nguzo

  1. B

    Prof. Kabudi: Imani, uelewa na msimamo wako kuhusu Utumishi wa Umma ni nguzo kuu ya kuzaliwa Taifa mfu

    Nimemsikiliza Profesa Kabudi akieleza nini Mtumishi wa Umma anapaswa kufanya, baadhi ya Mambo anayosisitiza ni pamoja na mtumishi wa Umma: 1. Kutii (obey) mamlaka iliyopo juu yake. 2. Kama ataki kuendana na mamlaka iliyopo juu yake aache kazi. Katika karne ya sasa utii wa mamlaka za...
  2. Haparahatu

    Nguzo za Nchi Bye Bye

    Nguzo za Nchi bye bye Chama cha CCM kimeshinda kwa kishindo uchaguzi wa 2020. Kama ndio hivyo basi, kupeleka majeshi Zanzibar pamoja na baadhi ya maeneo ya Tanzania bara yenye upinzani ni ishara kubwa kuwa haki za watu zimepotea. Nimefikiria sana tunaenda vipi mbele kama Taifa. Baba wa Taifa...
  3. wanzagitalewa

    Sekta ya mawasiliano ya simu ilivyo nguzo muhimu kuleta mabadiliko ya kiuchumi Tanzania

    Dunia inaendelea kushuhudia maabadiliko makubwa ya kiteknolojia sehemu mbali mbali kwa kasi ya ajabu. Sehemu kubwa ya matunda ya teknolojia mfano matumizi ya simu mkononi ambayo yapo sasa, yasingeweza hata kufikirika mwanzoni mwa karne ya 21. Ukweli usiopingika ni kwamba, kadiri maendeleo ya...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Nguzo Kuu Tano za Maisha: Soma utakapoishia panakutosha

    NGUZO KUU TANO ZA MAISHA Na, Robert Heriel Maandishi ya Robert Heriel kwa Lugha ya Kiswahili. Maisha ni kuishi, na kuishi ndio maisha yenyewe. Hapana shaka ndoto ya kila mwanadamu ni kuishi maisha mazuri na ndio sababu watu wanahangaika kuhakikisha maisha yao yanakuwa mazuri. watu wengi...
  5. A

    Tunatoa huduma ya kuzalisha ya miche ya miti ya mbao na kupanda mashambani

    PANDA MITI YA MBAO NA NGUZO UNUFAIKE BAADAE. Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na Katika Tanzania mikoa ya Njombe ni moja ya mikoa maarufu inayoongoza kwa misitu mikubwa ya kupandwa...
  6. CHIPESI NAMISUKU

    Wanaosema Mzee Mkapa ni nguzo ya Taifa wapo sahihi

    Tarehe 28/12/2019 niliandika kuhusu Mzee Mkapa kichwa Cha habari kikisema Nini maana ya Legacy? Niliandika naomba Kunukuu:- "Natamani sana kujua wasaidizi wa Rais Mkapa alioingia nao madarakani 1995. Kama kuna mtu ameacha Legacy ya kutosha kwenye nchi hii japokuwa hatuoni kwa macho ya kawaida...
  7. dosama

    Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

    Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
  8. Miss Zomboko

    Serikali kuacha kutumia nguzo za miti ili kuzuia ukatikaji wa umeme hasa sehemu zenye mafuriko

    SERIKALI itaachana na matumizi ya nguzo za umeme zitokanazo na miti na badala yake itatumia nguzo za zege ili kuepukana na uharibifu wa nguzo kuoza na kusababisha tatizo la ukatikaji wa umeme. Hayo yamesemwa wilayani Rufiji mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu wakati...
  9. LAZIMA NISEME

    Maadili ya viongozi wa umma ni nguzo muhimu kwa ustawi wa taifa hili, viongozi wetu lazima wajitafakari na hili

    Maadili ni nyenzo muhimu na nguzo kwa viongozi wa Umma katika kuleta ufanisi katika utendaji wa kazi zao kwa manufaa ya wananchi na kwa taifa kwa ujumla. Hakuna maendeleo yoyote katika nchi ambayo yanaweza kupatikana iwapo viongozi ambao ndio watendaji wa kazi watashindwa kufuata maadili ya kazi...
  10. R

    CHADEMA mnajipanga vipi kuzikabili hujuma kama za uchaguzi wa Serikali za mitaa, maana ndiyo nguzo ya CCM uchaguzi wa Oktoba

    Unaona wimbi kubwa la wana Chadema njaa kukimbia kwenda CCM. Si kwamba wanaipenda CCM, la hasha. Wanasoma trend kuwa wabunge wote walionunuliwa wame-retain nafasi zao bungeni. Na wanajua kuwa hata uchaguzi wa October mbinu hiyo itatumiwa na serikali/CCM kupora ushindi wa Chadema. Au mbinu ya...
  11. wanzagitalewa

    Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi

    Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini. Juma lililopita, Umoja wa Forodha Ulimwenguni (WCO) uliweka bayana kwamba Tanzania inaweza kunufaika kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza katika teknolojia. Akizungumza jijini Dar Es Salaam, Katibu...
  12. Miss Zomboko

    Serikali yaagiza wanaotoza fedha za nguzo za umeme kwa wananchi wakamatwe

    Waziri wa Nishati wa Tanzania, Dk Medard Kalemani ameagiza makandarasi au mameneja wanaolazimisha wananchi kulipia nguzo za umeme ili kuunganishiwa nishati hiyo kukamatwa. Amesema watu hao wanapuuza agizo la Serikali inayotaka nguzo hizo kutolewa bure. Ametoa ufafanuzi huo Februari 15, 2020...
  13. Tembele

    Mbao na nguzo zilizotengenezwa kwa taka za plastiki

    Tunapenda kukufahamisha kuwa tuna MBAO na NGUZO ZA PLASTIKI (zilizotengenezwa kwa mabaki ya plastiki 100%) zilizo katika urefu na saizi tofauti, imara na madhubuti kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa makazi, bustani na Alama za Barabarani, kukutengenezea muonekano mzuri sana. Mbao na Nguzo hizi za...
  14. FRANCIS DA DON

    Napendekeza taa za mwanga barabarani na nyaya za simu zifungwe kwenye nguzo za umeme

    Yaani badala ya kununua milingoti ya chuma na wire kwa ajili ya kufunga zile taa za mwanga barabarani, napendekeza taa ziwe zinafungwa kwenye mistimu ya umeme iliyopo kando kando ya barabara na ziungwe kwenye umeme moja kwa moja, hii itakoa fedha nyingi mno. Pia badala ya kusimika mistimu ya...
Back
Top Bottom