nguzo

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Dar: Wakamatwa wakifungua vyuma vya nguzo Daraja la TANZANITE

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili (2) waliokuwa wanajaribu kuharibu kwa kukata baadhi ya vyuma vya ngazi moja ya nguzo namba P9 ya Daraja la Tanzanite lililopo maeneo ya Salender, Ilala. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Muliro J. Muliro amesema watuhumiwa hao...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari ni nguzo muhimu, walindwe

    Tasnia ya habari imekuwepo kwa vizazi na vizazi, Tasnia hii imechangia kufanikisha mambo mengi sana ikiwamo, maendeleo, kukuza lugha, kutoa elimu mbalimbali, kuonesha sehemu zenye fursa za kiuchumi na kufichua ubadhilifu katika mambo mbalimbali ikiwemo kwa watumishi wa Umma nk. Tasnia ya habari...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Geita: Watoto 2 wafariki kwa kushambuliwa na nyuki

    Watoto wawili wenye umri wa miaka minne wamefariki kwa kung’atwa na nyuki katika kijiji cha Kamena wilayani Geita Mkoani Geita. Mkuu wa Wilaya ya Geita Willison Shimo amekiri kutokea kwa vifo vya Watoto hao na kuitaka jamii kuzingatia kuweka ulinzi katika maeneo yao ya ufugaji wa nyuki dhidi ya...
  4. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Wizara ya Nishati na Mawasiliano kusambaza Mkongo wa Taifa kwa nguzo za TANESCO umeishia wapi?

    Juzi jirani na nyumbani ninapoishi nimeona watu wanachimba mashimo kuweka nguzo za miti zile za tanesco. Nikawauliza kwani tanesco bado mnaweka nguzo za miti maana juzi tu nimeona hapo jirani mumereplace nguzo iliyoanguka kwa nguzo ya zege. Jibu lilikua wao sio tanesco ila wanaweka mtandao kwa...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania (VIDEO) Songwe: Wanaochimba nguzo za umeme wakutana na masalia ya mwili wa mtu kwenye shimo

    Wakazi wa eneo la Old Vwawa mkoani Songwe wamekutana na kinachodaiwa kuwa ni mabaki ya binadamu katika shimo ambalo lilichimbwa maalum kwa ajili ya kusimika nguzo. Shimo hilo lipo eneo hilo katika mradi wa kuweka nguzo za umeme kutoka Old Vwawa kwenda Msambawani mkoani hapo. Mmoja wa mashuhuda...
  6. Kichwamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uvumilivu na Umoja wa kweli Nguzo ya Ndoa ya kudumu

    Uvumilivu ni tiba na rutuba ya kupitia milima na mabonde ya ndoa. Umoja ni dawa chanjo ya uimara wa taasisi yaani ndoa. Wengine mtasema upendo mimi natumia umoja, na hii hutokea pale baadhi ya watu huingia kwa ndoa kama daraja la kuvuka shida zao au kufika malengo yao yasiohusiana na mwanandoa...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukiwa Sekta binafsi ajira ni nguzo yako ya maisha sio by the way

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kubadilika kwa kutambua kwamba Ajira ndiyo nguzo ya Maisha hasa ukiwa sekta binafsi hata Serikalini huku akiongoza "sekta binafsi ukizubaa nafasi yako inachukuliwa". Amefafanua "Nilishawahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Zanzibar, wakati ule...
  8. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza?

    Kwenu wataalam wa ujenzi. Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza, yaani niachana na nguzo za nondo/zege? Juu nitaweka mkanda kama kawaida. Kiutaalamu ina madhara yoyote?
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania TTCL FIBER INTERNET INAPITA KWENYE NGUZO AU??

    Naombeni mnijuze hii ttcl internet fiber huwa inavyopita chini inawezaje kusambazwa majumbani, inabidi machimbo yachimbwe majumbani ili kuvutiwa waya wa fibrea au inakuwaje?
  10. AMADOGO

    JamiiForums Tanzania Mtu anayejenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege (columns), ni imara kweli?

    Samahanini wadau naomba kujua hivi kujenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege zile. Uimara wake ukoje? Engineer anadai kwa aina ya udongo ukiwa na matofali imara yakajengwa kwa kulaza inatosha. Ni kweli inaweza kuwa imara? Eneo ni tambarare. Naombeni mawazo yenu
  11. Madame S

    JamiiForums Tanzania Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

    Habari za muda huu, Jamani ninaomba kuuliza, tulifanya process za kuomba umeme tangu mwezi wa saba mwaka huu, na tuliwatumia wakandarasi wa hapo hapo tanesco kutujazia na kutuchorea na kurudisha form tanesco Tanga Mjini. Sasa siku hiyo hiyo alikuja mtu wa kufanya survey na akapima pima pale na...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

    Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini? Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number. Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Aina ya nondo kwenye umwagaji wa lenta pamoja na nguzo

    Wakuu habarini za kazi, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa Naombeni msaada kuhusu aina ya ndondo za kutumia kwenye ufungaji wa lenta, nyumba yangu ni kubwa vyumba vitatu, sitting room, dinning room, public toilet, jiko, stoo Kuna baadhi ya wadau walinishauri niweke mm12 mzunguko wa nje na...
  14. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Kujiamini katika biashara ndio nguzo kuu

    Mimi nauza vitu mbalimbli ziko specific nilianza kuagiza agents wakibongo wanaoishi china now naagiza mwenyewe, nauza socks sana tu pea tano(20000) mara nyingi nauzia insta ila nikapenda kutangaza na huku pia!! Nilichogundua watu wanakatisha tamaa sana iko hivi wewe unavaa socks za 1000 ni wewe...
  15. PHILE1879

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuhamisha nguzo ya TANESCO

    Nilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo. Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila...
  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Tanesco: Ni Umbali Gani Mtu Anaruhusiwa Kujenga Nyumba Kutoka Ilipo Nguzo ya Umeme wa Grid ya Taifa?

    Naiona hiyo nyumba inayopauliwa kuwa hatarini kutokana na umbali toka nguzo ya umeme kuwa mdogo sana
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TANESCO haina tena nguzo za kusambaza umeme majumbani

    Katika Hali isiyo ya kawaida ,Kwa mara ya kwanza tangu awamu ya tano,imetokea Hali isiyo ya kawaida ya kukosekana Kwa nguzo za kuunganisha wateja umeme Tanzania. Hakuna wilaya hata moja nchini insyotoa huduma ya kuwapatia wateja nguzo ili wananchi waweze kupata huduma ya umeme. Kila ukiuliza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nguzo muhimu kwa familia bora na imara ili kuleta maendeleo

    Mwanzo wa siku uanzia asubuhi na mapema ambapo jua uchomoza, Mpambanaji anaamka ndani ya familia yake tayari kuianza siku mpya yenye mipango na matalajio mengi. Ukiwa mwenye kiu na chachu ya mafanikio yakupasa uwe na Familia bora na imara kwani hao wanafamilia ndio wa kwanza kukutana nao na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nguzo 4 za kibiashra

    🇹🇿 4PILLARS OF BUSINESS( NGUZO 4 ZA BIASHARA) 🙏 Leo naomba tuamke na hii👆🏽👆🏽: Takwimu za benki kuu ya dunia zinaonyesha kuwa watu walio na mafanikio makubwa sana ni wafanya Biashara. Ukitaja Matajiri 1000 duniani wote ni wafanya Biashara😁😁 🤝 Tukubaliane nalo hilo. 💧 Ili kitu chochote...
Back
Top Bottom