Kwa hii Simba ya hawa wachezaji, Yanga tusiposhinda Natembea Bila Nguo Kabisa. Babu amehakikisha

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Yanga tuna bao 2 Simba 0. Ushihidi ni huu uzi. Yanga tumeadhamilia kushinda hii match. Wakati Simba tayari wanaonekana kushindwa hii match mapema sana. Hivyo nawashauri wana Yanga tuanze sherehekea Mapinduzi Cup.

Na hili kombe kwa kweli halina sababu ya kutotua Jangwani. Iwe mvua iwe jua tunashinda hili Kombe. Nimewaona wachezaji wa Simba. Wameshachoka tayari kabla ya game.

Tusiposhinda hii game leo mimi nitatembea bila nguo.
 
Kwa taarifa yako chombo ishafika Zenji hivyo jiandae kula 4G kama dada yako platinum
JamiiForums1441258683.jpg

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Yanga mmeingia fainali kwa mbinde tena mpaka kwa matuta.

Simba imeingia fainali ndani dk 90 kiulaini kabisa.
 
Alafu nyinyi Yanga matani mengine ya kibwege muache bana.
Dogo mmoja Mtopolo kaja maskani asubuhi na mapema kaambiwa nipo ndani, kufika ndani eti ananambia paka wao ana siku ya pili aonekani"
Kama paka analeta ushindi, kwa nini asitumike? Rekodi itaendelea kusomeka kwamba Simba alishinda 3-0, lakini stori za kutumia paka zitafutika maana hakuna mahali pa kutunzia rekodi hizo
 
Kama paka analeta ushindi, kwa nini asitumike? Rekodi itaendelea kusomeka kwamba Simba alishinda 3-0, lakini stori za kutumia paka zitafutika maana hakuna mahali pa kutunzia rekodi hizo
Nikweli kabisa.
Yanga leo tunawapiga 3 bila huruma.watajuta kwanini walishona madera wakasahau sidiria za kuvalia.
 
Sina Mengi Ila Machache Ni Haya Tu, Leo Hakuna Namna Isipokuwa Ushindi Kwa Simba!!!
 
Hakuna dro wala matuta sisi hatulimi viazi kama nye ni ishindi tu
 
Yanga tuna bao 2 Simba 0. Ushihidi ni huu uzi. Yanga tumeadhamilia kushinda hii match. Wakati Simba tayari wanaonekana kushindwa hii match mapema sana. Hivyo nawashauri wana Yanga tuanze sherehekea Mapinduzi Cup.

Na hili kombe kwa kweli halina sababu ya kutotua Jangwani. Iwe mvua iwe jua tunashinda hili Kombe. Nimewaona wachezaji wa Simba. Wameshachoka tayari kabla ya game.

Tusiposhinda hii game leo mimi nitatembea bila nguo.
Boss we ni ke au me?
 
Una mke au dada? Naomba mmoja kati ya hao umtume aje aniulize hilo swali kisha akuletee jibu.
 
Back
Top Bottom