nguzo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Soko la nguzo nane shinya lina tiririsha maji machafu yenye haru kali

    Kama nilivosema hapo juu, hapa shinyanga kuna soko maarufu sana linaiywa nguzo nane. Kero yangu ni kwamba, hili soko linatiririsha maji machafu yenye harufu kali sana kwenye mfereji wa barabara naomba wahusika wachukue hatu kwani ni kero kubwa lakin pia ni hatari kwa afya ya watumiaji wa soko hili
  2. sammosses

    JamiiForums Tanzania Umoja na Mshikamano ndiyo nguzo itakayotuvusha, hakuna aliye salama

    Maisha ni siasa,bila Siasa hakuna maisha. Unapozuia siasa unazuia maisha. Damu ya Maisha ni siasa,unapozuia damu isitembee kwa wiki mbili,unazuia uhai wa maisha yanayoendeshwa kwa misingi ya siasa. Unaweza usione athari kama walivyo wajinga wengi,lakini ulishawahi kufikiri kwanini mtoto mkubwa...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga wameamua kuvaa roho ya fitna kama nguzo yao kuu ya habari

    Leo nimeona niamke na Neno la Uzima. Natumaini litaenda kuwabariki wasomaji wengi. Moja ya tabia mbaya ambazo mtu unaweza kuhusishwa nazo ni tabia ya kueneza fitna. Ni moja ya nguzo za shetani zenye nia ya kuleta taharuhi, kuharibu na kuficha ukweli. Ukweli unahusishwa na Mungu. Uongo...
  4. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Mwananchi mstaarabu ni nguzo ya taifa imara

    Katika harakati za maisha ya kila siku, tunashuhudia tabia ambazo, kwa kiasi kikubwa, zinaashiria kupungua kwa maadili, nidhamu, na staha ndani ya jamii yetu. Sio kila jambo linahitaji sheria kali. Baadhi ya mambo yanahitaji tu busara, utu na heshima ya msingi. Ustaarabu ni namna mtu anavyoishi...
  5. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

    Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu! Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Pisi 225 Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo...
  6. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

    Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu! Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo Morogoro au...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuvuta umeme nguzo Moja Bei gani

    Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
  8. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Usiri ni nguzo ya mafanikio

    USIRI NI NGUZO YA MAFANIKIO. __________________________________________________ Si muda wote unatakiwa kueleza dhamira yako kwa watu unatakiwa kujua kuwa adui wa mtu ni watu. Sio ajabu yule unaemjengea dhana njema ndio akawa ni adui wa siri kwako kwahiyo ni vyema kuwa msiri kwenye mambo muhimu...
  9. U

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuuzia wananchi nguzo ni sawa?

    Habari ndugu zangu wana jamii forum.Kuna hii ishu ya kununua nguzo za Tanesco kwa ajili ya kuunganishiwa umeme? Maswali yangu ni kama ifuatavyo. 1.Je kuna sheria inayowaruhusu kuwauzia nguzo wananchi?? 2.Kama mwananchi amenunua nguzo ni sawa kuwa mali ya Tanesco?? 3.Kwa nini wanawaungia watu...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni Nguzo Muhimu ya Uchumi, Si Chombo cha Maandamano

    Bodaboda ni Nguzo Muhimu ya Uchumi, Si Chombo cha Maandamano Katika jamii yetu ya sasa, waendesha bodaboda wamekuwa mhimili mkubwa wa usafirishaji, ajira, na ustawi wa kiuchumi kwa mamilioni ya Watanzania. Wakiwa na mchango mkubwa katika kutoa huduma ya usafiri mijini na vijijini, sekta hii...
  11. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Wananchi: Nguzo ya Uonevu wa Kisiasa Tanzania

    Katika historia ya mataifa yote yaliyojikomboa kiutawala, sauti ya wananchi ndiyo iliyovunja minyororo ya uonevu na ukandamizaji. Lakini hapa Tanzania, tunaishi katika kipindi ambapo ukimya wa wananchi umegeuka kuwa baraka kwa watawala dhalimu. Viongozi wanakiuka haki, wanatumia vibaya madaraka...
  12. mwanga mweusi

    JamiiForums Tanzania Kuvuta umeme kwenye nguzo za transfoma

    Naomba ishauri kama inawezekana ,najua humu wapo wazoefu na mafundi wenyewe. Nimejenga kajumba kakuishi sasa nimeweka bajeti ya umeme sasa nilisikia kuna kununua nguzo hilo mimi sikujali maana hapa jirani yangu ng'ambo ya barabara kama mita 20 pana transfoma hii ndio inasambaza umeme mtaa huu...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hujalegea na Wala Hujarogwa, Umekosa Nidhamu: Nguzo Nne za Ufanisi

    Watu wengi hujiona kuwa wavivu, wakihisi kana kwamba hawawezi kujituma ipasavyo ili kufanikisha malengo yao. Lakini tafakari kwa kina: Je, kweli ni uvivu, au ni ukosefu wa nidhamu? Uvivu unamaanisha kukosa msukumo kabisa, lakini kwa kawaida, watu wanajihisi "wavivu" si kwa sababu hawana uwezo wa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la nguzo ya TANESCO kuoza mtaa wa Mavurunza, Kimara

    Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja. Kila tukiripoti TANESCO Kimara wanakuja na wanesema kwa kuwa line ni kubwa wao Kimara TANESCO hawahusiki. Nakumbuka kwa mara ya...
  15. Suip

    JamiiForums Tanzania Fundi wa urembo wa kona,madirisha na nguzo za nyumba

    Nahitaji kufahamu fundi wa kuremba nguzo, kona za nyumba na madirisha anayepatikana Arusha na bei ya kazi hiyo kwa kila dirisha,kona na nguzo,nina kazi.
  16. B

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuliwekewa nguzo huu Mwaka wa tatu sasa hatuna umeme na hatujui kinachoendelea

    Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme. Inashangaza sana, Chanika ni Wilaya ya Ilala, Wilaya ambayo imekuwa ikisemwa inaingiza mapato zaidi...
  17. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Kijana Mwenye kuhitaji kuwekeza kwenye soko la mbao, nguzo za umeme kwa mtaji wa milioni mbili tu nipo hapa nitamsaidia

    Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate faida ya haraka Karibuni tuwekeze kwenye soko la miti ya mbao pamoja na nguzo za umeme Kwa mtaji...
  18. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania DKT. Mwigulu Nchemba: Kiongozi mwadilifu na nguzo ya maendeleo ya taifa

    Tangu kuteuliwa kwake kama Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuonesha uadilifu, uthabiti na umahiri wa hali ya juu katika usimamizi wa uchumi wa Tanzania. Licha ya juhudi za wapinzani wake kueneza kampeni chafu dhidi yake, ukweli unabaki palepale—hana doa la ufisadi, hana tuhuma...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaituni Shabani Salum wa ZAMHSO: Elimu ya Afya ya Akili ni nguzo muhimu kwa kizazi chetu

    Katika kuendeleza mradi wa kutoa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni Zanzibar, Taasisi ya Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) inaendelea kufanya juhudi kuhakikisha inafikia shule zaidi ya 50 Kisiwani Unguja kama ilivyo sema hapo awali pia kufikia zaidi ya Wanafunzi 5,000. Wahusika...
  20. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Japo wana udhaifu wao, wanawake ndio nguzo ya familia na dunia kwa jumla

    Unaweza kuziorodhesha dosari zao nyingi tu,lakini mwanamke ndio nguzo ya familia na dunia nzima.Ndio wanaleta furaha,wanapamba nyumba,wanazaa na kulea watoto,ndio nguzo ya kiuchumi ya familia.Tuwape maua yao
Back
Top Bottom