nguzo

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Kenya: Mwanaume mmoja aandamana kwa kujifunga mnyororo kwenye nguzo na kutoa kero zake

    Mwanaume mmoja huko Kenya aandamana kwa aina yake leo kwa kujifunga kwenye nguzo na mnyororo na kuanza kuongea kero zake. Polisi walifika eneo la tukio na kujaribu kumfungua ili wamkamte huku watu wengine wakiwa wanarekodi tukio hilo. Polisi walipomuomba ufunguo, akasema mimi sina funguo. Kwa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nguvu ya Utawala Bora na Uwajibikaji

    Utawala bora ni mfumo ambao unasimamia sheria,taratibu na kanuni ambazo husimamiwa na serikali au taasisi yoyote ili kuhakikisha kuwa hakuna ukiukwaji wa haki za binadamu,uvunjifu wa sheria pamoja na maadili ya kazi ambayo yameweka ili kumwongoza kila mmoja katika utendaji wake wa kazi ili...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Maisha halisi nguzo yake ni ukweli lakini je, kwanini watu hugeuza maisha kuwa ni maigizo?

    Habari JF, Niwashirikishe kwenye chagizo la fikra na fikirishi kiasi, palipo na ladha, raha na utamu unayoweza kuihisi, kuionja, kuitamani, kuusikiia, kuisikilizia, kuipenda au kivyovyote vile nyuma ya pazia kuna uchafu na madudu ambayo hatimae tunapata vitu kama ladha, raha na utamu. Hivyo...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Kilichoathirika ni Deck kusogea kwa sentimeta 20, sio nguzo za Daraja la Mto Muhuwesi Tunduru

    Tunaomba kusahihisha kwamba: Nguzo za daraja hazijaathirika wala hazikusogezwa na mafuriko kutoka sehemu moja kwenda nyingine (Daraja lingeanguka). Kilichoathirika ni sehemu ya juu ya daraja (deck) ambapo nusu ya kwanza ya deck (m 54) ilisukumwa na mafuriko ya maji yaliyokuwa yamebeba magogo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ruvuma: Nguzo za Daraja la Mto Muhuwesi zadaiwa kufikisha miaka minne bila kufanyiwa marekebisho

    Hizi picha hapa chini zinadaiwa ni za daraja la mto Muhuwesi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Inadaiwa kwamba inakaribia mwaka wa nne sasa tangu nguzo zake zicheze na halijafanyiwa marekebisho hivyo inalazimika gari zote zipite upande mmoja. ====== UPDATES ======= Ufafanuzi wa Mkuu wa Wilaya...
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam ndio nguzo kuu kwenye kufanikiwa, vijana kimbilieni huko

    Hapa nazungumzia nyanja za mafanikio kwa sisi wasakatonge, nimezaliwa Moshi-kilimanjaro nimezunguka pande Nyingi za Tanzania Lakini dar-es salaam ndio Kila kitu kwa mtu ambae ana chachu ya mafanikio. MWANZA Ukienda Mwanza na hakika asilimia 100% utashindwa kujua uanzie wapi umalize wapi, labda...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa nguzo za umeme za zege umeishia wapi? Nchi ina vituko hii!!

    Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda. Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo. #Tanzania yangu!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mradi wa REA umekuwa ukitukosha, Lakini iweje TANESCO wanatuuzia nguzo Tzs 500,000 Arusha Vijijini?

    Rais wetu, unastahiki kila aina ya pongezi kwa maono yako ya kuondoa giza kwenye kila kona ya nchi kwa miradi ya umeme vijijini. Lakini kwa sasa TANESCO Arusha wanatoza zaidi ya sh. 500.000 iwapo utahitaji nguzo moja, na hadi 600,000 kwa umbali wa nguzo mbili. Sasa huyu maskini anayeishi...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kipaji kinaweza kuwa nguzo ya mafanikio

    Inaweza ukawa una kipaji,ila kilishapotea kutokana na mazingira.Au pengine bado hujagundua kipaji chako,na unahitaji kujiendeleza ili kikuletee manufaa.Basi huku ndio penyewe. I.Gundua kipaji chako. Neno kipaji wengi huwa tunaamini labda ni kuwa mwanamziki,au mchoraji.Lakini KIPAJI,ni ule...
  10. maroon7

    JamiiForums Tanzania Nguzo ya Tanesco inaweza kuwa ndani ya uzio?

    Nimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?
  11. mgt software

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nyaya zinazoshikilia nguzo zinaibwa zinatumika kufungia Linta!

    JF wana Nimefanya uchunguzi wa kitafiti kujua nini hasa malalamiko ya kila wakati ya watu kuiba miundombinu nikakuta kwamba kasi ya kupanda kwa nondo ndio sababu kuu watu kuiba nyaya za TANESCO na kuzitumia kushikiria paa nyingine kuziweka kwenye linta. Ujenzi huu hatari umeanza hivi karibuni...
  12. Kgy26

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo katika nchi yoyote duniani

    Maana ya Uwajibikaji Ni hali ya kujituma kutimiza majukumu au wajibu fulani kwa wakati, mahali na muda sahihi. Neno hili katika maadili na utawala linafananishwa na kuwa na jukumu la kujibu, kutegemewa au kutoa hesabu ya kile ulichopewa dhamana ya kukifanya. Dhana hii imekuwa ikitumika sana...
  13. Green Beret

    JamiiForums Tanzania Mwanaume nguzo ya jamii

    Ni kasumba iliyozoeleka kwa jamii kuwa mwanaume anayelala na wanawake wengi ndiye rijali. Ila ni vyema tukafahamu na kutafakari haya; Mit 6:32 SUV Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua bei za nguzo za(Seng'enge) kuzunguka plot /kiwanja sehemu za Kijichi - Kigamboni

    Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele. Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza nisaidie nijue bei pia. Shukran
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inawezekanaje TANESCO kuweka nguzo kwenye eneo la mtu bila mwenye eneo kushirikishwa?

    Wakuu kwanza poleni na majukumu,ninaomba kujuzwa kitendo kilichofanywa na tanesco magomeni kama Kiko sahihi au si sahihi. Kuna mtu walikuwa wakimuunganishia umeme lakini bila kujari au kumshirikisha mwenye eneo kama mahali waliposimika nguzo ni sahihi au laah wao wakachomeka nguzo ambayo...
  16. Emmanuel180

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na hizi kazi za kwenye nguzo Dar-es-Salaam

    Ebhan hapa Dar unaweza pita kwenye nguzo wamebandika tangazo la kazi mara nyingiiiiii mnooo mfano Ds max wanahitaji watu wa kazi wanakuandikia kabisa mshahara may be 275k nafasi za kazi zimegawanyika mfano. Ofisini Store keeper Usambazaji Udereva N.k Nataka kujua kwa wenye uzoefu wa hizi kaz...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

    Swali la uelewa, Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi? Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa c.c FaizaFoxy
  18. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mkonze Dodoma jiji, barabara ya Iringa, tuna nguzo za REA huu mwaka wa pili zimesimamishwa ila hazina nyaya

    Kichwa cha habari chajieleza.. Huu mwaka wa pili tangu hizi nguzo zisimamishwe baada ya agizo la Hayati Magufuli alipopita kwenda ziarani Iringa.. Alisema haiwezekani anapita mjin halafu kuna giza tuwekewe umeme haraka sana. Nguzo zikawekwa alipofariki na umeme umefariki pia.. Sasa hivi...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Fundi urembo wa nguzo anahitajika kwa bei nafuu

    Kazi ya kuweka urembo kwenye nguzo 6, pamoja na mkanda wa slab wenye mzunguko wa mita 50. Hela iko mfuko wa shati, laki 4; haiongezeki ila inaweza kupungua.
  20. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Kufunga Ramdahan ni nguzo nzito sana kwa Waislamu walio wengi

    Kwa utafiti niliuoufanya Waislam walio wengi hawafungi ramadhani, wengi wana pretend ili kuondoa aibu kwa wenza, majirani, marafiki, wazazi n.k Yani ile kwamba watanionaje? Ila ukweli wa dhati ni kwamba watu wanabonyea kama kawaida ila kwa kujificha saana. Mungu hachezewi ipo siku tutajutia...
Back
Top Bottom