Wakati unataka kuunganishiwa huduma ya umeme kama nyumba iko mbali kila nguzo moja ni sh. 515,000/, nguzo ni mali ya shirika, mwananchi ni mteja wa huduma ya umeme kwanini alipie nguzo?
Huu ni uonevu mkubwa sana. Kwanini mwananchi anunue kitu ambacho si mali yake? Mlitegemea bila nguzo...
Vijana wengi Leo hii wapo busy kutafuta mambo ya Kuwa furahisha na siyo kuwa fanikisha .
Kama kijana anapaswa kujenga nguzo zifuatazo ili aweze kufanikiwa
Kwa Leo nitaongelea nguzo mbili tu , zengine wakati ujao,
nazo ni hizi .
1) kijana ana paswa kumtafuta Mungu na nguvu zake,
ili aweze...
Jana nilishuhudia kwa mara ya kwanza Giant Bamboo, aisee zile Bamboo sio za kawaida ni kubwa mno na very heavy, nilikuwa naziona tu kwenye picha,ila jana ndio nikaziona kwa macho sio za kawaida kabisa.
Kuna mzungu Arusha USA River anazo na jana nilibahatika kufika kwake nikakutana nazo. Yeye...
Njia za Kutekeleza Sera ya Uchumi Endelevu kwa Mwananchi Mmoja Mmoja kama Nguzo ya Taifa Bora kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania
Uchumi endelevu ni dhana inayolenga kuleta maendeleo ya kiuchumi ambayo yanakidhi mahitaji ya sasa bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao. Katika...
Ikiwa Uhuru utatishiwa, basi Demokrasia na Uchaguzi vyote vitaathirika, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, mazingira ya Vyombo vya Habari yalijipambanua kwa kufungiwa kabisa kufanya kazi, kuzuiwa kwa muda, kufutwa kwa leseni na kuporomoka mno katika vipimo vinavyoonesha viwango vya Uhuru wa...
Elimu ndio silaha na nguzo kuu ya taifa lolote hapa duniani. Tanzania kama nchi inapaswa kulitazama suala la ubora na aina ya elimu wapewayo wananchi kama inakidhi mahitaji ya sasa ya nchi hasa ukizingatia dunia kuwa karibu zaidi katika nyanja mbalimbali mfano ajira, biashara na mawasiliano. Kwa...
Upendo ndiyo Nguzo ya Mafanikio yetu-Kikwete (MB)
Maneno hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete alipokuwa anaongea na Viongozi wa Chama wa Halmashauri ya Chalinze alipowaalika kwenye Futari...
Katika siku za hivi karibuni mkutano wa Baraza la Uchumi wa Dunia kwa mwaka 2024 ulifanyika huko Davis, Uswisi. Waziri mkuu wa China Li Qiang aliiwakilisha China kwenye mkutano huo, na kutoa hotuba muhimu ambayo sio kama tu iliendelea kutoa imani kwa jumuiya ya wachumi duniani, bali pia...
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyasaka, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza tunaomba hii kero yetu iwafikie TANESCO.
Hili Shirika letu la Umeme tumeshtoa taarifa kwao kuhusu changamoto ya nguzo kukatika lakini hakuna hatua zilizochukuliwa.
Tumeenda mbele na kuamua kuwapigia picha...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa waziri mkuu wetu hayati Edward Lowasa.
Ki ukweli huu msiba umewashtua wengi wakiwemo ndugu zake...
Kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari. Uhuru wa vyombo vya habari ni mojawapo ya nguzo muhimu za demokrasia. Rais Samia ameonyesha nia ya kuimarisha mazingira ambayo vyombo vya habari vinaweza kufanya kazi kwa uhuru zaidi. Hii ni hatua kuelekea kukuza uwazi na uwajibikaji.
===
Mambo makuu...
Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.
Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa...
Profesa Kitila Alexander Mkumbo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Waziri mwenye dhamana ya kusimamia utendaji wa kazi za Tume ya Mipango
Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) kimeadhimisha kwa kishindo kumbukizi ya miaka 40 tangu kilipoasisiwa na wanataaluma wakristo...
Hili tumewahi kuliandika humu na tunarudia tena, kwamba hata Mchawi hawezi kupenya kwenye jambo la pamoja, mkishaweka msimamo wa pamoja hata iweje hamuwezi kuhujumiwa.
Hiki ndicho kimeifanya CCM iendelee kuitumainia Polisi kwa miaka yote, Chadema ni kisiki cha mpingo
Pichani ni viongozi kadhaa...
Nguvu ya kiuchumi inabeba ushawishi mkubwa sana katika nyanja mbalimbali za maisha hapa Duniani.
CCM itavugika tu pale tu pesa itakapokuwa ni taabu miongoni mwao hasa ubaguzi wa fursa za kiuchumi
Nawaibia siri tu shida za kiuchumi, fursa za kiuchumi na kipesa ndani ya CCM ndio silaha kubwa...
Naomba wenye uzoefu nayo hii Biashara(Ya Kuuza Nguzo za Umeme za Miti) tushee ideas mbali mbali kuhusu uendeshaji wake na dondoo mbali mbali za hii biashara.
Kuna sehemu TANESCO wanafunga nguzo za zege? Kuna sehemu kama mbili naona zimekaa tu zaidi ya mwaka. Naona kama walizinunua bila kuwa na utaalamu wa kuzifunga, mbona sioni zikifungwa!
Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.
Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.
Mimi nilishangaa engineers...
Habari wana jamvi,
Kama heading inavyojieleza hizi nguzo za TANESCO ambazo zimetengewa kwa cement uimara wake ni mdogo na ni hatarishi hasa maeneo ya makazi na yenye watu wengi.
Awali nilijua labda zinatengenezwa ndani zinawekwa nondo na seng'enge ili kuongeza uimara kumbe ni tofauti ,hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.