ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

    Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao. Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa. Hali ni ngumu sana. Walevi wa pombe kali wanajifariji
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) kuwasajili Wachezaji wa Tanzania bara kama Wageni

    Salaam ndugu zangu, Nimepata taarifa kwamba Shirikisho la soka nchini Zanzibari limeweka ugumu kwa wachezaji wa Tanzania Bara na itawasajili kama Wageni. Taarifa hii imeandikwa: Bodi inayosimamia Ligi kuu ya Zanzibar (PBZ) imepitisha kanuni mpya za Usajili kuwa Klabu yoyote itakayomsaini...
  3. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hawa viumbe ni ngumu sana kwao kusema hivi

    Video inajieleza
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tangu sakata la Bandari liamuke Mods wa Jf wanashuguli pevu sana.

    Hawa jamaa ngoje nitumie fursa hii kuwapa pole. Maana wana wakati mgumu sana kuchuja habari. Watu tunaandika kwa mihemko. Kongole kwenu na pole kwa kupitia mefu ya nyuzi bila kucboka... I
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali isikubali mtafaruku wa Bandari kuchukua mkondo wa kidini, ni ngumu kuidhibiti

    SERIKALI ISIKUBALI MTAFARUKU WA BANDARI KUCHUKUA MKONDO WA KIDINI, NI NGUMU KUIDHIBITI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Haya mambo yanayoendelea ndani ya nchi Kwa kweli hayavutii na kuna Wakati yanatia wasiwasi. Serikali inahitaji kutiiwa lakini nayo inaowajibu wa kusikiliza kile...
  6. Plastic

    JamiiForums Tanzania Kwanini tatoo ni ngumu sana kufutika?

    Natumaini wote tumewahi kusikia au hata kuona mtu akiwa na tatoo kwenye sehemu fulani ya mwili wake. Je, kwani tatoo ni ngumu sana kufutika?? Kwanza kabisa ni muhimu kujua kua tabaka la juu kabisa kwenye ngozi(epidermis) ndilo tunaloliana kila siku kwa macho na huwa na kawaidi ya kutoa seli...
  7. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ukiona biashara unayofanya haina madoni ni ngumu sana kutoboa

    Kilimo kina madoni Uchimbaji madini una madoni Vitenge kuna madoni Car wash zina madoni Bar zina madoni, samaki zina madoni restaurant zina madoni hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio guarantee) wa kutoboa hata ukiwa kwenye kundi la wengi waliopiga hatua ukiachana na madon wachache...
  8. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kiume ni wagumu kuwasadia wazazi wao kuliko watoto wa kike

    Hili jambo nimelifuatilia muda mrefu sana hapa barani africa esp. Tanzania wazazi wanaenjoy tu pale ambapo mama akipata toto la kiume jamii inakuchukulia mtu wa thamani sana yaani hongera unapata nyingi lakini kadri toto hilo la kiume linavyozidi kuwa kubwa ndivyo linavyoanza kuwa jitu la hovyo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kipanya tena na fasihi ngumu!

    Nimemgwaya!
  10. H

    JamiiForums Tanzania Aina za utani ambao ukikuta mwanaume anamtania mwanaume mwezie ni ngumu

    Wanawae wanautani sana mfano Mtu na wifi yake unakuta wanaitana mume wangu au mke wangu Ila mwanaume kukuta wanataniana mke wangu au mume wangu na shemeji yake ngumu sana Wanawake anaweza mwambia mwenzie nakupenda au akamuita mwezie mpenzi wangu Mwanaume ukithubutu mwambia ivyo mwanaume...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola: :Uwekezaji wa Saudi Arabia unaleta changamoto ngumu kwenye Soka la Ulaya"

    Kauli hiyo inafuatia Winga kutoka Algeria, Riyad Mahrez kujiunga na Al-Ahli ambapo Pep ameeleza kuwa uwekezaji wa Matajiri hao wa Mafuta unaolenga kujenga Ligi ya kipekee huko Uarabuni unaleta changamoto mpya na ngumu katika Soka la Ulaya. Pep amesema "Saudi Arabia imebadilisha soko, wakati...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin akiri hali ngumu, Ukraine wanapelekea moto kwenye counteroffensive

    Sio kawaida kwa huyu jamaa kukiri kipigo, ukiona mpaka anaisema ujue mle kwenye medani ni kichinjio cha wanajeshi wake... Putin says Ukrainian attacks have intensified in recent days Russian president Vladimir Putin said on Thursday that Ukrainian attacks had intensified in recent days...
  13. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Baby dady Drama: Ni ngumu sana kushindana na baba wa mtoto ukianzisha mahusiano na single maza, ngumu sana!

    Unaweza ukajipa moyo kwamba waliachana kwa ugomvi na pengine baba wa mtoto hakutoa chochote tangu asikie mwanamke kapata mimba, waweza kudhani jamaa ndio basi tena kahsribu hawezi kuwa tatizo. Kiufupi ni ngumu sana mwanamke kumuacha kirahisi mwanaume aliemtunga mimba hasa ya kwanza ile...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya uzazi ya mwanamke kwa asili ya uumbaji wake kimuundo ni ngumu mwanamke kufika kileleni. Wanaume tusilaumiwe wanawake watuongoze wao.

    Wasalaam JF, Ni dhahiri mwanaume anapata sana kero za mwanamke kutofika kileleni, kwenye hili wanawake walaumiwe wenyewe, hisia zako hamu zako kiungo chako ukitaka raha na utamu mwanamke amuongoze mwanaume. Vinginevyo namna K ilivyo kwa ndani pale utamu hasa kile kinyama hakiko katika mfumo wa...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Atumia ubunifu wa kujamba ili kupata pesa (Video)

    Ingawa pesa ngumu Ila huu 'ubunifu' haupendezi aisee. Ni masikitiko kama sio msiba.
  16. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Gaming Desktop Kwa kazi zote ngumu

    Asus Rog STRIX Z390-F Customized Gaming Desktop Core i7 9th Generation SSD 512GB+HDD 3TB RGB RAM 16GB DDR4 CPU 3.20 GHz 8 Threads RTX 2060 Super 8GB Power Supply Modular 600W Wi-fi Adapter 5 RGB FAN Hii Mashine ni nzuri kwa kazi zote ngumu.👇🏾 Rendering ✅ Video Production ✅ Graphics Design✅...
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu. Yote yanayojiri utayapata hapa. === MKUTANO...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya tume ya Haki jinai yasisimamiwe na hawa wazee; umri umeenda wanahitaji kupumzika. Kazi hii wapewe vijana ni ngumu sana.

    Nampongeza Mhe. Rais kwa kuona umuhimu wa kuunda sub committee za kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya haki jinai Lakini nadhani kuna jambo ambalo Mhe. Rais alipaswa kuliona; kamati ina wazee wengi kuliko vijana: waliochakata na kuandaa taarifa naamini ni sekretarieti na ndiyo maana...
  19. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Bila uchawa awamu ya sita ingekuwa ngumu sana kutawala

    Ni wazi kuwa Awamu ya nne itabaki kuwa Awamu pekee ya kidemokrasia. Tunadiliki kusema Kikwete ni baba wa Demokrasia. Hongera sana JK Mungu akutunze. Ni Awamu pekee watu walipingana kwa hoja ndani na nje ya CCM na Bado walibaki pamoja. Hali haikuwa hivyo katika Awamu ya Tano. Ilikua Awamu ya...
  20. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Naanzisha vita Rasmi na huyu jamaa anayejiita GENTAMYCINE

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Sikupaswa kuandika hapa lakini kwasababu umeamua kuniblock huko pm kila nikikuandikia sms haziendi,sasa nimeona nije public ili ufahamu ya kwamba wewe unayejiita GENTAMYCINE nahitaji tukutane tukiwa wawili tu kwa ajili ya kutibitisha mimi na wewe nani...
Back
Top Bottom