Mradi wa REA umekuwa ukitukosha, Lakini iweje TANESCO wanatuuzia nguzo Tzs 500,000 Arusha Vijijini?

Amanisony

New Member
Feb 13, 2023
1
0
Rais wetu, unastahiki kila aina ya pongezi kwa maono yako ya kuondoa giza kwenye kila kona ya nchi kwa miradi ya umeme vijijini. Lakini kwa sasa TANESCO Arusha wanatoza zaidi ya sh. 500.000 iwapo utahitaji nguzo moja, na hadi 600,000 kwa umbali wa nguzo mbili. Sasa huyu maskini anayeishi kijijini anahitaji mwanga, anapata wapi hizo hela?

Tunaomba Waziri wa Nishati ajaribu kuona ni wapi kuna tatizo.
 
Back
Top Bottom