njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mhandisi Bishanga: Barabara ya TANZAM inayojengwa kwa njia nne kutoka Igawa (Mbeya) hadi Tunduma (Songwe) km. 218, inagharimu trilioni 1.33

    Serikali ya awamu ya sita imeendelea kufungua Nchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo Mkoani Songwe ikiwemo ujenzi wa barabara ya kimkakati ya TANZAM inayojengwa kwa njia nne kutoka Igawa (Mbeya) hadi Tunduma (Songwe) yenye urefu wa km. 218 kwa gharama ya shilingi trilioni 1.33 Pia...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Barabara mpya kwa Jiji la Dar es Salaam zinajengwa kwa njia 4?

    Kipimo cha uwezo wa mwanadamu kama anafikiri sawasawa ni namna anavyofanya mambo yake kulingana na wakati husika. Dar es Salaam ndo Jiji Kuu la Biashara la Tanzania. Sio hivyo tu, ndo Jiji lenye watu wengi zaidi Tanzania na kadri siku zinavyozidi kwenda idadi ya watu inazidi kuongezeka. Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je! ni njia gani za kashfa za matapeli wa forex? Jifunze kuhusu njia hizi ulinde pesa zako.

    Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku. Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex), lakini wana ujuzi mdogo wa soko la fedha, ambayo huwapa matapeli fursa ya kutumia tamaa zao...
  4. JamiiForums Tanzania Upotoshaji huweza kufanywa kwa njia ya takwimu

    Takwimu ni taarifa (data) zilizokusanywa, zikahesabiwa, na kuchambuliwa ili kutoa ufahamu au maelezo kuhusu kitu fulani. Kwa mfano, takwimu zinaweza kuwa idadi ya watu katika eneo fulani, matokeo ya utafiti, au hata vipimo vya kisayansi. Takwimu zinaweza kutumika katika nyanja mbalimbali kama...
  5. JamiiForums Tanzania Kuweni makini na vibanda vya huduma ya pesa kwa njia ya simu, wengi hutoa hela mbovu

    Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina. Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
  6. JamiiForums Tanzania Taifa Stars ipo kwenye njia sahihi; jana nimeziona pasi mpenyezo na kukaba kwa kuwapokonya mipira mabeki wa timu pinzani

    Tuweke siasa pembeni, Hii timu tangu nchi hii ianze ilikuwa inatia aibu sasaivi naanza kuona mageuzi ya soka ktk timu yetu ya taifa. Wachezaji hawabweteki tena ukizingua hupangwi kila mtu anataka ufalme pia mpira wetu umekua wa kimkakati. Uzi tayari
  7. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Polisi Kata wanolewa juu ya uandaaji na utumaji wa Taarifa za Wahalifu na uhalifu kwa njia ya Mtandao

    Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii, Novemba 15, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Saccos uliopo Kata ya Majengo, Wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma limeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo Polisi Kata namna ya uandaaji na utumaji wa taarifa za wahalifu na uhalifu Kwa kutumia...
  8. JamiiForums Tanzania Niko njia panda katika maamuzi yangu na wazazi wangu, wanataka nijiendeleze kielimu

    Habari wanaJf, mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita mwaka 2021 katika tahasusi ya HGL, baadae nikaanza biashara yangu ya mpesa, mwaka huo sikuomba chuo kutokana na matatizo ya kifamilia. Mwaka jana nikaomba chuo course ya sheria ila nikakosa mkopo, nikaamua kujikita kwenye biashara...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya: RC Juma Homera amsafishia njia Dkt. Tulia 2025, asema watamlinda kwa mvua na jua

    Dar es Salaam. Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera inayoweza kutafsirika kama anamsafishia njia ya kuja kushinda ubunge Dk Tulia Ackson, imeibua mjadala unaoshinikiza marekebisho ya kuwabana watendaji wa Serikali kutumia madaraka yao kinyume na Katiba. Dk Tulia ambaye ni Spika wa Bunge...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kufanya mazoezi - Shika jembe toa jasho kwishaa

    Ukiwa na ratiba ya kufanya kazi za mikono/Physical activies kama vile kulima, yani unachukua jembe unalima unatoa jasho unakuwa umepata faida mbili kwanza unakuwa umelima bustani ya matunda au mboga au garden na hapo unakuwa umechoma burn calories mwilini. Aliwahi kusema Dr. Howard Tucker...
  11. JamiiForums Tanzania Paul Makonda amtaka Waziri wa Ujenzi kuharakisha ujenzi wa njia nne za barabara Mwanza yenye urefu wa km 32

    MWENEZI MAKONDA ABAINISHA KUWA SERIKALI YA CCM CHINI YA RAIS SAMIA YAIELEKEZA WIZARA YA UJENZI KUJENGA BARABARA ZA NJIA NNE - MWANZA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ameendelea na ziara yake katika mikoa ya kanda ya ziwa ambapo leo tarehe 12...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Barabara Mwanza Mjini ijengwe njia nne

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu wa kina wa barabara za Mwanza Mjini hadi Round about ya Usagara na barabara ya Mwanza Mjini hadi Igoma ili zipewe kipaumbele katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kujenga barabara ya njia nne...
  13. JamiiForums Tanzania Kujaza abiria hususan daladala na mwendokasi mamlaka inazingatia afya au magonjwa kuambukizwa kwa njia ya hewa?

    Kwa jiji letu Dar es salaam inaonekana kawaida daladala au mwendokasi kujaza watu kupita kiasi kwa sababu ya haraka au usafiri kubwa mgumu tunaweza kuweka juhudi kupambana na magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya hewa kwa gharama kubwa lakini tahadhari zinapuuzwa kila siku unapata taarifa kifua...
  14. JamiiForums Tanzania Daladala za Gongo la Mboto zabadili vibali vya njia kukwepa ukarabati BRT

    Wanasema dhahabu hupitia moto ili kutengeneza Vito, hayo yanajidhihirisha kwa wakazi wa gongo la mboto ambapo kwa sasa wanapitia adha kubwa ya usafiri wakati ukarabati wa barabara ya mwendokasi ukiendelea. Kipande cha barabara ya Pugu almaarufu kama Nyerere road kuanzia maeneo ya gold star...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Natumia Excel kutengeneza taarifa na kuzichambua Katika njia mbalimbali ili ziweze kukusaidia kufatilia maendeleo kwenye biashara yako

    Ndugu habari Mimi ni kijana mwenye ujuzi na excel sasa nmeona pengine naweza kuufanya ujuzi huu kuwa huduma na kupata chochote kinisadie hapa na kule. Nina ujuzi na excel na ninaweza kutumia katika namna mbalimbali ili kuweza kusaidia kutatua changamoto tofauti tofauti. Wee mfanya biashara...
  16. JamiiForums Tanzania Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya

    Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Hili hapa Suluhisho la kisaikolojia na Afya ya akili katika mahusiano: Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila ndoa ina misukosuko na migogoro ambayo ni mikubwa, midogo au ya wastani. Vikao vya Mke na Mume...
  17. JamiiForums Tanzania Usiku mwema kijana mwenzangu. Hakikisha unakuwa na pesa za kutosha kwa njia yoyote ile

    Hakikisha pesa hazikauki kwenye account zako za benki, kwenye line za simu na chumbani kwako. Hautaumwa hovyo, hutaitwa wee bali watakuita kwa majina yako. Utaushi kwa furaha. Hakikisha katika ukusanyaji wako wa pesa usiue wala kumuumiza mtu. Asante
  18. K

    JamiiForums Tanzania Jibu kwa Tundu Lissu: Njia nzuri ya kuzuia uchaguzi ni kuruhusu uchaguzi ufanyike

    Kuna mada iliyowasilishwa humu JF ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kaeleza kwamba endapo Katiba Mpya haitapatikana kabla ya chaguzi zinazofuata 2024/2025, juhudi za kuzuia uchaguzi huo usiwepo zitatumika kuuzuia. Kauli hii imesikika kwa muda kitambo sasa, tokea ndani ya chama hicho...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la“Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni chachu ya maendeleo ya nchi za Afrika

    Mwaka 2023 utakuwa muhimu sana kwa nchi zinazojali ushirikiano wa kimataifa, na mwaka huu utaandikwa katika vitabu vya historia kwasababu nchi zote duniani zilizojiunga na Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI) lililotolewa na rais Xi Jinping wa China zinaadhimisha kumbukumbu ya miaka kumi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” halina lengo la kukandamiza upande wowote

    Mwaka 2013, rais wa China, Xi Jinping, alitoa Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI), ambalo miaka 10 baadaye, limesifiwa sana na jamii ya kimataifa kama ‘mradi wa karne’. Likiwa na mtandao mkubwa wa usafiri, nishati, na mawasiliano, unaolenga kuunganisha biashara za baharini na nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…