Tunashona nguo za kike na za kiume za aina zote

Sangwa

Member
Nov 20, 2018
28
10
Habari Wadau,

Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza,
  • Nguo za Harusi ( Suti na Magauni)
  • Uniform za Maoffisi na Mashuleni
  • Mishono ya Vitenge
  • Casual Wear etc
Karibuni Ofisi zetu zipo kinondoni Manyanya opposite na American Chips. Mawasiliano 0737610682
 
Back
Top Bottom