nia

  1. T

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

    Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa. Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watia nia CCM Mbeya wachimbwa mkwara

    19 Julai 2020 Watia Nia CCM Mbeya Wachimbwa Mkwara Mjiandae kisaikolojia, atakayesaliti kutimulia chama, Katibu Uenezi wa CCM Mpya ndugu Humphrey Polepole aongoza jopo kuwafunda Hakuna mtia nia wa CCM kukimbilia upinzani, ukishindwa kura za maoni. Ukitusaliti tutakufuata popote ulipo asema...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimetia nia kesho nitamkuchulia fomu ya kugombea Urais Zanzibar, Sheikh Mselem kupitia CHADEMA

    Nimeweka nia ya kumchukulia fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Sheikh Mselem Ali kwa tiketi ya Chadema kesho tar 20/07/2020 Sheikh Mselem Ally ana haki ya kuchaguliwa kama walivyokuwa na haki waznz wengine. Haya ni maono yangu binafsi kama Mtanzania. Kulalamika tu pembeni bila kuchukua hatua...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Gari la mtangaza nia wa CCM, Enock Bwigane lapata ajali. Dereva aaga dunia

    NDUGU yangu NAJUA hunijui Omba Salii funga sanaa UKIONA vita imeanza hivi MDA WA kujifunga mkanda na Mungu ama upande WA pili asimame NA wewe mpaka MWISHO WA kampeni POLENI sana wafiwa pole sana kaka ERICK kwa kuhairbikiwa GARI Aliefariki ni dereva wake === Gari ya Mtangazaji wa TBC Enock...
  5. Shark

    JamiiForums Tanzania Watia nia CHADEMA hopefully mnaielewa katiba ya chama pamoja na taratibu zake

    Kwema wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Miezi ya hivi karibuni kuliibuka mtindo uliopachikwa jina la "Kuunga Mkono Juhudi" ambapo Viongozi mbalimbali waliokua upinzani walijiondoa na kujiunga na Chama tawala cha CCM. Wengi wa hawa waunga mkono juhudi walitokea Chama cha CHADEMA, na...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwachuja wagombea Ubunge maelfu waliotia nia kupitia CCM

    Mimi nimeshiriki interview nyingi na najua maswali ya mitego watia nia wakiwa wengi hata wajae uwanja wa taifa wakigombea nafasi moja. Kuisaidia CCM kuchuja hao maelfu walioomba ni kazi ndogo tu na rahisi Swali moja tu la kwanza la kuwachujia ni kuuliza matawi waliko wanapoishi wameyasaidiaje...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kutia nia Ubunge

    Hakika maisha baada ya kutia nia ubunge, yatakuwa magumu sana kwa watia nia wengi ehee Mungu wasaidie watia nia wote maana wengine maisha yao yatabadilika kutoka uchumi wa kati hadi umaskini totoro
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge yawa kama mishemishe za ajira, mkoa wa Mara watia nia 462

    Fursa za ajira zinapotoka waombaji wanakuwa lundo sana, inaweza kutoka nafasi moja wakaomba watu 400. Ndicho kinachotokea kwenye kura za maoni kwa sasa. Tazama Mkoa wa Mara watia nia 462. Ni kweli hawa wote wana wito na uwezo wa kutunga sheria na kusimamia serikali? Au wanasaka nini hasa...
  9. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania CCM kuweni makini kwenye uteuzi, mkiharibu watia nia ni wengi watatawanyikia upinzani kutia nia

    Kiukweli watia nia ni wengi sana kupitia Chama cha Mapinduzi hivyo mnatakiwa kuwa makini sana kwenye kuwapitisha wagombea wenu kukiwakilisha chama, la sivyo mkichaguana kwa upendeleo na huku mkifurahia kwa watia nia walio wengi kupitia chama chenu na ni hao hao watawahama na kwenda kutia nia...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli amewaapisha Viongozi Wateule mbalimbali, amewasisitiza kuridhika na nafasi walizoteuliwa

    Viongozi Wateule walioapishwa Leo ni: 1. Bw. Aboubakar Kunenge- Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam 2. Bw. Joseph Joseph Mkirikiti - Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara 3. Bw.Paulo Mshimo Makanza - Kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam 4. Bw. Gabriel Pascal Malata- Kuwa Wakili Mkuu wa Serikali...
  11. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Watia nia wana nia gani?

    Kwa mujibu wa Takwimu zisizokuwa rasmi ndani ya Chama Cha Mapinduzi idadi ya watu waliochukua fomu ni zaidi ya 500 na bado wanaendelea kuchukua. Wanaochukua fomu ina maana kwamba ni wanachama HAI wa CCM na kwamba wanayo kadi ambayo wanailipia.Kama gharama ya Fomu ni TZS 100,000 ina maana kwamba...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

    Wanabodi, Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM. Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu kuu za mafuriko ya watia nia CCM

    Mwaka 2019 rafiki yangu wa karibu alinishauri ifikapo 2020 nigombee ubunge. Baada ya kukataa ushauri wake alisema ndani ya CCM hususana serikali ya awamu ya 5 hata ukishindwa ubunge unaweza fikiriwa nafasi nyingine za uteuzi kama ukurugenzi, ukuu wa mkoa, wilaya na makatibu tawala mikoa na...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakili Methusela Gwajima amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kawe kupitia CCM

    Wakili Methusela Gwajima leo Iulai 15, amechukua fomu kuchuana na kaka yake Askofu Josephat Gwajima pamoja na watia nia wengine ambao wamechukua fomu kuwania Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Habari Star TV Tanzania Unaweza kudhani ni Hatua nzuri ila hapa kwa Jicho la...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Producer mkongwe Master Jay achukua fomu ya kutia nia Ubunge Rombo kwa tiketi ya CCM

    Producer Mkongwe wa Muziki Joachim Marunda Kimaryo maarufu kama ‘Master Jay’ tayari amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo kupitia CCM
  16. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Kwa watia nia, nimejifunza yafuatayo

    Ubunge kwa uchaguzi huu ni hisia sio uwakilishi Watia nia ni wengi kuliko chaguzi zilizopita Vijana ndio wanaongoza kutia nia japo wengi wao hawajulikani jimboni maana wanaishi mijini tuu Wasanii nao wameona mifano ya watangulizi wao hivyo hawako nyuma Wabunge vigogo au waliokuwa mawaziri...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo. Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi ndiyo 'Watia Nia' ya Ubunge Jimbo la Iringa Mjini walivyokubaliana 'Kujipendekeza' kuihudumia Lipuli FC ili iwape 'Tiketi' ya kuwa Wabunge

    Kama kuna Nchi ambayo dunia nzima Siasa zake si tu kwamba ni tamu kuzisikia na kuzitizama bali pia ni ' Komedi ' tosha kutokana na 'Vituko' vyake basi ni za nchini Tanzania. Katika hali isiyokuwa ya Kawaida kabisa Watia nia ya Ubunge Jimbo la Iringa Mjini kutoka CCM, CHADEMA na ACT wameamua...
  19. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Tarime: Mtia nia Dittu Manko yuko Kenyamanyori anagawa Tsh. 10,000

    Mtia nia wa Ubunge jimbo la Tarime mjini, Ndugu Dittu Manko muda huu yuko Kata ya Kenyamanyori, amezungumza na wajumbe na kuwagawia rushwa ya 10,000 kwa kila mjumbe.
  20. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Kikwete alikuwa genius wa uchumi, Magufuli itabidi akajifunze kwake kama kweli ana nia ya kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye reli

    Huu ni muendelezo wa nyuzi zangu za kiuchumi ambazo ni matokeo ya kutafiti taarifa mbalimbali za serikali kwenye masuala ya fedha na uchumi. Msukumo wa kuamua kufanya hizi tafiti, unatokana haswa na kuchukizwa na yale majigambo ya wanasiasa na watu wasioelewa mambo, ya eti uchumi kwenye awamu...
Back
Top Bottom