Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,473
- 19,269
Mama anapendeza, huyo anayemtafutia nguo, anayemchagulia za kuvaa, anatakiwa apewe tuzo. Jana tu Kenya kaonekana amebadilisha nguo karibia mara tano siku moja, nafikiri ni kwasababu ya COVID 19, kila alipokuwa anaenda alikuwa anaenda na nguo mpya.
Ila aliyovaa wakati anafika Kenya ilimpendeza sana. Safi sana Rais wetu
Ila aliyovaa wakati anafika Kenya ilimpendeza sana. Safi sana Rais wetu