Wataalamu wa nguo aina ya Kadeti

buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
423
500
Nina shida na kununua kadeti ila naona nyingi zilizojaa dukani ukivaa baada ya muda zinapauka balaa.

Nataka kujua aina ya kadeti nzuri na zisizopauka na sehemu yake zinapouzwa na bei yake.

Nipo Dar

1619078625185.png

 

kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
3,984
2,000
Kadeti zilikwa zamani, kadeti ya mwisho kununua ya maana inaitwa OSPREY , lakini bado haina ubora wa zile za zamani, labda zipo kwenye maduka makubwa.
 

0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
1,633
2,000
Kabisa mkuu. Juzi kati nimeshangaa kuzikuta soko la Memorial-Moshi kwa 10k. Nzuri kabisa na hazipauki haraka kama hizi jeep.
Nakumbuka zaman mwaka 2015 nilkuwa nazinunua nikiwa Arusha tena hzo za Jeep,tena zilkuwa hazna haja ya kuzipeleka kwa fundi cherehani kuzpunguza,hzo kadet unavaa zaidi ya miaka 3,kama ukiwa nazo nying,

Kama mim huwa na uwezo wa kuvaa kadet kwa wik nzima bila kuifua,naivua naitunza ikifikia mzunguko wake tena naivaa wik nzima inatuzwa,naweza ivaa kwa style hyo hata mara nne ndo naifua kiaina na kuianika kivulin
 

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
5,773
2,000
Kuna kadeti nyepesi na lastic za bei poa hizi zina pauka vizuri sana na zinakuwa kama zimechuja rangi pia, kuna kadeti kitambaa kizito hizi ndio zenyewe huwa nanunua sana...

Yupo mshikaji wangu huwa hata nikiwa mkoani nitamwambia atume, namlipa usafirishaji na pesa yake, nikiwa dar analeta home...

Hivyo bei sio tatizo, waweza nunua za 70,000/- na zika pauka, hapa nikujua kadeti yenyewe...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom