nia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Niko tayari kujitolea katika taasisi yoyote ya maswala ya Bima/ insurance kwa kazi yoyote nia kujifunza zaidi kwa elimu niliyonayo Asanteni

    Habari Wana JF, Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote ikiwemo O level, Advanced level na kwa sasa ni kijana naehitimu elimu yang yangu chuoni nikiwa...
  2. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kana una nia ya dhati dhidi ya uovu, wengine hawa hapa wanaoshutumiwa kwa uhuni, ufisadi na dhulma

    INAMPASA MMOJA AFE KWA AJILI YA WENGI? HAPANA WAFE WOTE WENYE DHAMBI. (JE, OLE SABAYA AMETOLEWA SADAKA?) Tunashukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya Sa baya. Huyu alikuwa na makando kando mengi nyakati za utawala wa Hayati John Pombe Magufuli(Dhulma, Matumizi mabaya ya Uongozi, Ufisadi n.k)...
  3. 2019

    JamiiForums Tanzania Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

    Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli? Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wanaposema "Serikali ilikuwa na nia njema kabisa" huwa wanamaanisha nini hasa?

    Shalom kutoka Jerusalem, Mara nyingi kunapotokea sintofahamu inayohitaji uwajibikaji wa serikali viongozi wa juu wamekuwa wakiwaambia wananchi kuwa "serikali ilikuwa na nia njema kabisa". Hivi wewe mdau wa JamiiForums huwa unaelewa nini kuhusu kauli hii? MFANO: Hivi karibuni, Tanzania, Afrika...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia nia yako ni njema lakini hao unaowaongoza akili zao wanazijua wenyewe

    Nimekua napitia nyuzi za Watanzania tangu ujio wa Mama Samia jana hapa nchini Kenya, hamna hata uzi mmoja unaojadili au kudadavua huu ujio kitaalam, kwa minajili ya kuelewa dhamira ya mama kwenye jitihada zake za kuifanya Tanzania iamke tena. Kila Mtanzania analalamika tu, watu wameingiwa na...
  6. Jack Wabukoba

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa kuoa/kuishi naye mwenye nia ya dhati na mkweli

    KWA ALIYE SERIOUS 100% A: KUHUSU MIMI DINI: MKIRISTO KIMO: Mrefu wa kadri RANGI: Maji ya kunde ELIMU: Degree KAZI: Sijaajiriwa NDOA: Sijawahi kuoa MTOTO: Sina UMRI: 34 MAKAZI: Kagera Mengine tutaelezana NAHITAJI mwanamke aliye tayari kuanza kuishi na mwanaume hata sasa (ndani ya muda mfupi...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

    Kama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Kila mwenye nia 2025 aache mara moja

    Rais Samia Suluhu amewataka mawaziri na watendaji wote kuwajibika na kufanya kazi na rekodi zao zitawafata katika maisha yao. Rais amesema pamoja na macho yake kulegea, yanaona na atakuwa na jicho kubwa kuangalia rekodi zao. "Inapoingia kipindi cha pili cha Rais aliepo, watu kidogo mnakuwa na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naamini hakuna atakayehoji nia na dhamira ya Hayati Dkt. Magufuli kwa Tanzania,tutaishia kuhoji mkakati aliotumia tu

    Nia na dhamira ya JPM dhidi ya Tanzania haitaweza kuhojiwa popote, alidhamiria kutuondoa kwenye umaskini na alitumia mbinu zote kufanikisha lengo. Dhamira iliendana na matendo, Ni vigumu kupata watu kama Hawa Duniani. Watu wanaocha starehe za Dunia nakuwapigania wenzao usiku na mchana. Legacy...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wenye nia ya kumsaidia mtoto Charles Mbena wakumbuke bado ni mtoto anahitaji malezi ya wazazi wake

    Nimeangalia video za mtoto Charles Mbena, Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia maarifa ya ziada. Mtoto wa miaka sita kumudu hesabu za kutoa na kujumlisha kwa kiwango cha Charles ni kusema Jina na Mungu lihimidiee. Kuna taasisi zilizojitokeza kumsaidia Charles, nimemuona mpaka RAS amefika...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kutokomeza umaskini ni matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa

    Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo. Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: SUK ya 2010 - 2015 haikuwa na nia njema na raia wa Zanzibar. CCM walikubali ili kutimiza matakwa ya Kikatiba ila mioyo yao haikupenda

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, Viongozi wa CCM ambao walishirikiana nao kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar iliyoanza 2010 mpaka 2015 walifanya hivyo ili tu kutimiza matakwa ya kikatiba...
  13. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

    Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote. Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye anaonesha ana nia ya kuoa anakuaje?

    Ndugu, Naombeni mnitajie mienendo au tabia za mwanaume anaeonesha nia ya kuoa
  15. Mr possibility

    JamiiForums Tanzania Penye nia pana njia

    Salam wadau wa JF Lengo kuu la thread ni kuomba ushauri Pamoja na msaada wa kimawazo ikiwezekana.. Ni kuwa mimi niko kwenye harakati za kufanya Muziki(baadhi ya wadau ambao wamepata kunisikiliza wananipa moyo sana kuwa muziki nauweza ukianzia kwenye uandishi wa nyimbo..nk) Tatizo ni kuwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Mwinyi panapo nia utaitibu Zanzibar

    Mabibi na mabwana pana taarifa za upepo mwema kuanza kuvuma kule pande za Zanzibar. Tulikotoka, tulikopita na tulipo kote kunafahamika. Kwamba uchaguzi ule ulikuwa na mzengwe usiofaa kurejewa? Hata mtoto mdogo anajua. Kwa bahati mbaya pana watu wameumia na hata wengine kupoteza maisha kwenye...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa vyama vyote kuelekea ukingoni mwa uchaguzi: Tupande Uhuru na Haki tukavune Amani na Mshikamano kwa taifa letu

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Hapa ni ushauri wa bure kwao vyama vyote watia nia kuelekea lala salama katika uchaguzi huu. Zimekuwapo changamoto nyingi katika kufikisha ujumbe kwa wapiga kura. Pana vyama waziwazi vimekuwa vikibebwa na vyombo vya habari (vya umma na hata vya binafsi hali...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Moshi: Kuungua kwa Bweni la Kaloleni Islamic ni hujuma za watu wenye nia ovu

    Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro imesema, matukio ya kuungua mara kwa mara mabweni ya Shule ya Seminari ya Wasichana ya Kiislamu ya Kaloleni ni hujuma. Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Michael Mwandezi alisema hayo wakati akikagua athari za moto uliotokea Oktoba 8, mwaka huu, saa 1:15 usiku...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

    Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa. Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana kuingia mkataba wa kisheria umeshapita hivyo hakuna ushirikiano utakaoruhusiwa kwa sasa. ======...
  20. 101 East

    JamiiForums Tanzania Taifa la Barbados limeamua kumuondoa Malkia Elizabeth II wa UK kama kiongozi wa juu wa taifa hilo

    Baada ya miaka 54 tangu iwe huru,leo taifa la Barbados limeamua kumuondoa Malkia Elizabeth II wa UK kama kiongozi wa juu wa taifa hilo. Mataifa mengine kama Canada na Jamaica yanaendelea kumtambua Malkia Elizabeth kama kiongozi wa juu wa mataifa yao. Barbados sasa itakuwa jamhuri. Gavana mkuu...
Back
Top Bottom