Yeriko Nyerere tusaidie, kitabu chako ukiuza kupitia Amazon unalipwa kwa njia ipi?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Watanzania wengi wanataka kuuza vitu masoko na maduka ya mitandaoni kama Amazon, Ebay n.k

Yericko Nyerere, huwa unalipwaje ukiuza kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi kwenye duka la Mtandaoni la Amazon; yaani pesa zako huwa unazipataje, kwa Paypal au njia ipi mteja aki-click na kununua?

Sababu Watanzania wengi wangependa kuuza vitu online tatizo liko kwenye njia za kulipwa online. Serikali haijaruhusu njia rahisi ya haraka na nafuu ya Paypal.

Tupe uzoefu wako unalipwaje ukiuza nakala za kitabu chako online duka la Amazon.
 
Wazee wa utakatishaji na uhujumu uchumi wanamtafuta mtu hapa
Siyo kweli. Mimi nimeandika sana kuhusu serikali kuondoa umaskini iruhusu Paypal Tanzania.

Serikali inaruhusu tu Watanzania kulipa kupitia paypal lakini hairuhusu mtu kupokea pesa kwa paypal nikaongelea sana humu kuwa sio sahihi nchi kuwa watumiaji tu wa pesa kununua nje lakini sio wapokeaji wa psypal it is unfair .Kwa nini tuwe tu watumiaji pesa na sio wauzaji na wapokea pesa kupitia hiyo paypal?

Ndio maana namuuliza mtaaslamu mbobezi wa ujasusi aliyeandika hadi kitabu cha ujasusi Yeriko Nyerere atusaidie mwenzetu akiuza kitabu chake online soko la mtandaoni amazon huwa analipwaje?

Nauliza in good faith kama mtu niliyeshauri humu serikali imeziba masikio inajifanya haioni umuhimu au inajikausha.Atupe uzoefu ili watu wajue watumie mbinu ipi kama serikali inajifanya kiziwi na bubu

Mimi ni CCM damu lakini kwenye hili la kukataa paypal kukataza kupokea hela nalipinga wazi wazi.Nitapongeza serikali maeneo mengine lakini hili nalipinga serikali haiko sahihi
 
Na uzoefu wako wote unaleta thread kupata msaada kwa mtu then unaacha kumtag.
 
Na uzoefu wako wote unaleta thread kupata msaada kwa mtu then unaacha kumtag.
Nataka ajibu open kwa faida ya wengine pia sababu si mimi tu niliyekuwa nikihoji hilo ni wana jamii forums kibao sihitaji jibu mimi kama individual. Jibu lake litafungua wengi.
 
Yani wewe unayetegemea buku7 lumumba ndie unaakili? Basi kama ni hivyo hata bosi wako bashite anakuzidi
hivi wewe hata paypal unaelewa ni mdudu gani? hii mada iko beyond kichwa chako mwachie Yeriko Nyerere ajibu
 
Mkuu Yericko Nyerere nyerere fanyia kazi hii komenti niliyoi'quote
Hiki swali nauluza jibu lake laweza kusaidia kuondokana umaskini.

Nyerere alisema maadui wakuu watatu wa taifa hili ni ujinga maradhi na umaskini. kati ya hao maadui watatu wewe ambao nina uhakika nao wewe una umaskini na ujinga hilo la maradhi pia unaweza kuwa nalo ila sema sina uhakika sababu sina ripoti ya afya ya daktari wako.

Lakini ya umaskini na ujinga hayo unayo ndio maana hata huelewi tukiongelea paypal tunsongelea nini.
 
Amazon wanalipa kwa akaunti ya benki sio PayPal, hapo nashauri utumie bank kama ya equity, hizi benki za bongo nadhani hazina wataalam kwenu haya mambo maana nakumbuka benki moja ya bongo nlizungushwa kujisajili PayPal karibu mwaka mzima nikaipiga chini nikaenda benki nyingine ya nje nkamaliza shughuli siku hiohio. Kuhusu kupokea fedha kwa PayPal nadhani wengi wanendaga hapo mpakani Kenya kusajili line za safaricom ambazo ni kunga kazi kuanzia kupokea fedha PayPal, skrill, n.k uzuri wa hizo line ni kampuni moja na Voda ya hapa kwahio ukiwa tz itasoma Voda nanutaweza kutoa kwa mpesa
 
Back
Top Bottom