Uchaguzi 2020 Steve Nyerere achukua fomu ya Ubunge Iringa Mjini - CCM

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere amefika katika Ofisi ya CCM Iringa Mjini kuchukua fomu za kuwani kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini.

Nyerere.jpg

---
Muigizaji wa filamu nchini Steven Mengele, maarufu kama Steve Nyerere, amesema kuwa anawashukuru wale wote wanaomtishia

Msanii wa Bongo Movie ambae ni Mchekeshaji, Steve Nyerere amechukua fomu za kuwani kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa mjini. Steve amechukua Fomu hiyo leo Julai, 14, 2020 Katika Ofisi ya CCM lringa Mjini. Mbunge wa jimbo hilo aliyemaliza muda wake ni Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA
 
Sugu na Prof Jay ni wa kulaumu sana, yaani walivyopenya tu wakaingia mjengoni na kufanya siasa zao za kihuni basi bongo fleva na bongo movies zote zimeelekeza macho masikio na pua zao bungeni!!

It was a big mistake tume ya uchaguzi kuwapa viti!! sasa wahuni wote nao eti wanalitaka bunge kwakuwa kigezo chake ni kujua kusoma na kuandika tu,

What a backward country!!
 
Aje tu ajifunze jinsi wazawa tunavo oparate CCM wakimuweka imekula kwao watadhihirisha Kuwa kweli wao ni jalala hatumtaki hata kumuona ahege uko
 
Sugu na Prof Jay ni wa kulaumu sana, yaani walivyopenya tu wakaingia mjengoni na kufanya siasa zao za kihuni basi bongo fleva na bongo movies zote zimeelekeza macho masikio na pua zao bungeni!!

it was a big mistake tume ya uchaguzi kuwapa viti!! sasa wahuni wote nao eti wanalitaka bunge kwakuwa kigezo chake ni kujua kusoma na kuandika tu,

what a backward country!!
Uzi wa pili huu una mshambulia sugu, kuna nini mkuu? Pia Joseph haule wapi amekosea? Naomba unifumbue macho
 
Sugu na Prof Jay ni wa kulaumu sana, yaani walivyopenya tu wakaingia mjengoni na kufanya siasa zao za kihuni basi bongo fleva na bongo movies zote zimeelekeza macho masikio na pua zao bungeni!!

it was a big mistake tume ya uchaguzi kuwapa viti!! sasa wahuni wote nao eti wanalitaka bunge kwakuwa kigezo chake ni kujua kusoma na kuandika tu,

what a backward country!!
Mdau kwani Sugu na Prof Jay ni wahuni........... We umejuaje...in Bwege voice.. :D
 
Back
Top Bottom