Hayati Mwl. Nyerere: Upinzani wa kweli utatoka CCM

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,461
2,632
Wasalaam, kwa jinsi siasa za Tanzania zilipo hivi ni dhahiri maneno ya baba wa taifa yatamia. Tunakumbuka mwaka 2015 Mh lowassa aliitisa CCM na kusababisha wapinzani kupata idadi kubwa ya wabunge tangu kuanzishwa vyama vingi 1992.

Kwa jinsi upepo wa kisiasa ulivyo 2020 ni wazi Mh Membe anakwenda kiisambaratisha CCM, tusibiri kura za maoni za wagombea wa CCM wataopitishwa na wataokatwa inategemea mfalme ataamkia ubavu gani, hapa tutaraji wote wataokatwa kutimkia ACT kwa Membe na hivyo kugawa kura za CCM

Natunza kumbukumbu kwani maendeleo hayana vyama.
 
Back
Top Bottom