Nataka niuache udomo zege nimechoka

Nataka niuache udomo zege nimechoka

Mamlukii

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
1,149
Reaction score
2,592
Eti wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ambaye sijawahi kua na mahusiano yoyote naombeni ushauri wenu,nitatokaje kwenye huu uduwanzi wa kutokuweza kutongoza ukizingatia nahitaji kua na family kama ilivo kawaida kwa kijana wa kiume
 
Kwanza kuwa na familia sio lazima et kisa wewe ni mwanaume acha fikra kandamizi mdogo angu....
Halafu kwa umri wako bado mdogo sana kuwaza mapenzi na nimefurahi kuona umejitunza mpaka kufika hapo...

Muulize shangazi yako leo dada akwambie mapenzi yalivyokizungumkuti, utaunguaa...
 
Screenshot_2026-08-10_213507.jpg
 
Kwanza kuwa na familia sio lazima et kisa wewe ni mwanaume acha fikra kandamizi mdogo angu....
Halafu kwa umri wako bado mdogo sana kuwaza mapenzi na nimefurahi kuona umejitunza mpaka kufika hapo...

Muulize shangazi yako leo dada akwambie mapenzi yalivyokizungumkuti, utaunguaa...

Dogo atulie kwanza,, na kama hasikii yeye aingie huko akipigwa matukio yatamnyoosha
 
Eti wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ambaye sijawahi kua na mahusiano yoyote naombeni ushauri wenu,nitatokaje kwenye huu uduwanzi wa kutokuweza kutongoza ukizingatia nahitaji kua na family kama ilivo kawaida kwa kijana wa kiume
Anza na wanawake wa bar. Utajenga confidence kidogo kidogo. Usijifanye nice guy, wanawake wa iyo age yako wanapendelea zaidi mwanaume mwenye character ya play boy

Hela itakutoka kidogo kwahiyo kuwa makini kwenye bajeti zako. Pia zingatia ukimwi bado upo. Uko bar hakuna demu wa kwenda nae nyama kwa nyama
 
Eti wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ambaye sijawahi kua na mahusiano yoyote naombeni ushauri wenu,nitatokaje kwenye huu uduwanzi wa kutokuweza kutongoza ukizingatia nahitaji kua na family kama ilivo kawaida kwa kijana wa kiume
Tafuta Mbwa kwanza uanze kujifunza Dogy style.
 
Kwanza kuwa na familia sio lazima et kisa wewe ni mwanaume acha fikra kandamizi mdogo angu....
Halafu kwa umri wako bado mdogo sana kuwaza mapenzi na nimefurahi kuona umejitunza mpaka kufika hapo...

Muulize shangazi yako leo dada akwambie mapenzi yalivyokizungumkuti, utaunguaa...
Unasema bado mdogo wakati anapaswa kuwa na mke kabisa!
Mi nilianza mapenzi na miaka 15, nikawa na mchumba na umri miaka 23.
Huyu Mzee kabisa japo nampongeza kwa kujitunza.
 
Eti wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ambaye sijawahi kua na mahusiano yoyote naombeni ushauri wenu,nitatokaje kwenye huu uduwanzi wa kutokuweza kutongoza ukizingatia nahitaji kua na family kama ilivo kawaida kwa kijana wa kiume
Udomo zege ni nature, sio kitu utaiondoa eti kwa kujifunza au kufundishwa. Kuna watu wamezaliwa waongeaji tu, maneno meeengi na kuna watu wamezaliwa wakimya tu. Kuwa mkinya sio udhaifu ni inborn kama ulivyo urefu, ufupi, weusi au weupe. Siku ukianza kujichetua ili eti uwe na maneno mengi usiwe domo zege, utajikuta unajikataa, kwamba huyo sio wewe.

Kuwa mkinya (domo zenge kama watu wanavyoita ili kuku-damage kisaikolojia) hakuna uhusiano wowote na kuwa au kutokuwa na mpenzi, mke au familia. Mwanaume unatakiwa kujiamini tu (confidence) na sio kuongeaongea maneno miingii. Ukisa kujiamini hapo ndio tutasema kuna tatizo mahala.
 
Mimi huwa nalewa kidogo ila wewe usinifuate Mimi tafuta Namna nyingine
 
Back
Top Bottom