nimechoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Ndo nimemaliza C-section ya 6, nimechoka akili na mwili. Halafu kuna Wanasiasa kwa mwezi wanakula 11 M na bado wanajiongezea mshahara 40%

    Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji. Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala. Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji ...
  2. Desierto

    Nimechoka kulalia godoro chini

    Maisha haya yasikie tu kwa mwenzio Muda mwingine tunajitahidi kupanga malengo na kuyapambanua yatimie tukipiga hatua 3 mbele tunavutwa na kurudishwa hatua 6 nyuma na matatizo yasiyo epukia Nimeshalala sana chini na wife mwaka unaenda kukata Sasa bila ya kitanda Naweka Nia mpaka mwezi huu...
  3. Surya

    Uko wapi mke wangu mtarajiwa? Nimechoka kutangatanga

    Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu.. Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi. Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae. Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana. Sitaki kuwa...
  4. Yofav

    Kujihisi kama umechoka kuishi

    Habari, Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where. Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
  5. B

    Huyu Manzi kila nikikutana naye Guest ananiwekea Nyimbo za kwaya na Injili. Nimechoka sasa!

    Hii sijui niiteje au Ndio Wokovu unanifata fata kila niendako. Je nikubali mwito wa wokovu au nikaze fuvu? Huyu manzi mama nilivyosema nikifika naye tu ndani kwa ajili ya mnyanduano basi utasikia ameweka kwenye simu yake nyimbo za Injili mara kwaya. Na mimi najifanya kama sisikiii naendelea...
  6. Phobia

    Nimechoka maisha ya ughaibuni

    Ama hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna...
  7. Sleeping Giant

    Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Wakuu mimi ni 26 Me, mzaliwa wa kanda ya ziwa, taaluma yangu Medical doctor degree, nimeletwa na mambo mawili; Kwanza Naota nakula sana mara nyingi ni wali na matunda na muda mwingine unajaribu kukataa kabisa ila kuna mtu anakubembeleza. Hii ya leo nimeenda sokoni nikakuta matunda mfano wa...
  8. F

    Nimechoka kuwa pusha

    Kiukweli upusha sio poa asikuambie mtu mimi na huu urembo wangu kazi insyoniweka mjini hapa ni upusha aisee sio poa japo unapata pesa za kutosha lakini unaishi kwa mashaka tu. Kiukweli nyie vijana acheni upusha sio poa jana kuna mwana amepigwa mvua ya miaka thelathini baada ya kukutwa na...
  9. Komeo Lachuma

    Nadhani sasa naelekea kushindwa haya mapenzi. Sijui shida nini maana mi nimechoka

    Nimeona nami nichepuke kidogo ( nisamehe mpenzi wangu huko uliko nlipitiwa tu na lishetani mbwa hili) Huyu demu nimemnunulia nyama choma ya kuku na ndizi 2. Kisha kanywa na Konyagi nusu Mzinga. Ameenjoy ndo tukaenda kulala lodge. Mi nikaomba angalau nami ninanii...yaani nifanye naye matusi...
  10. Toni Toni

    Nimechoka kuishi kwa wazazi, naombeni ushauri

    Shikamooni wakubwa zangu mdogo wenu naomba ushauri kidogo kutoka kwenu... Mimi ni kijana mwenye miaka 24 naishi hapa dsm ila mpaka muda huu bado naishi nyumbani kwa wazazi, kwa umri wangu nshaona kuwa najiendekeza sana mana mpaka sasa ningekuwa najitegemea na mimi niwapunguzie mzigo wazee. Ila...
  11. Mwizukulu mgikuru

    Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

    Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm, wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom.
  12. GENTAMYCINE

    Nimechoka na hizi 'bla bla' kutoka kwa Wanafiki, Waongo na Wasiofanya hivyo

    "Njombe mkulima analima heka moja ya viazi mviringo, anavuna gunia 206 anauza elfu 40 anapata milioni 8, amewekeza milioni, sasa uzalishaji wenye tija upo Njombe" - Anthony Mtaka, Mkuu wa mkoa wa Njombe. Chanzo: EastAfricaTelevision Tafadhali hebu tuacheni kwa sasa!!!
  13. J

    Natamani siku ifike haraka hata kama ni kutoka tutoke tu, nimechoka!

    Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah! Tucheze tu, hata kama tutatoka siyo mwisho wa dunia.
  14. Komeo Lachuma

    Hapa nilipofika nimechoka, nisije pata ugonjwa unaokosa dawa. Wanawake mnataka nini?

    Unampata mwanaume mchekeshaji ana pesa. Unaenda kutoka tena na mwanaume mkimya hana pesa. Ukimpata mwanaume MKIMYA unaenda kutoka na mwanaume MCHEKESHAJI. Ukimpata mwanaume hana PESA unaenda kutoka na ASIYE NA PESA. Ukimpata ASIYE NA PESA unaenda kutoka na MWENYE PESA. DADA ZANGU MNATAKA NINI...
  15. co fm

    Nimechoka kuishi Bongo, nataka niende mamtoni

    Habarini za humu wanajamii, humu JF kuna watu mbalimbali wengine wanakaa Buza huko kwa mpalange, wengine Masaki na Osterbay, wengine Mwananyamala kwa kopa huko ila wengine wapo mamtooni huko pande za akina Biden. Sasa wale wa kwa biden na ulaya huko ndo naomba ramani za kwend kuzama huko. Je...
  16. Melki Wamatukio

    Nimechoka kuhudumia, nahisi ni wakati wangu sahihi wa kuanza kuhudumiwa

    Nahisi ni wakati sahihi sasa wa kuumaliza mwendo. Haiwezekani posho yangu ya 135k kwa wiki igombaniwe na kila aina ya rika. Hapo hapo ndugu, jamaa, marafiki, bia, usafiri, vocha, tozo, umeme😥 Halafu hapohapo bado kuna mpenzi🥺 huyohuyo mpenzi mara aje na matawi yake ya hela ya kusuka, kubandika...
  17. Akili Unazo!

    Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

    TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
  18. Chizi Maarifa

    Mimi nimekata tamaa kabisa... Nimechoka...

    Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi. Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria hapo hapo kufuatilia utendaji wa fundi. Basi nikajenga mazoea ya kukaa kwenye kiduka flani ambacho pia...
  19. Mikhail Tal

    Naona nikienda kuwa academician, nimechoka ajira kwenye private sector

    Kiukweli wakuu, mimi ni mmoja wa watu ambao kwa sasa nazipigania hizi ajira za u tutorial assistant kwa kiu kubwa sana. Ni kwamba nipo kwenye private sector lakini ki uhalisia kabisa baada ya kujitafakari, nimeona endapo nitabaki huku nilipo kwa sasa, sio tu kwamba uchumi wangu utadumaa ila kwa...
  20. BM X6

    Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

    Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku? Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini Ukiongezea hapo labda umeenda...
Back
Top Bottom