nyerere

  1. Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  2. Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

    Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28. Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
  3. K

    Ugumu wa kupata kibarua hapa Bwawa la Umeme la Nyerere

    Wakuu habari za wikend! Wakuu baada ya Mh, Raisi Magufuli kuruhusu shughuli na miradi ziendelee , Nime Jaribu kutafuta riziki kwenye miradi ya ujenzi inayo endelea hapa Dar bila mafanikio, huku familia ikizidi kuumia njaa, Nikaona ni bora nijaribu kuja huku kwenye ujenzi wa bwawa la Umeme...
  4. Hayati Mwl. Nyerere: Upinzani wa kweli utatoka CCM

    Wasalaam, kwa jinsi siasa za Tanzania zilipo hivi ni dhahiri maneno ya baba wa taifa yatamia. Tunakumbuka mwaka 2015 Mh lowassa aliitisa CCM na kusababisha wapinzani kupata idadi kubwa ya wabunge tangu kuanzishwa vyama vingi 1992. Kwa jinsi upepo wa kisiasa ulivyo 2020 ni wazi Mh Membe...
  5. GE2020 John John Mnyika kutogombea ubunge mwaka huu 2020

    Habari kutoka ndani ya chama jimbo la Kibamba zinasema mbunge wa sasa wa Kibamba Mheshimiwa John John Mnyika ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA mpaka muda wa kuchukua fomu unaisha alikuwa hajachukua fomu ya kutetea kiti hicho. Kama hizi habari ni za kweli je ni nini sababu? Ametosheka au...
  6. GE2020 Makongoro Nyerere achukua fomu ya kuwania ubunge Butiama

    Mtoto wa Hayati Mwalimu Nyerere amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Butiama mkoani Mara. Ikumbukwe hivi karibuni Madaraka Nyerere ambaye ni ndugu yake naye aliita waandishi na kutangaza nia ya ubunge jimbo hilo. Pia soma > Uchaguzi 2020 - Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius...
  7. GE2020 Steve Nyerere achukua fomu ya Ubunge Iringa Mjini - CCM

    Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere amefika katika Ofisi ya CCM Iringa Mjini kuchukua fomu za kuwani kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini. --- Muigizaji wa filamu nchini Steven Mengele, maarufu kama Steve Nyerere, amesema kuwa anawashukuru wale wote wanaomtishia Msanii wa Bongo...
  8. GE2020 Aloyce Tendewa ambaye alikuwa Mlinzi wa Mwl. Nyerere na Lowassa achukua fomu ya Ubunge Kilombero

    Aliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa Mlinzi Mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM Pia soma Aloyce Tendewa; Shujaa wa taifa, mlinzi wa zamani wa Nyerere na Lowassa Mlinzi wa...
  9. Kwa hii katiba ya mwaka 1977 nashangaa watu mnaomsifu Nyerere nakumuita shujaa

    Kama kweli hii katiba ya mwaka 1977 imebarikiwa wakati wa utawala wa Mwl: Nyerere ni wazi Hapa mzee wetu alikusudia kuangalia self interest. Rais kujigawia madaraka makubwa then mnabaki kumuita shujaa. Nawasilisha hii katiba ya Mwl Nyerere hiko vibaya sana. Inapaswa kufumuliwa mara moja.
  10. J

    GE2020 Ubunge: Butiama Madaraka Nyerere vs Jackton Manyerere, Iringa Steve Nyerere vs Pierre Liquid na Kigamboni Yericko Nyerere vs Paul Makonda!

    Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu. Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza. Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius...
  11. F

    Steven Nyerere aibua kiroroja: Atinga ofisi za CCM kuchukua fomu ya Ubunge. Hakujua muda bado ila alipaswa kutangaza nia tu?

    Kuna video inatembea ikomuonesha Steve Nyerere akijinadi kufika ofisi ile kuchukua fomu ya Ubunge. Hivi hakumuelewa Dkt. Bashiru aliposema ni kuulizia tu utaratibu wa kugombea na kutangaza nia? Fomu zitatolewa kuanzia tarehe 14 hadi 17 July kupitia CCM.
  12. GE2020 Je, utabiri wa Mwalimu Nyerere kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM kuanza kutokea katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

    Katika moja ya hotuba zake muhimu kwa nchi hii wakati wa uhai wake Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa utabiri kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM. Kutokana na kujitokeza kwa mwanasiasa, Bernard Membe kudai kuwa amepania kuchukua fomu ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka...
  13. Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

    Tundu Lissu na rekodi yake ya kisiasa, ati sasa naye anautaka Urais. ............... APR 17 EDWIN MTEI ASIKITISHWA NA ALAANI KITENDO CHA TUNDU LISSU KUMTUKANA BABA WA TAIFA, MWL. NYERERE Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na...
  14. Wasifu wa Julius Nyerere: Mwalimu katika dhiki ndani ya uongozi wa TANU 1954

    WASIFU WA JULIUS NYERERE: MWALIMU NYERERE NDANI YA OFISI YA TANU ISIYOKUWA NA SAMANI 1954 Nasoma siku za mwanzo za TANU kabla Mwalimu hajajiuzulu kazi ya ualimu. Waandishi wa kitabu wanasema Nyerere alikuwa rais wa TANU na alikuwa anatumikia nafasi tatu. Nafasi ya kwanza Mwalimu alikuwa mpiga...
  15. Ubunge sio the Comedy; Kwako Steve Nyerere

    UBUNGE SIO THE COMEDY Na, Robert Heriel Ujumbe huu ni mchungu lakini naomba ufike kama nilivyokusudia, pengine maneno yake yakawa makali. Hivyo natoa angalizo; Kama unaroho nyepesi na mihemuko ya karibu tafadhali usisome. Kuna kitabia cha kipuuzi Baadhi ya wasanii wanacho, yaani mtu...
  16. GE2020 Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ametangaza kuwania nafasi ya ubunge wa Butiama

    Baada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara. Madaraka Nyerere ametangaza nia hiyo kutokana na Mbunge aliyekuwepo kukaa muda mrefu nje ya nchi akipata matibabu...
  17. Baba wa Taifa na Mizengwe - Makala ya Askofu Bagonza

    Mizengwe na fitna havikuanza baada ya Baba wa Taifa kuondoka madarakani. Hata wakati wake, wapo waliojaribu kuanzisha mizengwe na fitna za kisiasa. Tofauti ya wakati ule na huu wetu ni moja tu. Wakati wa Baba wa Taifa, mizengwe na fitna ilianzishwa na wapambe na makanda bila kumhusisha...
  18. S

    Japo wako kimya, Mkapa na Kikwete wanaridhika na hoja ya kutaka kumuongezea muda Magufuli?

    Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba. Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu...
  19. Sambamba na ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere, Serikali ianze kutafuta pesa za kujenga njia kuu ya umeme (Backbone)

    Miradi hii ni ya gharama kubwa na utekelezaji wake huchukua miaka mingi. Ni maoni yangu kuwa, sambamba na ujenzi wa bwawa la mwal Nyerere, serikali ingeanza kutafuta fedha za kujenga njia kuu ya kusafirishia umeme itakayopita magharibi mwa nchi hasa katika mikoa ya Lindi, Ruvuma, Njombe, Mbeya...
  20. S

    Bila Nyerere Mkapa asingekuwa Rais, na bila Mkapa Magufuli asingekuwa Rais, hivyo bila Nyerere, Magufuli asingekuwa Rais

    Wana JF, ningependa kuwapa historia kidogo. juu ya tulikotoka Baada ya awamu ya Raisi Mwinyi kuelekea uchaguzi Mkuu kulikuwa joto kubwa na upendezi kuelekea NCCR Mageuzi ambayo mgombea wao wa urais alikuwa ni Lyatonga Mrema. Mrema alifikia umaarufu wa kulinganishwa na Sokoine kwa kupendwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…