njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya nchi ya DRC kuwa na amani ni kuishtaki RWANDA kwenye mahakama ya EAC

    Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara. Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC ni dhahiri itakuwa kama Urusi na Ukraine.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ili Kujustify Ngono Zembe, Jamii imejitengezea Myth Mpya, Njia Nyepesi ili Kujikinga na Maambukizi dhidi ya Ukimwi

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

    Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo. Sasa akishaona...
  4. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

    Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara. Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Tanzania wachekelea baada ya kuzinduliwa njia mpya ya meli kati ya China na Dar es Salaam

    Hivi karibuni Tanzania ilizindua njia mpya ya meli ya moja kwa moja kati ya China na Bandari ya Dar es Salaam. Huduma hii mpya ambayo inatarajiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa muda wa mizigo kusafiri kutoka China na kuwasili Tanzania, kutoka wiki sita (siku 42) hadi wiki tatu (siku 21), inaonekana...
  6. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Shauri yenu kwakuwa ndiyo njia mliyoichagua

    Enzi zetu tulikuwa tunakula vyakula vya asili maboga na mbegu zake kama uonavyo kwenye picha hapo chini na ninaendelea. Zamani asbh tunaotea kuwa na jioni lakini ninyi wa sasa mnaaka mnakaa kwenye tv na tatizo lenu mnapenda kula maandazi, chapati na maharage mnatia na sukari halafu mnalia...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania "AIM LOW ENOUGH": Njia ya kusaidia kukuza ujuzi wa mtoto mwenye uwezo mdogo

    Tunapush sana watoto katika level ambayo sio uwezo wao. Kinachofatia ni mtoto kuwa muoga zaidi wa kuthubutu na kukuogopa wewe bila kukuheshima. Tambua uwezo wa mtoto wako alafu mwekee challenge ya chini ambayo unayojua akitumia uwezo kidogo wa ziada atashinda tu. Hii itamfariji mtoto ila pia...
  8. Candela

    JamiiForums Tanzania Msaada niko njiapanda muda wa mawasiliano na mpenzi wangu

    "Kuna huyu binti tulipendana sana, kutokana na mambo ya kazi muda mwingi yeye ndio huanza kunicheki iwe kwa kupiga au sms, sasa ghafla kaanza kulalamika kwamba kwanini kuwasiliana mpaka anitafute yeye, kulingana na kazi yake simu anaweka mbali so napopiga muda yuko bize hapokei hivyo nikamwambia...
  9. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Komwe (frontal bossing): Sababu ni zipi? Ni njia zipi za kuzuia ili mtoto asiwe na komwe?

    Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi... Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake. 1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)? 2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe? 3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu)...
  10. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Njia za kutumia ukiwa hujisikii kufanya kazi kazini

    Saa zingine unaenda kazini ila hujisikii kufanya kazi, hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza tumia ili kupata wasaha kidogo usukume siku iende ujafanya kitu. Unawaza jitafakari, kutumia muda wako kujua kwanini hujisijii kufanya kazi siku hio, Umechoka? unamsongo wa mawazo? kuna mazingira ya...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Umeme na Sukari ni njia pekee ya mafisadi kuwaibia Watanzania. Hawatakubali kutatua tatizo hili

    Hata Bwawa la JNHP likamelike na kutoa Mw 2100 bado watafanya mchongo kuliibia taifa. Mfano watatengeneza mgawo na kupiga kupitia hata ukarabati wa njia. Japokuwa unatakiwa kuwa endelevu. Sukari huwa dili la mafisadi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa ambao uhaba ukiwepo huagiza Sukari kwa bei...
  12. Good doctor

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

    Matokeo yapo kama hivi Civ C Bio C Chem B English B Phy D Math D History B Kisw B Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LATRA imeshindwa kutuletea usafiri wa daladala njia ya Tegeta/Bunju-Kawe Ukwamani kupitia barabara ya Mwai Kibaki?

    Januari 2023 LATRA ilitangaza maombi ya leseni kwa wadau wenye vyombo vya usafiri kwa ajili ya kusogeza huduma ya usafiri kwa wananchi wanaotumia barabara ya Mbezi Chini inayojulikana kama Mwai Kibaki. Route hiyo ilikuwa inaanzia Bunju na Tegeta, inakuja kuingilia Afrikana Mbezi, na kwenda...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna vijana wanatamani kuacha uzinzi lakini hawawezi, tumieni njia hii

    Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi. Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa). Kuna...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohamed Shujaa Mwongoza Njia

    SIKU YA MWANAMKE DUNIANI Gazeti la Mwananchi la leo limechapa makala ambayo walinitembelea Maktaba nami nikawazungusha katika mitaa ambayo wanawawake wa Tanganyika walikuwa hawapunguia katika harakati zao za kupigania uhuru. Naanza na kipande hicho hapo chini kinachomjulisha Bibi Titi miaka ya...
  16. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

    Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2! Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye soka letu, suala la mchezaji kukosa tu furaha na akaamka asubuhi na kuandika barua ya kuvunja mkataba...
  17. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Dereva malori anaepita njia ya KIGOMA via UVINZA kuja Dar anahitajika

    Habari ndugu? Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100. Karibu Pm. NITALIPIA
  18. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel inasubiri mateka wake kwa njia ya mazungumzo. Kwa vita imeshindikana kuwapata

    Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi! Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi...
  20. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Njia ambazo mtu anaweza kusaidia kupunguza mabadiliko ya tabianchi

    Tabia Nchi inahusu mabadiliko ya hali ya hewa duniani kwa muda mrefu. Ni matokeo ya ongezeko la gesi chafu katika anga, kama vile dioksidi kaboni, ambayo husababisha joto kuongezeka duniani. Matokeo yake ni mabadiliko makubwa katika hali ya hewa, kama vile kuongezeka kwa joto, mafuriko, ukame...
Back
Top Bottom