nigeria

  1. M

    Msaada kuagiza mzigo toka Nigeria

    Habari wadau,naomba msaada kuagiza mzigo kutoka Nigeria,ni ki parcel cha kubeba mkononi,mwanzo nimeagiza kupitia DHL bei ni kubwa na bado mpaka sasa sijapata, sababu ni watu wa customer TRA hawakubaliani na bei niliyoagizia wakati reference zote zipo mpaka za malipo,hivyo wameniomba bei kubwa...
  2. BARD AI

    Nigeria inakuwa nchi ya Pili duniani kuridhia majaribio ya Chanjo ya Malaria baada ya Ghana

    #Nigeria imekuwa Nchi ya pili duniani kuidhinisha majaribio ya Chanjo mpya ya #R21Malaria iliyotengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Majaribio ya kwanza yamefanyika #Ghana. Mkuu wa Idara ya Kitaifa ya Chakula na Dawa wa Nigeria, #MojisolaAdeyeye, amesema Chanjo hiyo...
  3. M

    Pole kwa Yanga: Rivers United ya Nigeria yarahisishiwa kazi na Simba, itapiga kwenye mshono ambao Simba iliusababisha!

    Rivers United itapiga kwenye mshono wa Yanga wa tarehe 16/04/2023!! "wananchi" msijifanye hamjaelewa!
  4. MK254

    Bunge la Nigeria lajadili wizi mkubwa sana wa mafuta uliofanywa na China

    Hii China ambayo huonwa kama kimbilio la Afrika, kila mnapoisuta Marekani lazima mtaje China kama mbadala. Nigerian lawmakers have begun a probe into the sale of stolen 48 million barrels of crude oil to China. “It is quite alarming that illegal deals with China cost Nigeria $2.4 billion...
  5. Lady Whistledown

    Nigeria: Tinubu kuapishwa licha ya uwepo wa kesi za kupinga ushindi wake Mahakamani

    Waziri wa Habari, Lai Mohammed anasema Rais mteule Bola Tinubu ataapishwa tarehe 29 Mei licha ya kesi Mahakamani kupinga ushindi wake Wagombea Wanne wa Urais waliwasilisha mapingamizi ya kisheria tarehe 21 Machi dhidi ya ushindi wa Tinubu, kwa madai kuwa kulikuwa na wizi wa kura na udanganyifu...
  6. K

    Ni kipi kinawafanya developers wa nairaland kutokuibadilishia muonekano ?

    Nimekuwa mtembeleaji wa hii forum kubwa kabisa nchini Nigeria kama sio Africa kwa miaka mingi sana sasa Kinachonishangaza ni kwa nini hawataki kuifanyia mabadiliko ya kimuonekano kama wanavyofanya jamii forums mara kwa Mara Je zipo sababu za msingi kwa wamiliki wa mtandao huu kutokutaka...
  7. BARD AI

    Aliyekua Mgombea Urais Nigeria adai analazimishwa kuondoka Nchini humo

    Peter Obi ambaye alishika nafasi ya 3 katika Matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi amesema Majaribio ya kuwadanganya Wananchi ni ya kusikitisha. Licha ya kutoweka wazi ushahidi wa madai yake, Obi amesema Serikali imekuwa ikifanya kila namna kupoteza ukweli juu ya Wizi wa Matokeo ya...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    Unamkumbuka Taribo West wa Nigeria, siku hizi ameokoka na ni mchungaji

    Taribo West mchezaji wa zamani wa Nigeria kwa sasa ameokoka na ni mchungaji kanisani kwake. Kanisa lake ni la miujiza na limeanza kuwa na waumini wengi siku baada ya siku. Taribo alijipatia umaarufu akiwa anacheza soka, huku akiwa na style yake ya kusuka nywele na kuzipaka rangi ya kijani.
  9. Richard

    Mahakama ya Rufani Nigeria yamruhusu Peter Obi kupinga matokeo ya Uchuguzi

    Mahakama ya Rufani nchini Nigeria imetoa ruhusa kwa mgombea wa chama kiloshindwa cha Labour bwana Peter Obi kupinga matokeo ya uchaguzi ambapo ulimpa ushindi mgombea wa chama cha APC bwana Bola Tinubu. Mapema mwezi huu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria bwana Mahmood Yakubu...
  10. and 998 others

    Rais Mteule wa Nigeria yupo Paris kwa Mapumziko

    VIROJA: Viongozi wengi Afrika wamejaa viroja, Rais Mteule wa Nigeria Dr. Bola Tinubu yupo jijini Paris kwa ajili ya Mapumziko baada ya kampeni na Uchaguzi. Baada ya Paris ataenda London kabla ya kurudi Nigeria Kwa ajili ya kuapishwa Mei 2023. === Nigeria’s president-elect left the country...
  11. F

    Afrika Kusini, Kenya, Nigeria na Tunisia leo kuna maandamano. Hawa ni vinara wa uchumi wa Afrika wanadai maisha bora zaidi na demokrasia

    Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi. Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
  12. BARD AI

    Jumatatu Machi 20, 2023 itakuwa siku ngumu kwa Serikali za Kenya, Tunisia, Nigeria na Afrika Kusini

    Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa Marais wa Nchi hizo. Maandamano hayo yameitishwa na makundi mbalimbali ikiwemo Vyama vya Upinzani...
  13. BigTall

    Genevieve Nnaji, Muigizaji wa kike anayelipwa zaidi Nchini Nigeria

    Genevieve Nnaji ndiye Muigizaji wa Nigeria anayelipwa zaidi kuonekana kwenye filamu Nchini Nigeria. Mwaka 2018, Netflix ilimlipa staa huyo wa Nigeria kiasi cha Dola Milioni 3.5 (Tsh. Bilioni 8) kutokana na filamu yake ya Lionheart, Mwaka 2011, Genevieve alikuwa akilipwa Pauni 95,000 (Tsh...
  14. JanguKamaJangu

    Nigeria: Mgombea kupinga matokeo ya Urais Mahakamani

    Aliyekuwa Mgombea Urais kwa Chama cha Labour Party, Peter Obi ameahidi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Mteule, Bola Tinubu wa Chama Tawala cha APC. Obi alishika nafasi ya 3 amedai matokeo yalichakachuliwa. Inadaiwa waliopiga kura ni 28% ya Wanigeria waliojiandikisha huku wengine...
  15. G

    Leo ni siku ya uchaguzi Nigeria, Ijue Nigeria kwa jinsi makundi ya ukanda, udini na ukabila yanavyopewa uzito kwenye siasa

    Ukanda na ukabila Kanda ya kaskazini wapo wahausa ambao wanaongoza kwa wingi, hawa ni kama wasukuma hapa kwetu, asilimia kubwa sana ni waislamu, hawa wahausa wengi hawana elimu lakini wanajya kucheza power game, wana influence kubwa hata kwenye jeshi, Kanda ya kusini maghahribi wapo wayoruba...
  16. G

    Leo ni siku ya uchaguzi Nigeria, Ijue Nigeria kwa jinsi makundi ya ukanda, udini na ukabila yanavyopewa uzito kwenye siasa

    >> MOVED
  17. JanguKamaJangu

    Nigeria: Mwanasiasa akutwa na Bilioni 1.16 taslim wakati wa uchaguzi

    Chinyere Igwe ameshikiliwa akituhumiwa kutakatisha fedha hizo ambazo ni Dola 500,000 zilizokutwa kwenye gari lake muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu. Polisi wamesema Igwe ni Mwanasiasa wa upinzani wa Chama cha PDP ambaye pia ni Mbunge amekutwa pia na orodha ya majina ya watu ambao alitakiwa...
  18. JanguKamaJangu

    Nigeria: Mke wa Rais alalamika akaunti zake za Mitandao ya Kijamii kudukuliwa

    Aisha Buhari amewataka wadukuaji kuondoa taarifa za uwongo walizoweka kwenye kurasa zake za Instagram na Facebook baada ya kumdukua kwa kuwa zinapotosha Jamii. Kupitia kusara hizo ilichapishwa taarifa kuwa Benki Kuu ya Nigeria imesogeza mbele ukomo wa kubadili matumizi ya noti za zamani za...
  19. U

    Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

    Buhari ametumia miaka yote serkalini kujaribu kuifanya nchi ya nigeria iwe na utamaduni wa mashariki ya kati. Nigeria inafanya uchaguzi hivi karibuni na kwa makusudi amempa mwislamu mwenzake amrithi ili kukamilisha mpango wao mchafu wa muda mrefu. Ikumbukwe lile kundi la kigaidi la boko haram...
  20. Lycaon pictus

    Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
Back
Top Bottom