atajitosa kulitwaa jimbo la Pwani kama mwenyekiti wake kupitia Chadema. Namtafuta Yericko atuthibitishie hili. Maendeleo hayana vyama!
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyerere was a President, Diplomat, Politician and also a Teacher

    6 Maoism in TanzaniaMaterial connections and shared imaginariesPriya LalWe stand for self-reliance. We hope for foreign aid but cannot bedependent on it; we depend on our own efforts, on the creative power ofthe whole army and the entire people.Self-Reliance and Arduous StruggleIn December...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kavazi la Mwalimu Nyerere imefungwa rasmi baada ya kukamilisha majukumu yake

    Prof Issa Shivji aliyekuwa Mwenyekiti wa taasisi ya Kavazi la Mwalimu Nyerere amesema taasisi hiyo imefungwa rasmi baada ya kukamilisha majukumu yaliyosababisha ianzishwe. Shivji amesema sasa fikra za mwalimu Nyerere zitaendelea kusomwa kupitia vitabu mbalimbali vilivyotayarishwa na taasisi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tumeshahama sasa tujikite kwenye ndoto ya Nyerere ya kuwa na serikali moja kwani Dodoma ni katikati ya Kagera na Zanzibar

    Baada ya Rais wetu mpendwa Dk. Magufuli kutimiza ndoto ya baba wa taifa ya kuhamia Dodoma ni wakati sasa wa kufikiria ndoto ya pili ya Mwalimu Nyerere ya kuwa na muungano wa serikali moja. Dodoma ni katikati ya ramani ya muungano wetu hivyo serikali kuhamia katika jiji hilo ni ishara nzuri ya...
  10. SONGOKA

    JamiiForums Tanzania Nyerere angekuwa Nyerere ndani ya miaka 10 tu?

    Mimi si mshabiki sana wa madikteta lakini pia si mshabiki wa demokrasia ya Ulaya na Marekani Nimekuwa nikijiuliza sana hivi uongozi wa Mwalimu Nyerere ungeishia mwaka 72 Je angekuwa na umaarufu huu wa sasa? Au muda wa kutosha aliopewa ni kigezo pia cha kutekeleza mengi zaidi? Je, angeishia...
  11. KIBESENI

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu, je Nyerere angekuwapo angenyamaza?

    Sipati jibu ninapowaza juu ya nchi yangu 🇹🇿 Tanzania. Nashindwa cha kufanya, naishia kusema: Je, Nyerere angekuwepo angenyamaza kama hawa Wastaafu walivyonyamaza utadhani hawapo? Mbona huyu mwenye majina mengi anabomoa, nani atakayeijenga tena Tanzania ya Watanganyika na Wanzibari? Nauliza...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Arts Festival)

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere linalofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere - Sehemu ya sita (6)

    KIFO CHA AKUKWETI,MIKAKATI YA LOWASSA,KARATA YA KIKWETE NA UTEUZI WA MEMBE. Habari za siku wasomaji wangu mnaofuatilia "series" yenye "episodes" zinazoelezea historia ya maisha ya kisiasa ya kiongozi nguli nchini Tanzania Bernard Kamilius Membe. Katika "episode" iliyopita niliahidi kuwaelezea...
  14. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Chuo cha Kumbukumbu ta Mwalimu Nyerere chapata Mkuu mpya. Wenyeviti wa Bodi nne waendelea na nyadhifa zao

    Mhandisi Emmanuel Korosso anaendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Pia, Dkt. Alexander Lugatona Kyaruzi ameteuliwa kuwndelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Wakati huo huo, Joseph Odo Haule anaendelea...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Upinzani ulioasisiwa na mwalimu Nyerere umefeli, Je turudi kwenye mfumo wa chama kimoja?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa Upinzani tulionao uliasisiwa kwa baraka za baba wa taifa mwalimu Nyerere baada ya 80% ya watanzania kutaka mfumo wa chama kimoja uendelee. Ndio nawauliza wanabodi, je huu ndio wakati muafaka wa kuheshimu maoni ya wale 80%? Au ifanyike kura ya maoni kuukubali au...
  16. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere kwanini alichagua Twiga? Ni Mnyama dhaifu sana!

    Nijuavyo mimi Dunia nzima Kihistoria nchi zimekuwa zikichagua Wanyama kama alama inayowawakilisha, yaani unaweza kusema mnyama wa nchi, na wengi hapa huchagua mnyama mwenye sifa ya UKUU na UTAWALA, ndo maana nchi nyingi kubwa kama Ujerumani, USA, na Falme nyingi kubwa Duniani wamekuwa wakichagua...
  17. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Nyerere alijenga vyuo vingapi? Watu wa mwanzo wamewarahisishia watu wa sasa

    Nchi yetu ina maendeleo kidogo sana ukilinganisha na rasilimali zetu, maliasili zetu, hali ya hewa yetu na utulivu wetu. Hata hivyo maendeleo haya madogo yameletwa na kila mtu kwa nafasi yake, Hata hivyo walioleta Maendeleo mwanzo wamesababisha wa leo kuendeleza kwa vile huwezi kurudia kufanya...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania Picha za ndege alizonunua Mwalimu Nyerere

    Siyo kwamba hawakufanya, walifanya ila kimya kimya Angalia midude Kikwete Anaeleza kwamba tuliachiwa ndege 14 na Nyerere https://www.jamiiforums.com/threads/jakaya-kikwete-mzee-nyerere-alituachia-ndege-za-taifa-14-kuna-kipindi-zimeisha-hapa-kati.1504952/ Kuna Upotoshaji wa Hali ya Juu...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere, Sehemu ya tano 5

    MAMBO 10 YA KIPEKEE USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD KAMILIUS MEMBE. Tunaendelea tulipoishia.. Hii ni "episode" ya tano katika mwendelezo wa "series" yetu juu ya historia na wasifu wa mwanasiasa na mwanadiplomasia wa muda mrefu Bernard Kamilius Membe. Kama nilivyoeleza katika "episode" iliyopita.Leo...
  20. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa, Mwl. Nyerere hakuwa mwanademokrasia!

    Nimejiuliza maswali mengi baada ya kumewasikia wachangiaji karibu wote kwenye kusanyiko linaloitwa ‘’ kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ wakitoa mchanganuo wa maisha ya Mwl. Nyerere kama raia wa kawaida na Kiongozi Mkuu wa Tanganyika na Tanzania. Miaka 29 ni...
Back
Top Bottom