nguo

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko: Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa "unakaguliwa na hata kama ni Mama utaruka kichurachura"

    Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko, ameitaka Serikali kufunga mashine maalum kwenye Magereza ili kuondoa malalamiko ya Wafungwa kukaguliwa wakiwa uchi wa mnyama jambo ambalo ni kinyume na Haki za Binadamu. “Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa unakaguliwa na hata kama ni mama upo...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu unaonyesha nguo ya ndani nyeupe ili iweje?

    Nyumba tunazoishi za kupanga, nyumba moja familia tano. Mke wa mtu unavaa suruali unapoinama kuosha vyombo au kufua chupi jeupe linaonekana kiunoni limekatika na kuonyesha shepu lote la makalio huu ni ustaarabu? Mbaya zaidi unawalenga vijana ambao hawana wake au wale ambao wake zao wako mbali...
  3. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Dawa gani inaondoa madoa kwenye nguo?

    Habari wanaJF naomba kwa anaeijua dawa ya kuondoa madoa kwenye nguo kama hili hapa chini. Dawa isiyo na athari kwenye nguo,pia isiyo ya bei kubwa.
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

    Baada ya kusikia jina Vunja bei kwa muda mrefu mitandaoni ikabidi na mimi nigoogle, nikafaikiwa kukutana na podcast moja ya vunja bei. Jamaa ameongea mambo mengi sana na moja amewataka wateja waje kwa wingi kwenye maduka yake maana hamna kitu fake vyote ni original. Anasema ukikuta nguo...
  5. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa nguo aina ya kadeti

    Nina shida na kununua kadeti ila naona nyingi zilizojaa dukani ukivaa baada ya muda zinapauka balaa. Nataka kujua aina ya kadeti nzuri na zisizopauka na sehemu yake zinapouzwa na bei yake. Nipo Dar
  6. Mag3

    JamiiForums Tanzania Hofu na wasiwasi watanda ndani ya CCM; wasutana wakigombania bongo. Nani katwaa ubongo usio wake?

    Wahenga walisema ujanja kupata...wakati wa mwendazake viongozi na wanachama wa CCM kwa kuonesha utii walifanya kama tunavyoshuhudia kwenye hii picha hapa chini. Walipigana vikumbo kukabidhi akili zao kwa bwana mkubwa lakini kwa bahati mbaya bongo ziliwekwa kwenye ndoo bila kuwekewa alama...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wapinzani aliharibu kabisa hii nchi, CAG awavua nguo ya ndani

    Ukiangalia trend za majadiliano mitandaoni utaona dhahiri watanzania wameingia ubaridi toka jana ilipotoka taarifa ya Dr Abbas kukanganya na kufuatiwa na ya Msigwa kufafanua vyombo vipi vya habari vifunguliwe._ Jambo lililovurugika zaidi Waziri mwenye dhamana alipoomba wamiliki wa magazeti...
  8. theChinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la nguo za watoto za mtumba Jijini Dar

    Hello ladies and gentlemen... Anaefahamu chimbo zuri hapa Dar, wanapouza nguo za watoto nyepesi yaani (lightbaby) grade one kutoka Canada na UK anijuze. Ukinijuza na bei itakuwa poa. Nawasilisha. Pia soma: Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tunashona nguo za kike na za kiume za aina zote

    Habari Wadau, Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza, Nguo za Harusi ( Suti na Magauni) Uniform za Maoffisi na Mashuleni Mishono ya Vitenge Casual Wear etc Karibuni Ofisi zetu zipo kinondoni Manyanya opposite na American Chips. Mawasiliano 0737610682
  10. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

    Jamani kwa wale wapenzi wa muziki wa bongo flevaa hebu tujikumbushie matukio, bifu yaliyowahi kubamba miaka ya nyuma ENZI za bongo FLEVA kitambo hiko yaliyowahi kuhit. 1.moja kati ya matukio ilikuwa ni DUDUBAYA KUMPIGA MR.NICE NA KUMUUMIZA . 2.TUKIO LA WATU KULA UGALI KATIKA UZINDUZI wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kirusi cha Corona kwenye nguo kinaishi siku mbili

    Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne. Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu? Propaganda...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Watu tulio single tunavaa nguo za rangi gani Siku za Valentini?

    Wakuu mambo, Mpo poa. Sasa wajumbe nipo hapa najipanga kwaajili ya valentine day kesho jinsi nitavyo toka huko kitaa. Sasa napata kizungumkuti kuhusu rangi ya nguo ya kuvaa kesho kwa sisi tulio single. Hivi ni rangi gani ya nguo inafaa kuvaliwa kwa sisi tulio single.
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ili kujikinga na maambukizi ya Corona nakushauri usivae nguo nyingi

    Vijidudu/virusi vya corona vinaweza kuishi kwa muda kadhaa kwenye nguo, ngozi ya mwili, vitasa vya milango na maeneo kadhaa mbalimbali kama vile simu, samani, viti, mikoba, kalamu, madaftari, nk. Ndio maana tunasema tunawe mikono mara kwa mara na kuepuka kujishikashika usoni, puani na mdomoni...
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Hivi Harmonize ni mwanajeshi wa kikosi gani hadi avae nguo za jeshi, anaogopwa?

    Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi. Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya? Ni mara...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Katika msimu huu wa mvua naombeni tujuzane mbinu za kukausha nguo

    Sehemu nyingi sahizi kuna mvua hapa nchini. Ni neema na baraka kwavile tutapata vyakula. Ila sasa kuna hii ishu ya nguo wakuu, Wewe unadili nayo vipi?
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Simba ya hawa wachezaji, Yanga tusiposhinda Natembea Bila Nguo Kabisa. Babu amehakikisha

    Yanga tuna bao 2 Simba 0. Ushihidi ni huu uzi. Yanga tumeadhamilia kushinda hii match. Wakati Simba tayari wanaonekana kushindwa hii match mapema sana. Hivyo nawashauri wana Yanga tuanze sherehekea Mapinduzi Cup. Na hili kombe kwa kweli halina sababu ya kutotua Jangwani. Iwe mvua iwe jua...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wafanyabiashara wa maduka ya nguo Kariakoo

    Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi nisaidieni. Kila nikienda naishia tu kwenye nguo za bei jamani nielekezeni tafadhari pia maduka ya urembo...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Je, Hivi ni kweli kuna baadhi ya sabuni za Unga huwa zinapausha nguo ukizitumia zaidi ya mara moja au mara kwa mara?

    Wakuu habari za Wakati huu Twende kwenye mada Nilikuwa nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo? Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku uvaaji wa nguo fupi kwenye mabaa na sehemu zingine zinazotoa huduma za chakula na vinywaji

    Habari wadau. Uvaaji wa nguo fupi kwenye baadhi ya mabaa na mighahawa limekuwa ni kama jambo la kawaida ingawa kwakweli halipendezi na ni udhalilishaji wa utu wa mwanamke. Na Kwasababu hakuna sheria inayokataza jambo hili, inaonekana pia ni sera ya baadhi ya wamiliki wa mabaa na mighahawa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, TAWA kuua wanyama kiholela haikubaliki

    Mhe. Waziri wa Maliasili na Utalii, naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA). Wenzetu wa TAWA wamekosa weledi na hawatumii kabisa taaluma zao katika kushughulikia Wanyama waliopo nje ya Hifadhi, hakika wanachofanya siyo Profesionalism na Kinahamasisha...
Back
Top Bottom