nguo

  1. jaap

    JamiiForums Tanzania Mama wa mtoto wangu hataki nimnunulie nguo mwanangu

    Huyu Mama wa mtoto wangu ana tabia ya kukataa vitu ninavyo mnunu lia mtoto wangu yeye ana taka niwe na mtumia hela mfano nime mnunulia mtoto wangu vifaa vya shule na baiskel nika mwambie nakutumia nauli umpe mdogo wako ampeleke mtoto kwa Bibi yake akachukue vitu vyake maana siyo mbali na anapo...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Fundi nguo wa hayati mzalendo wetu hakua fair

    That's real
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ummy sare uleta usawa shule za serikali, mzazi anayekosa unifomu nivigumu Kupata nguo mbadala za mwanaye: Tupunguze free lunch Kwa wananchi

    Aliyeanzisha uniform au sare shuleni naamini alilenga kuweka usawa baina ya maskini na tajiri lakini pia alitofautisha Kati ya Mwanafunzi na watu watoto wengine. Tunaposema asiye na sare aende shule tunakosea, tulipaswa kuwabaini wasio na unifomu mapema Tena kwa kujiandikisha ikiwemo kuweka...
  4. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Nguo zenye uke feki Ni janga jipya Kwenye mahusiano ya Kingono

    Wachina hawaishiwi mambo, Kuanzia enzi za Kwenye kope feki, matiti feki, mimba feki, kucha feki, tako feki, hips feki, miguu feki, macho feki,nywele feki. Sasa Ni awamu ya UKE FEKI. Ikiwa Ni mwaka mmoja TU tangu wazindue teknolojia ya ngozi feki (body silicon skin). Wakahamia Kwenye nguo...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo

    Hello wadau. Nimefungua duka la nguo za mtumba eneo flani.. lakin kwa sasa nimeweka vinguo t vya kitoto na kanzu za msikitini za kiume. Ila biashara ya baibui za mtumba na vinguo vyngn vya mtumba vinaend san so ikiwa kuna yyte ambae atakubali kuingia ubia na mimi katika hyo baishara na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Figisu figisu za TFF dhidi ya CEO wa SIMBA (Barbra) mechi ya leo zawavua nguo

    Wakati akiingia eneo la VVP kwa ajili ya kutazama mechi ya Leo, CEO wa Simba Babra Gonzalez akiwa ameambatana na wanafamilia watatu (tena) watoto alizuiliwa na maafisa wa TFF kuwaingiza watoto hao kwa kisingizio kuwa watoto hawaruhusiwi kuingia VVP.... Kwa kuona hivyo akaamua kuondoka yeye na...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nauza nguo kwa bei nafuu

    Karibuni vunja Bei kariakoo online wauzaji wa nguo za kiume pamoja na viatu Utapata jeans kardet vest T-shirt shirt kwa Bei pouwa Njoo WhatsApp 0657710078
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya kuanikia nguo huwa inasahaulika katika ramani na ujenzi wa nyumba

    Usafi wa nguo hufanyika kila mara na hii inategemea ukubwa wa familia au wingi wa wakazi. Kuna wanaofua kila siku, kila baada ya siku au mara moja kwa wiki. Wengine Hufua kwa mashine na kukausha kwa dryer, hawa siwaongelei hapa kwani ni wachache sana. Nguo kuanikwa hovyo hovyo kunapoteza...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Taratibu za misiba, ni nguo zipi anavalishwa marehemu

    Huwa najiuliza sana ni nguo zipi ambazo marehemu anavalishwa hususan kwa wakristo maana waislam inajulikana tayari. Ni nguo aina ipi marehemu huvikwa ?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya wapi wanauza nguo za kike grade A mtumba

    nahitaji nguo za kike nzuri za mtumba grade A naomba mnisaidie mlioko mbeya napataje na soko gani
  11. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Zari akemea wanaomkosoa kwa kuvaa chupi nyeusi ndani ya nguo nyeupe

    Mwanasoshalaiti na mjasiriamali Zari Hassan amewakemea watu ambao wamekuwa wakimkosoa baada ya video inayoonyesha chupi aliyovalia kusambaa mitandoni. Kwenye video hiyo ambayo ilirekodiwa wakati wa sherehe za kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, Zari anaonekana akiwa anasakata densi huku akiwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fikiria unapata nguo Kama hizi kwa 5000 tu Bei ya jumla

    Kichwa cha habari kinajieleza, niunganisheni wadau.. nguo kali mno, nicheki kwa 0738664971 tunauza jumla na rejareja. Mfanyabiashara usipate tabu ya kufungiwa usichojua kuna nini ndani, nimekurahisishia nguo Kali kwa bei poa
  13. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nguo mtumba za watoto zinauzwa elfu 3000 tu

    Karibuni mjipatie mtumba mzuri kwa bei ya jumla ya shilingi elfu 3 tu ukichukua nguo kuanzia 20.. Rejareja ni elfu 6 ... Namba kwa mawasiliano zaidi ni 0738664971 Ukurasa wangu wa instagram ni bnl_clothes_shoes_bags
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi msipuuzie hali kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji

    Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu ziko radhi kupigwa faini kuliko kuingia vyumbani?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kufulia nguo

    Habari wapendwa, Nina shida na mashine used ya kufulia nguo kg 7-10 Nipo Mbeya mjini.
  16. sudan iii

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nguo za kike zinauzwa

    Karibu kwenye duka letu tunauza nguo za kike Product. Woman clothes whatsapp no. +255620882741
  17. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi, Nawe ni Mmoja Kati ya Waliokuwa Hawavui Nguo za Shule Wakifika Home...?

    Uzi tayari...! 👊🏾
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Magufuli aliletwa na Mungu basi uchaguzi wa 2025 utakua ni patashika nguo kuchanika

    Hicho ndicho kilichonijia kichwani leo nikiwa natafakari mwenendo wa siasa za Tanzania kwa sasa. Maswali ni je nani atakubali kusimama na ni nani atakubali mwenzake kusimama. Itakua nipatashika nguo kuchanika ndani ya vyama na nje ya vyama.
  19. winnerian

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo na vifaa vya watoto mwaka 0 hadi 12

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya hii katika mkoa flani ila sina uzoefu hivyo ukinipa uzoefu wako utakuwa umeniboost sana pa kuanzia
  20. 2019

    JamiiForums Tanzania Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

    Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake. Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ) nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake...
Back
Top Bottom