Mwenye dili la kuvuna mazao naomba aniunganishe

Mwenye dili la kuvuna mazao naomba aniunganishe

Nimechoka kukaa bila kazi. Kama kuna mwenye dili la kuvuna mahindi au mazao mengine, naomba anielekeze.

Kwa sasa nipo Dar es Salaam na niko tayari kusafiri popote penye kazi. Naomba mwenye taarifa au mchongo wa kazi ya kuvuna mazao anisaidie.
Mungu akujaalie upate hitaji lako, pole sana navaa uuhusika nahisi maumivu unayopitia. Mungu akusiamamie ufanikiwe.
 
Nenda iringa sehemu inaitwa Tanangozi

Kuna jamaa tajiri anaitwa Dr msekwa ana mashamba ya kutosha ya mahindi na uvunaji Tyr umeanza

Asubuhi anapakia vibarua kwa gari anawapeleka shamban baada ya kazi mnalipwa na kurudishwa nyumbn

Lakini pia nje na hyo anzia hapo hapo Tanangozi nenda vijiji vinavyofuata kama vile Malagosi, mlolo lyamgungwe kote huko sahivi watu Wana uhtaji wa vibarua wa kuvuna mahindi, nyanya , viazi

Ukiweza pia unaweza kusogea sehemu za kilolo, mufindi, mpaka mafinga huko Kazi kubwa n kubeba mbao kupakia kwenye semi truck na kusafisha mashamba ya miti
 
Barikiwa sana.
 
Kuvuna mahindi ni kazi ya msimu na haina hela.
Kuvuna ekari1 ni sh30000 mpaka iishe utakuwa umechoka sana.
Huwezi kuvuna ekari10 pekeyako vinginevyo utaumwa kifua uishie kujitibia hela yote.

Kama wewe ni mtu wa kujituma, funguka nikupe ramani ya nini cha kufanya upate hela ambayo ni kazi ya muda wote.
 
Dogo upo town unaomba kazi za vijijini kweli.!?

Ulikurupuka kuja town bila shaka

Town kilimo cha wakati wote ni ile unajichanganya site na wajanja huwezi kosa hela ya kuchoma vitu jombaa Amka.!
 
Back
Top Bottom