NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA JULIUS NYERERE MIKINDANI MWAKA WA 1956 WAKATI WA KUPIGANIA UHURU KUKARABATIWA NA SERIKALI
Historia ya nyumba hii nimeileza katika kitabu cha Abdul Sykes.
Naweka hapa yale niliyoandika kuhusu nyumba hii:
"Julius Nyerere, Ali Mwinyi Tambwe na Rajabu Diwani...
Nimeona umeandika ujumbe katika mtandao wa twitter huku ukimshushia tuhuma nzito yule RC wa zamani mwenye kashifa nyingi pengine kuliko wote.
Wasiwasi wangu ni wahusika kukuhitaji wakitaka utoe ushahidi wa tuhuma ulizotoa ingawa si mpya kwani ni wengi wanamtuhumu ila wewe umekwenda mbali kwa...
Wenye Dawa ya Kunisaidia GENTAMYCINE niache Kudadisi sana mambo Magumu, Mazito na ya Siri ( ndani kabisa ) nipeni tafadhali.
Nimeangalia Hotuba za Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa sijawahi kuona popote walipokuwa ' Wakihutubia ' walipatwa na Changamoto ya ' Kukohoa ' hata kidogo tu.
Nimeangalia...
Mjukuu anayeambatana na Mama wa Taifa kwenda kutoa pole kwa Mama Janeth Magufulu yamkini ni mjukuu mwenye malezi na makuzi Kama ya mama wa Taifa.
Namzungumzia Bhoke Nyerere aliyeambatana na Mama Maria Nyerere kwenda kwenye familia ya Mama Janeth Magufuli kumkabidhi zawaidi ya kitenge lakini pia...
Brother Mako
Najua wewe ni mtu wa masihara na utani utani mwiiingi. Utani hoye!
Najua wewe ndivyo ulivyo toka long time kitambo.
Ila nataka nikueleze kitu, Kuwa makini sana na utani wako usifikie hatua ya kuharibu haiba na taswira ya taasisi ya Urais au rais mwenyewe!. Namaanisha ukimtaja...
Ni swali gumu sana kwa kipindi hiki kupata majibu.
Wakati wa Mwalimu Ccm ilikuwa ni chama ya watu. Wapenda binadamu wenzao. Wenye uchungu na taifa lao.
Hawakubagua watanzania kwa elimu, ukabila au umaarufu.
Ccm ya mwalimu ilikuwa makini maana ilijua wazi kiongozi ni mtu mwenye madaraka katika...
Ni swali limenijia kuhusu haya matukio ya kumbukizi ya viongozi wetu waliotangulia mbele za haki.
Ni vigezo gani hutumika kufanya kiongozi afanyiwe kumbukizi annually?
Je, ni Sokoine, Nerere na Karume pekee wenye hivyo vigezo?
Na iwapo viongozi wengi watakidhi hivyo vigezo si tutakuwa na...
Kuna Watu niliambiwa kuwa wakilitaka lao wanajua kulipata kwa 'Kuroga' vibaya tena kwa 'Kufuru' kabisa nikawa siamini, ila kwa nilichokiona na Kukisikia kuna Mtu aliwacheka Watu Kidharau akiwa ' Benchini ' huenda Kesho akanuna na hata Kulia hadi Kuzimia na hata Kufa pia.
Wewe zitengwe Milioni...
Wakuu, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Je ni mwanajeshi mstaafu ama mwandamizi?
Nadhani wengi wetu hatufahamu. Makongoro Nyerere anakubalika sana na wananchi. Sisi wananchi tumefurahi Sana Mh. Rais wetu kuikumbuka familia ya baba wa Taifa.
HAPA NDIPO ILIPOJADILIWA BARUA YA JULIUS NYERERE KUCHAGUA SIASA AU UALIMU
Hapo liliposimama jengo hilo ndipo ilipokuwa nyumba ya Clement Mohamed Mtamila katika miaka ya 1950 harakati za TANU kudai uhuru zilipopamba moto.
Huu ni Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Kleist Sykes) na unaokatiza ni Mtaa...
Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli?
Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
Nyerere alikubali kutengeneza system ya kidikteta ambayo tumeirithi, system ambayo haijaandikwa popote kwenye katiba, kwamba ili rais awe na nguvu (power) lazima avae kofia mbili ya chama na ya serikali.
Nyerere aliwahi kusema katiba hii inamapungufu mengi inampa rais nguvu kubwa ya kuweza kuwa...
Hebu wanaomshughulikia Mh. Mbowe kwa kumsababishia awe na hali ngumu ya kisiasa na kiuchumi waniambie ni Mzee gani alimpa mzee Nyerere makochi ya kukalia katika nyumba yake aliyopewa iliyopo magomeni wakati wa kudai uhuru?
Nyumba hiyo ipo magomeni imekuwa kama nyumba ya mkumbusho ukienda hayo...
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Nwinyi, amebainisha kuwa wakati wa uongozi wake, aliepuka kubishana hadharani
na mtangulizi wake, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, akiwaonya viongozi wa sasa kujaribu kupata uhalali wa wanayoyafanya
kwa kutupia lawama viongozi waliopita.
Katika kitabu...
Ni vema wale wakuu wa wilaya na mikoa wenye tuhuma za kutesa, kuteka, kuumiza na kutupa watu korokoroni bila sababu za msingi wakawekwa pembeni zama hizi za awamu ya 6.
Na Kigwangalla akawaombe radhi wale wazee aliowapigisha push up baada ya kuwahoji "mzaha siyo mzaha?" kinyume kabisa na sheria...
Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu...
Na,
H. J. Mahenga, alias, Uncle Kaso
Usiku wa kuamkia tarehe 20 ya Januari ya mwaka 1964, yalitokea mauaji ya Mwarabu mmoja pale Magomeni aliyekuwa na duka, aliyepigwa risasi na wanaodaiwa 'waasi' wa JWT, kipindi hicho likijulikana kama Tanganyika Rifles, au kwa kifupi TR. Mwanya uleule...
Roho ya kujitosheleza,kutotaka Makuu na kutojilimbikiza Mali. Hii roho nyerere aliitoa wapi? Zama zile nadhani Nyerere angekuwa amejilimbikizia Mali nyingi na Familia yake au Ukoo ungekuwa moja ya Koo Tajiri sana Tanzania au Africa.
Lakini tunaona watoto wake wanapambana wao kama wao walisoma...
Hiki kitabu cha mzee Mwinyi kimejibu maswali mengi sana na unaweza kuamini kabisa CCM inakwamisha mambo mengi kwa maslahi yake binafsi.
Mzee Mwinyi anasema Nyerere alipendekeza pawepo na mgombea binafsi katika mfumo wa vyama vingi lakini kamati kuu ilikataa kwa madai anaweza kutokea mtu maarufu...
WanaBodi Wasalaam,
Zifuatazo ni baadhi ya nukuu za Hayati Mwl. J. K. Nyerere unaweza zisoma na kuweka komenti kwenye nukuu moja wapo ukihusianisha na Tanzania ya leo.
"Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.