Mwanaume nguzo ya jamii

Mwanaume nguzo ya jamii

Veritas Minor

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
634
Reaction score
998
Ni kasumba iliyozoeleka kwa jamii kuwa mwanaume anayelala na wanawake wengi ndiye rijali.

Ila ni vyema tukafahamu na kutafakari haya;

Mit 6:32 SUV​

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Kuna kulala na wanawake wengi na kuoa Wanawake wengi. Ni Jambo moja utofauti ni kuwa moja iko Legal nyingine ipo Illegal.

Aliyeandika hiyo Nukuu alikuwa na Wake 7000 na MICHEPUKO 300.

KAZI kwako kupembua mbivu na mbichi.

Uache Raha na Kujifurahisha ukiwa na nguvu ukalie Aya moja.

Kama Mwanaume STAREHE yako ni wanawake OA WENGI. Hawataki Oa hivyohivyo ambaye hataki ATAONDOKA
 
Back
Top Bottom