Kujaza abiria hususan daladala na mwendokasi mamlaka inazingatia afya au magonjwa kuambukizwa kwa njia ya hewa?

myyola

New Member
Jun 15, 2023
3
0
Kwa jiji letu Dar es salaam inaonekana kawaida daladala au mwendokasi kujaza watu kupita kiasi kwa sababu ya haraka au usafiri kubwa mgumu tunaweza kuweka juhudi kupambana na magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya hewa kwa gharama kubwa lakini tahadhari zinapuuzwa kila siku unapata taarifa kifua kikuu TB au magonjwa kuambukizwa kwa njia ya hewa idadi inakuwa kasi.

Mamlaka zinahusika mambo ya afya zingalie kwa umakini
 
Back
Top Bottom