nia

  1. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Pongezi wakuu wapya wa idara, taasisi, wakala na mamlaka mliochukua nafasi za waliotia nia

    Ujumbe muhimu: Likizo ya Bila malipo huendi na cheo, na ukirudi hukikuti Idara Kuu ya Utumishi Pongezi kwa kuonesha weledi katika kusimamia taratibu za umma. Tumeona mmefuata mfano mwema wa Rais wetu kwa kuwapa nafasi wateuliwa wapya baàda ya walikuwa na nafasi hizo kujaa tamaa. Maajabu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwenu watia nia, hasa wale wa Urais

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Ushauri huu wa bure ungefaa kuwafikia watia nia na hasa wale wa urais kwani wajumbe wenye kushikilia hatima zao kwenye hili ni sisi. "Sisi," Watanzania ambao pia ni binadamu kama alivyo binadamu mwingine yeyote wakiwamo pia wao...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama kwa Watia Nia, Oct. 2020, Wajumbe sasa ni sisi.

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Tunapoelekea Oct. 2020 wajumbe kama walivyowanyoosha watia nia wale itakuwa zamu yetu kuwanyoosha wetu. Siyo siri huyu hapa atakuwa nazo kura zetu nyingi: 1. Mwenye kutuletea tume huru ya uchaguzi. 2. Mwenye kutuletea uhuru kamili wa mihimili...
  4. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Kwa Wadau wa Mnuso, je? Umeshatangaza Nia!?

    Khabari za Saa hizi! Wadau kama mnavyojua kesho Mambo flani hivi ya Maakuli mambo ya kupika pika vitu Vitamu vitamu 😁 Sasa kwangu mi hali nasukumizia na ntakalokutanalo kesho Sijui wadau wenzangu na mie kesho wapi? Tukutane Wapi,au kunialika Mjumbe yoyote nije kwake ama kwao🤪 au nimekosea...
  5. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mishahara imekatwa: Poleni Watumishi watia nia

    Pitapita zangu hapa jijini Mwanza zimenikutanisha na watumishi wa umma wenye huzuni, chuki, hasira na kisasi mioyoni baada ya mishahara yao kukatwa kwa sababu walitia nia. Wanasema, mishahara yao ndo uhai wa familia zao, ndiyo uzima wa Babu na Bibi zao vijijini. Wanasema wanawagonjwa...
  6. Riz king

    JamiiForums Tanzania GE2020 Niliingiza jumla ya Tsh laki 8 kwa watia nia hawa Nkenge lakini nikawasaliti sandukuni

    1 Dr Mazima huyu jamaa anaelimu ndogo yaani ni AMO lakini ni mbinafsi na roho ya ujuha sana nilikula laki mbili yake baada ya wapambe wake watatu walio nifata kwa nyakati tofauti na kunigea kitita hicho. Ila tabia zake za kudharau watu, shule ndogo kichwani na ujuha ndo vilisababisha nikaitafuna...
  7. Puma yetu

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge ashawishi Kamati ya Siasa ya Wilaya kuwakata majina yote watia nia ya Udiwani wasiomuunga mkono

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekua mbunge jimbo la Singida Magharibi ndugu Elibariki Kingu alishawishi kamati ya siasa ya Wilaya kuwakata majina wale wote waliotia nia ya kugombea udiwani CCM wasio muunga mkono yeye. Sasa watia nia hawa wa udiwani wanasubiri majina yao yakatwe watinge...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura za maoni UWT ya CCM watia nia ni 252 na wapiga kura ni 263

    Uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu CCM unaendelea katika mikoa mbalimbali na hapa DSM jumla ya akina mama 252 wametia nia na wajumbe wa mkutano wa uchaguzi ni 263. Maendeleo hayana vyama!
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Baraza la Habari: Waandishi waliochukua fomu kugombea nafasi za kisiasa waondoke katika Tasnia ya Habari

    Baraza la Habari Tanzania (MCT), limesema kuwa waandishi waliojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbali mbali za kisiasa ni haki yao ya msingi kama walivyo raia wengine hapa nchini, lakini wanapaswa kuondoka katika uandishi wa habari. Katibu Mtendaji wa MCT, Bw. Kajubi Mukajanga ameyasema...
  10. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Tarehe 20/07/2020 sitaisahau, mbaya kwa watia nia nzuri kwangu

    Wakuu natumaini mko salama Niende moja kwenye mada. Tarehe 20/07/2020 ilikuwa mbaya sana kwa watia nia hasa Kigamboni. Nami upande wangu kabla jua halijazama ilikuwa mbaya sana. Kwanza kabla ya hapo COVID-19 ilikuwa imeniathiri, nilikatwa mshahara ili kuwasaidia watu wa chini yangu nao wapate...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa CCM ni ipi dhana ya kuwa uchaguzi kwa watia nia?

    Habari wakuu! Kila siku Kuna habari mpya nchi Tanzania kutokana na Taifa linaenda kuingia katika uchaguzi wa viongozi. Mnamo 20/07/2020 uchaguzi kwa WATIA NIA ya kugombea upande wa chama Tawala ulianza na mpaka hivi Sasa unaendelea, lakin Jana mida ya saa 1 nimepata kuona kapost Fulani...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

    Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa. Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watia nia CCM Mbeya wachimbwa mkwara

    19 Julai 2020 Watia Nia CCM Mbeya Wachimbwa Mkwara Mjiandae kisaikolojia, atakayesaliti kutimulia chama, Katibu Uenezi wa CCM Mpya ndugu Humphrey Polepole aongoza jopo kuwafunda Hakuna mtia nia wa CCM kukimbilia upinzani, ukishindwa kura za maoni. Ukitusaliti tutakufuata popote ulipo asema...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimetia nia kesho nitamkuchulia fomu ya kugombea Urais Zanzibar, Sheikh Mselem kupitia CHADEMA

    Nimeweka nia ya kumchukulia fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Sheikh Mselem Ali kwa tiketi ya Chadema kesho tar 20/07/2020 Sheikh Mselem Ally ana haki ya kuchaguliwa kama walivyokuwa na haki waznz wengine. Haya ni maono yangu binafsi kama Mtanzania. Kulalamika tu pembeni bila kuchukua hatua...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Gari la mtangaza nia wa CCM, Enock Bwigane lapata ajali. Dereva aaga dunia

    NDUGU yangu NAJUA hunijui Omba Salii funga sanaa UKIONA vita imeanza hivi MDA WA kujifunga mkanda na Mungu ama upande WA pili asimame NA wewe mpaka MWISHO WA kampeni POLENI sana wafiwa pole sana kaka ERICK kwa kuhairbikiwa GARI Aliefariki ni dereva wake === Gari ya Mtangazaji wa TBC Enock...
  16. Shark

    JamiiForums Tanzania Watia nia CHADEMA hopefully mnaielewa katiba ya chama pamoja na taratibu zake

    Kwema wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Miezi ya hivi karibuni kuliibuka mtindo uliopachikwa jina la "Kuunga Mkono Juhudi" ambapo Viongozi mbalimbali waliokua upinzani walijiondoa na kujiunga na Chama tawala cha CCM. Wengi wa hawa waunga mkono juhudi walitokea Chama cha CHADEMA, na...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwachuja wagombea Ubunge maelfu waliotia nia kupitia CCM

    Mimi nimeshiriki interview nyingi na najua maswali ya mitego watia nia wakiwa wengi hata wajae uwanja wa taifa wakigombea nafasi moja. Kuisaidia CCM kuchuja hao maelfu walioomba ni kazi ndogo tu na rahisi Swali moja tu la kwanza la kuwachujia ni kuuliza matawi waliko wanapoishi wameyasaidiaje...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kutia nia Ubunge

    Hakika maisha baada ya kutia nia ubunge, yatakuwa magumu sana kwa watia nia wengi ehee Mungu wasaidie watia nia wote maana wengine maisha yao yatabadilika kutoka uchumi wa kati hadi umaskini totoro
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge yawa kama mishemishe za ajira, mkoa wa Mara watia nia 462

    Fursa za ajira zinapotoka waombaji wanakuwa lundo sana, inaweza kutoka nafasi moja wakaomba watu 400. Ndicho kinachotokea kwenye kura za maoni kwa sasa. Tazama Mkoa wa Mara watia nia 462. Ni kweli hawa wote wana wito na uwezo wa kutunga sheria na kusimamia serikali? Au wanasaka nini hasa...
  20. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania CCM kuweni makini kwenye uteuzi, mkiharibu watia nia ni wengi watatawanyikia upinzani kutia nia

    Kiukweli watia nia ni wengi sana kupitia Chama cha Mapinduzi hivyo mnatakiwa kuwa makini sana kwenye kuwapitisha wagombea wenu kukiwakilisha chama, la sivyo mkichaguana kwa upendeleo na huku mkifurahia kwa watia nia walio wengi kupitia chama chenu na ni hao hao watawahama na kwenda kutia nia...
Back
Top Bottom