nigeria

  1. Ma mbwa

    Naombeni nyimbo za worship za live iwe ya Tanzania,south africa na nigeria

    Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
  2. Lady Whistledown

    Nigeria: Rais Tinubu awafuta kazi viongozi Wakuu wa Taasisi za Usalama

    Waziri wa ulinzi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Washauri wao pamoja Kamishna Mkuu wa Forodha wamestaafishwa kwa lazima na Rais Bola Tinubu na nafasi zao kuchukuliwa na maafisa wapya Kwa muda mrefu Nigeria imekabiliana na wimbi la mashambulizi yanayosababishwa na makundi ya Jihadi na Magenge ya...
  3. Intelligent businessman

    The sad history of leader Aare Kurunmi of Ajaye Empire (Nigeria)

    #History The story of Kurunmi is one that draws tears from the eyes of people who feel pity for a man who stood firm for tradition. There was a time in the history of Yoruba where the heir to the throne is killed whenever the king dies. This tradition came about because it was discovered that...
  4. BARD AI

    Nigeria: Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Rushwa na Uhujumu Uchumi asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Rais #BolaTinubu amechukua uamuzi huo dhidi ya Abdulrasheed Bawa ili kuruhusu uchunguzi kuhusu kashfa za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi zinazomkabili zifanyiwe kazi na mamlaka zilizoteuliwa. Ingawa ni kawaida kwa #Nigeria kumuondoa kwa muda Kiongozi wa Tume hiyo kila utawala mpya...
  5. JanguKamaJangu

    Watu zaidi ya 150 wamekufa maji katika ajali ya boti nchini Nigeria

    Boti hiyo ilikuwa ikiwasafirisha watu katika jimbo la Kwara kutoka kwenye harusi katika jimbo jirani la Niger wakati ilipoanguka, polisi wa jimbo hilo na ofisi ya gavana walisema, bila kutoa maelezo ya chanzo cha ajali Zaidi ya watu 150 wamekufa maji kaskazini mwa Nigeria baada ya boti...
  6. Lady Whistledown

    Nigeria: Majimbo 2 yapunguza siku za kufanya kazi, sasa ni 3 kwa wiki badala ya 5

    Serikali za majimbo ya Edo na Kwara zimepunguza siku za kazi kuwa 3 kwa Wafanyakazi wa Serikali ili kuwasaidia kukabiliana na gharama kubwa za mafuta na usafiri baada ya tangazo la Serikali kuu kuondoa ruzuku ya mafuta. Uamuzi huo unatajwa kuleta mjadala katika Sekta ya Umma na binafsi kuhusu...
  7. BARD AI

    Dakika chache baada ya kuapishwa, Rais wa Nigeria afuta Ruzuku ya Mafuta

    Rais mpya wa Nigeria, Bola Tinubu ametumia hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kutoa tangazo kuu la kuondoa ufadhili serikali kwenye mafuta ikiwa ni sera zake mpya ili kupunguza shinikizo la kiuchumi. "Ruzuku ya mafuta haipo," aliuambia umati uliojaa katika mji mkuu, Abuja. Alishinda...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Sherehe za Kuapishwa Rais Mteule wa Nigeria, Bola Tinubu, Mei 29, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nigeria Mhe. Bola Tinubu katika Eagle Square Abuja chini Nigeria leo tarehe 29 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa...
  9. BARD AI

    Wakuu wa Nchi 20 kuhudhuria uapisho wa Rais wa Nigeria leo

    Baadhi ya Viongozi Wakuu waliowasili jijini Abuja ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, Paul Kagame (Rwanda), Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini), Abdelmadjid Tebboune (Algeria) na Denis Sassou Nguesso (Jamhuri ya Congo). Wengine ni Umaro Sissoco Embalo wa Guinea Bissau, Julius Maada...
  10. benzemah

    Rais Samia Kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Nigeria Bola Tinubu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
  11. benzemah

    Rais Samia Kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Nigeria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
  12. B

    Kinda Nigeria aacha gumzo Kombe la Dunia U20

    Nahodha na beki wa timu ya Taifa ya Nigeria U20 inayoshiriki World Cup ya U20 huko Argentina, kinda mwenye miaka 17, Daniel Kolocho Bameyi imebainika kuwa alidanganya. Imezoeleka wachezaji wengi wa Kiafrika wanadanganya umri, lakini kwa Bameyi imekuwa tofauti kabisa. Bameyi katika taarifa...
  13. BARD AI

    Vikwazo 5 vinavyomsubiri Ofisini Rais Bola Tinubu wa Nigeria

    Mei 29, 2023, Taifa la #Nigeria, lenye utajiri wa Dola Bilioni 441 GDP na idadi kubwa ya Watu Barani #Afrika (Milioni 223), litashuhudia kuapishwa kwa Rais Mpya, #BolaTinubu na Makamu wake #KashimShettima Pamoja na ukubwa wa Uchumi wake, bado Nchi hiyo imekosa utulivu katika maeneo mengi...
  14. JanguKamaJangu

    Nigeria: Madaktari waanza mgomo wa siku 5 kushinikiza malipo bora

    Chama cha Madaktari Wazawa wa Nigeria (Nard) kimesema uamuzi huo unahusisha Madaktari wa Hospitali za Serikali unatokana na Serikali kushindwa kutimiza mahitaji ikiwemo maboresho ya mishahara na malipo mengine. Serikali imedai mgomo huo sio halali na watakaoshiriki hawatalipwa na kudai kuna...
  15. N

    Wanamuziki wa Nigeria wanavutia kuwasikiliza

    Yaani Nigeria haijilishi ameanza mziki Leo au miaka iliyopita wanavutia sana kila mtu anakuja kwa style Yake mfano mani Omah Lay hatari sana Ana hit song zinabamba sana.
  16. BARD AI

    Nigeria: Mahakama yaanza kusikiliza Kesi ya Kupinga Ushindi wa Urais wa Abola Tinubu

    Kesi ilifunguliwa na waliokuwa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Februari 2023, Peter Obi wa chama cha Labour na Atiku Abubakar (PDP) kwa madai kuwa Tume ya Uchaguzi (INEC) ilishindwa kuweka Matokeo Mtandaoni kwa muda halisi. Madai hayo ikiwemo ya Tume kushindwa kuwa wazi na kukiuka Sheria za...
  17. BARD AI

    Mastaa wa Nigeria wanakimbiza kila Charts za AfroBeats popote duniani

    Wasanii wa Muziki kutoka #Nigeria wanaendelea kushika nafasi nyingi na za juu kwenye kiwanda cha Muziki Afrika na Nje ya #Afrika ambapo katika orodha ya nyimbo 10 zilizosikilizwa zaidi kupitia #Spotify, kuna Mastaa 8 wa Nchi hiyo. Nafasi mbili pekee zimebaki kwa Mastaa wa Nchi nyingine ikiwemo...
  18. Okrap

    Wanaume wa nigeria wanavitu special

    Jaman wanaume wa nigeria hapana mfano wake hawa wanaume ni wapo tofauti sana uwanjani na hata kuhudumia wako makini sana wanaenda na muda Wanaume wa Tanzania igeni pia kwa hawa lakini nahisi wanakitu fulani ambacho nyuma ya panzia sikijui jamani nijuzeni kwanini kwenye sita kwa sita hawachoki...
  19. S

    Yanga Watoa Sababu za Winga Mtukutu Morrison kutocheza Nigeria 🇳🇬

    Y YANGA imeeleza sababu ya winga wake Bernard Morrison 'BM33' kutotumika kwenye mchezo wa kwanza robo fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabi nchini Nigeria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Yanga kupitia kwa Kocha msaidizi Cedric Kaze...
  20. K

    Hivi hatuwezi kufanya kama Nigeria, Rais kuweza kujiteua nafasi ya Uwaziri?

    Rais Buhari alipoingia madarakani alifanya baadhi ya maboresho kwenye uongozi na moja ya mabadiliko aliyofanya ni kujiteua kama waziri wa nishati wa Taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Lengo kubwa ni kuhakikisha usimamizi unakuwa mkubwa katika sekta hiyo kubwa kwenye uchumi wa...
Back
Top Bottom