Nikapige kozi gani ya afya nimechoka kula chaki

Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .

Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
Kama unaweza kusoma health management system 3yrs,au clinical dentist, clinical optometry, radiology physiotherapy katk both level diploma and degree
 
Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .

Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
Miaka 28 kazini au miaka 28 ya umri!!!?
 
Back
Top Bottom