nguo

  1. excel

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa kushona nguo za kike

    Habari za asubuhi? Anahitajika fundi mzuri wa kushona nguo za kike. Eneo la kazi ni Tabata Aroma, Dar es salaam. Kama unahisi hii ni kazi yako na inakufaa, wasiliana na Dalali - 0744033555
  2. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ikimulike kiwanda cha nguo cha urafiki. Huu ni ushauri wa bure kwa waziri wa viwanda atakayeteuliwa

    Baada ya uchaguzi kuisha na uteuzi wa Waziri Mkuu na uundwaji wa Baraza la Mawaziri kukamilika, ninaishauri SERIKALI kupitia kwa Waziri wa VIWANDA, biashara na uwekezaji akimulike kiwanda cha NGUO cha urafiki kinachojulikana Kama (TANZANIA-CHINA FRIENDSHIP TEXTILES CO) kilichopo Ubungo jijini...
  3. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Kila mwaka katika Kisiwa cha Sulawesi wafu hufukuliwa, kubadilishwa nguo, kuvutishwa sigara n.k, kama ishara ya kudumisha mapenzi kwao

    Kila mwaka huko kaitika Kisiwa cha Sulawesi, Tana Toraja, Indonesia, wafu hufukuliwa kutoka makaburini ili kubadilishwa nguo na kuwatembeza Kijini hapo, watu wa eneo hilo wa kabila la Toraja wana mila ya ajabu inayoiitwa Ma’nene ambayo wanaamini mtu akifa bado yuko nao kwa hiyo inawalizimu...
  4. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Najisikia poa kuona mwanamke kavaa boxer kama nguo ya ndani

    Sijui nina tatizo au la, ila mimi nachukia sana kuona mwanamke kavaa kyupi, Na vise versa naenjoy kuona KE akivaa boxer, nakua na amani Nakumbuka mwaka fulani nilikua na date na tom boy yeye alikua anavaa boxer tu, huwezi mkuta kavaa kyupi, siku ya Kwanza kuonana nae alikua kavaa pensi, afu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanaovaa nguo za CCM kwenye mkutano wa Kampeni kwanini baada ya mkutano huzivua kabla ya kurejea makwao?

    Mikutano mingi ya Chama cha Mapinduzi inapomalizika eneo la tukio watu wenye uniform za chama upotea au kuzibadilisha na hivyo kutoonekana wakiwa wamezivaa kurejea makwao. Miaka ya nyuma mtaani watu walikua wanaona fahari kuzivaa kuanzia bodaboda, mama ntilie, wajumbe na watu wengine. Ilikuwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa Umma waliokatazwa na sheria kujihusisha na siasa wanavaa nguo za vyama vya siasa?

    Wapo watumishi wa mahakama, tume, vyombo vya dola na taasisi nyingine wamekatazwa na sheria kwa kipindi chote Cha utumishi wasijihusishe na siasa lakini aidha kwa kujua au kutokujua leo wanavaa nguo za vyama, wanaposti picha kwenye mitandao wakiwa na nguo za chama Cha siasa na kuandika katika...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

    Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter: Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wasomi walioajiriwa kukimbilia biashara za nguo na viatu mitandaoni

    Wakuu salama? Kitambo sijapost hapa ila nimeona leo tuangalie upande wa pili wa shilingi; tuna idadi kubwa sana ya vijana wetu wasomi tena ambao wapo kwenye ajira iliyo rasmi lakini wakati huo huo wanafanya ujasiriamali mdogomdogo. Sioni tatizo kufanya biashara ila shida inakuja pale ambapo...
  9. kasulavenance

    JamiiForums Tanzania Style Mpya ya nguo kwa wanaume Mjini

  10. Mimadavid

    JamiiForums Tanzania Nguo za mtumba za wasichana Grade A

    Nauza nguo za mtumba za wasichana zenye ubora na bei rahisi kuanzia 5000-15000 Napatikana Sinza Mori Kwa mawasiliano 0624041646
  11. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Mafundi nguo acheni ujinga huu...

    Hii ni mara ya pili sasa mafundi nguo wananiharibia nguo zangu! Namwambia vizuri tu kwa lugha inayoeleweka "...punguza urefu na upana." tunakubaliana... nampa pesa yake nasepa. Leo nimekuja kuchukua nguo zangu kubabake zimemodolewa zote! Hapa nilipo nimechukia kinoma! Nahisi sinaga bahati na...
  12. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Duka la nguo za watoto au Fundi mzuri wa Nguo za watoto wa kiume (official wear)

    Naomba kwa wale wafanyabiashara wa nguo au watembeaji kama mimi mnaoweza nisaidia kujua ni wapi naweza pata duka la nguo za watoto wa kiume hasa hasa SUTI au pigo zozote za ki ofisi na ki utu uzima uzima naomba mnisaidie location. Au kama yupo anaemjua fundi mshonaji anaeshona suti kali kali za...
  13. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Kupitisha airport cargo yenye nguo za mtu binafsi alizokuwa anazivaa akiwa nje ya nchi

    Kupitisha airport cargo yenye nguo za mtu binafsi alizokua anazivaa akiwa huko nje ya nchi alikokua anakaa sasa anarudi nazo bongo. Lakini kama cargo je customs analipia shs ngapi pale airport? Asante.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huu sasa ni wakati wa 'Kuvumiliana' tu tafadhali kwani wengine 'tumeshavaa' tayari Nguo za 'Kuikampenia' CCM

    Kuna Watu naona wamehoji sana 'posts' zangu nyingi za Kuanzia Jumamosi iliyopita tu hapa Jamvini ( JamiiForums ) huku wakisema kuwa imekuwaje GENTAMYCINE 'nimebadilika' ghafla. Natoa Jibu la jumla jumla kwani huenda wengi wenu ni Wageni Kwangu. Kuanzia sasa hadi Uchaguzi Mkuu nipo 'Kikampeni'...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba anashangaa Waziri kufua nguo Ulaya hajui kuwa mabeki tatu walikuwa wanatumwa buchani SA kununua kitoweo

    Namfahamu mwanasiasa mmoja ambaye alikuwa akimtuma house girl kwenda kununua nyama buchani/ supermarket Afrika ya Kusini kila wiki. Hili la kufua nguo Ulaya, Nairobi au Pretoria ni la kawaida sana kwa viongozi na wengi wao wanakwepa dry cleaners za hapa nyumbani kwa kuhofia kulogwa kupitia nguo...
  16. Stroke

    JamiiForums Tanzania Hii midoli ya fasheni kwenye maduka inayovalishwa nguo za ndani inavunja maadili

    Wakuu, Hivi karibuni kumekuwa na matumizi ya midoli kwa wenye maduka ya nguo kuwavalisha mavazi yanayopatikana kwenye maduka yao Sasa utakutana na mdoli wa kike umevalishwa sidiria na nguo ya ndani mchana kweupe na umewekwa nje kwa maonesho Binafsi naona hata kama ni maendeleo ila sio sawa...
  17. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya ushonaji wa nguo na upatikanaji wa vifaa vyake

    Naomba anayefahamu mchanganuo wa biashara ya ushonaji wa nguo anisaidie.nataka nione kama naweza kumsaidia mdogo wangu anaweza kushona nguo.sina uwezo mkubwa lakini jaribu kutumia mini quatations.
  18. Digging deeper

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara ya nguo

    Wadau wa JF Naomba ushauri wenu vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara ya nguo, mtaji kiasi gani, changamoto za hii biashara ni zipi? Nguo za kiume za dukani.
  19. feyzal

    JamiiForums Tanzania GE2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

    Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu. Ni aibu...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa watawala wetu umepaisha umaarufu wa vyombo vya habari vya nje vya BBC, DW na VoA!

    Tokea watawala wetu watangaze kanuni zao za "kipuuzi" kuwa kuanzia sasa, hakuna chombo cha habari hapa nchini kurusha matangazo na vyombo vya habari vya washirika toka nchi za nje, hadi kwanza wapate kibali toka mamlaka ya TCRA, wamepaisha mno umaarufu wa vyombo hivyo vya nje maradufu bila ya...
Back
Top Bottom