Naombeni nyimbo za worship za live iwe ya Tanzania,south africa na nigeria

Phdum

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
812
1,667
Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
 
seach za Dr ipyana
Rehema simfukwe
Boaz danken
Babaa(let it rain) ya sonie badu
Paul mwangosi
Maverick songs
Kuna minister GuC
Ekwueme prosper
Chek hao wana worships songs nzuri saaana nikikumbuka wengine ntakupa
 
seach za Dr ipyana
Rehema simfukwe
Boaz danken
Babaa(let it rain) ya sonie badu
Paul mwangosi
Maverick songs
Kuna minister GuC
Ekwueme prosper
Chek hao wana worships songs nzuri saaana nikikumbuka wengine ntakupa
Ahsante saana ngoja nipande hewana hyo dr ipyana nd nmemchk hapa mda si mref yuko poa kiasi ila ukikumbka zile zenye vibe itakuwa poa saana
 
Pia sikiliza hiii paul clement (amefanya Mungu ) ni bonge moja la song )
 
E85357B2-3B03-4812-AEEF-3930E2B973E8.png
 
Unataka worship zenye vibe?

Au praise
Zote maana kuna muda najikuta nahitaj kama kuabudu abudu hiv nipunguze dhambi ila kuna muda najikuta nahitaji niserebuke ila nashukuru saana maana nmejarbu kudwnload nyng n nzur
 
Dr ipyana-Niseme nini

Boaz Danken-Haufananishwi

Dedo2 ft Naomi hymnos 2-Majina yote mazuri

Pastor Epa-Uinuliwe

Chandelier de Gloire-Rafiki mwema

Kathy Praise-Usikiaye maombi

Joyous Celebration-Tambira Jehovah

Tim Godfrey ft Travis Greene-Nara

Mercy chinwo-Excess love

Mercy chinwo-Chinedum

Sinach- I know who iam

Bila kuwasahau Hawa wanaoitwa Essence of worship wananyimbo nzuri pia
 
Kama uko Na boom play na unataka nyimbo za worship kamsikilize mtu anaitwa Nathaniel Bassey na Victoria orenze nafikiri utakua huna haja tena ya kusikiliza nyimbo
 
Back
Top Bottom