Nimechoka sana leo

Nimechoka sana leo

Funny boe

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
3,316
Reaction score
7,336
-Wikendi inakaribia tamati

-Nimeshinda humu tangu jioni hadi vidole vinauma kisa kutype

-huu mfumo ulioanza leo wa kutembeza ban umenichosha sana maana muda si mrefu yatanikuta pia

-mijadala ya leo imenifurahisha sana hadi nimechoka 🤣🤣🤣

-kila mara camera inapomuonesha Thomas tuchel najikuta nakasirika sana na kuchoka japo ushindi ushakmalika



Nilale sasa, usiku mwema

Uzi tayari

secretarybird
min -me
Seran
Mopak
adriz de mbusii
Magayor Mongolian
Mbaga Jr

9553.jpg
 
Back
Top Bottom