Kumekuwa na upotoshaji kuwa Matumizi ya Virtual Private Network (VPN) husaidia upatikanaji wa maudhui yasiyofaa pekee Mitandaoni, jambo ambalo halina ukweli kwasababu VPN ni nyenzo muhimu katika kuzuia mashambulio ya Mtandaoni pamoja na Kulinda Taarifa Binafsi za Watumiaji.
Kwa mujibu wa...
Wakuu,
Kwa utafiti niliofanya kidogo tu ni kwamba ukitaka kutoka kimaisha kwa njia rahisi na nyepesi nikuanzisha chama cha siasa au kanisa la kuondoa mapepo.
Imekuwa ni rahisi sana kukusanya michango kwenye makongamano ya kiroho (fukuza pepo) au makangamano ya kisiasa kama wenzetu wa...
1.kutafakari juu ya mambo unayopenda kufanya katika wakati wako wa ziada.
2.Jifunze juu ya mambo mbalimbali. Kusoma na utafiti vinaweza kukusaidia kugundua masomo unayopenda na kuwa na kipaji.
3.Jaribu vitu vipya.Kujaribu shughuli tofauti kutakusaidia kugundua vipaji visivyokuwa vya kawaida...
Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo.
Taleban imetamka wazi kuwa haiungi mkono vitendo vya kigaidi na kuzitaka pande zote kuketi chini na kutafuta amani kwa...
Kuna maoni tofauti kuhusu asili ya bima na uhusiano wake na kamari. Wakati mifumo ya kwanza ya bima ilianza kama njia ya kulinda dhidi ya hatari na upotezaji wa mali badala ya kamari, kuna muktadha ambapo mifumo ya bima ya awali ililingana na mchezo wa kamari.
Katika mifumo ya awali ya bima...
Ndio maana hata wakiwa kazini hawafanyi kazi kwa bidii muda wao mwingi wanatumia kuwaza kubebwa hata wakiharibu kazi.
Wakiharibu kazi hawaogopi maana wanajua watabebwa.
Binadamu ni kiumbe mwenye hila, uongo, unafiki, ubinafsi, rafiki ulienza nae sie utakaemaliza nae kuna siku atakusaliti, kuna siku ataacha kuwa rafiki akipata njia nzuri ya maisha kukuzidi au kulingana na wewe na hutaamini, kuna mtu uko nae karibu unamuona rafiki kumbe ni adui yako na mshindani...
Nina rafiki yangu yeye amekuja kuniomba ushauri, iko hivi;
Yeye (rafiki yangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote.
Anasema Mungu si Athumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa...
Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktari wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.
Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.
Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu...
Huu Uzi naomba wanasaikolojia na wanabaiolojia(neuroscientists) waje kuhakiki maana nitaenda kupublish research.
Utangulizi:
Unajua asilimia kubwa ya Akili na mawazo unayowaza iko nje ya ufahamu wako? Unajua kuwa hata mawazo unayofikiri huwa yanachipuka kutokea kwenye akili iliyo chini ya...
Hivi karibuni, Waziri wa Ulinzi wa Italia Guido Crosetto alisema, nchi hiyo ilfanya uamuzi wa ghafla na usio na mantiki wa kujiunga na Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI), miaka minne iliyopita, na kudai kuwa, katika kipindi chote hicho, hakuna kilichofanyika kuongeza biashara ya nje ya...
Miaka 10 iliyopita wakati Rais Xi Jinping anatangaza kuanzishwa kwa pendekezo la “ukanda mmoja, njia moja” (Belt and Road Initiative) si watu wengi waliokuwa wanajua kuwa pendekezo hili lingekuwa ni mkombozi wa nchi nyingi dunia, hasa zile zilizotambua kuwa kukosekana kwa miundo mbinu katika...
Mwaka huu ni miaka 10 tangu rais wa China, Xi Jinping, alipotoa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja.
Zaidi ya miaka 1000 iliyopita, misafara ya ngamia ilipita katika Njia ya Hariri ya Kale, ikikabiliwa na upepo mkali na jua, ikichukua hariri na chai kutoka China na kuzipeleka katika nchi za...
Wadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi sambamba na ujenzi wa SGR inawafanya watumiaji wa barabara kukosa njia mbadala.
Ni heri wangesuburi kukamilika kwa madaraja ya juu ya...
Madaktari wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili wanaendelea kufanya upasuaji wa kupandikiza figo ambapo wagonjwa 12 kuanzia leo watapata huduma hiyo sita kati yao watafanyiwa Upanga kwa njia ya kawaida na sita watafanyiwa wiki ijayo huko Mloganzila kupitia mfumo wa matundu madogo.
Akizungumza na...
Vijana wa Afrika wanazidi kupaza sauti zao, na ujumbe wao ni wazi: demokrasia ni mfumo bora wa serikali ambao nchi zao zinapaswa kuufuata.
Utafiti wa African Youth Survey wa mwaka 2022 unaonesha idadi kubwa ya vijana wa Kiafrika, kutoka katika nchi mbalimbali za bara hilo, wanaunga mkono...
Habari wana JF,
Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk.
Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo.
Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence.
Wewe...
Habari!
Je, umewahi kujiuliza jinsi tunavyoweza kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa na kupunguza uzalishaji wa gesi chafu kwa ufanisi? Hapa ndipo Biashara ya Hewa Ukaa inapoingia! 🌿💨
🔍 Ni nini Biashara ya Hewa Ukaa? 🔍
Biashara ya hewa ukaa, inayojulikana pia kama biashara ya uzalishaji wa...
Tunajua kuwa Yeye na aliyeko Foreign sasa lao lilikuwa ni moja na mpaka hi Kata Washa na Washa Kata no kutokana na Upumbavu na Ufisadi wao huko Umeme Tanzania.
Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hamumtaki Maharage Mabovu na Kumuondoa hapo Umeme Tanzania mnamuonea Aibu hivyo sasa mnatumia Mbinu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.